Mkuu ukitazama ramani utumie akili kidogo. Eneo lile kubwa ni hasa mapori ya barafu au matope (kutegemeana na majira) pasipo na watu. Tanzania ina watu 67 kwa km², Urusi nwako 9 pekee. Sehemu kubwa si Urusi kweli ni koloni zake anazoendelea kushika katika Asia.Russia ingekuwa imejipanga isingepigana na kanchi kadoogo hambako hakafiki hata size ya mkoa wake kwa mwaka mzima Sasa View attachment 2509449
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app