Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama hizi package hazina impact mbona viongozi wa urusi hawaishi kulialia kila zikitumwa[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Viongozi wa Urusi hawalii-lii,ila they are warning the World.Maneno ya Putin ya hivi karibuni kabisa ni haya,very chilling indeed,"Those seeking to defeat Russia on the battlefield apparently do not realize that a modern war with Russia would be entirely different for them. We’re not sending our tanks to their borders. Yet we have something to respond with, and it would not be limited to armor use only, everyone must realize that."

Kwa maneno haya,kama kweli the West has some sense left,they will listen to him.
 
Waswahili husema ni bora nusu shari kuliko shari kamili, Ukraine walikua na nafasi ya kukaa mezani na urusi kabla ya SMO. Na pale SMO ilipoanza walitakiwa kukubali kuachia yale majimbo mawili, kwanini walitakiwa kufanya hivyo?

Ukraine hana uwezo wa kushindana na Russia, wanaompa silaha nao ni kama wa bet kuona itakuaje. Kadri Ukraine anavyokomaa kupigana ndivyo atavyopoteza ardhi yake.

Gharama za vita ni pamoja na kupoteza rasilimali ardhi. Ukraine wasiposhtuka mpaka kufika October wanaweza kupoteza mpaka 50% ya nchi yao, ikumbukwe Russia anashikilia zaidi ya kilometer square 42000, ambayo ni 27% ya whole Ukraine

Ukichukua cremea, Donetsk na Luhansk kwa pamoja unapata 27% ya Ukraine yote.. sasa kufika mwisho wa mwaka itakuaje?

Tusisahau Russia anakalia 65% ya mji wa kherson.
Zaporozhie
 
Viongozi was Urusi hawalii-lii,ila they are warning the World.Maneno yake,ya hivi karibuni kabisa Ni haya,very chilling indeed.Amesema hivi,"Those seeking to defeat Russia on the battlefield apparently do not realize that a modern war with Russia would be entirely different for them. We’re not sending our tanks to their borders. Yet we have something to respond with, and it would not be limited to armor use only, everyone must realize that.”
HAdi sasa Bwana Putin ametisha kutumia nyuklia zake mara ngapi?
 
HAdi sasa Bwana Putin ametisha kutumia nyuklia zake mara ngapi?
Putin sio mtu wa kukurupuka kama viongozi wa nchi za magharibi,he cares about human life,tofauti na Western leaders who seek to destroy life at any given opportunity.Ndio maana hachoki kuonya,ila uvumilivu wake una mwisho,na usichukuliwe kama a sign of weakness,it will be very wrong.
 
Hali huko mbele inazidi kuwa ngumu, ni ngumu sana sasa huko Bakhmut, Vuhledar, Limansky na pande zingine, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema katika hotuba yake ya jioni ya kawaida.

"Wakati wa siku 346 za vita hivyo, mara nyingi nililazimika kusema kwamba hali ya mbele ni ngumu. Na kwamba hali inazidi kuwa ngumu. Sasa ni wakati tena. Wakati ambapo mtekaji anazidi kuleta majeshi yake kuvunja ngao yetu.

"Bakhmut, Vuhledar, Limansky na maeneo mengine. Lakini sasa, kama kila siku kati ya hizi 346, ujasiri wa askari wetu ni kila kitu," Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy alisema.

==================
Huu moto sio mchezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasema Hali ni ngumu kama hambavyo imekuwa ngumu siku zote 346 za vita..,hakuna kipya hapo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa Urusi hawalii-lii,ila they are warning the World.Maneno ya Putin ya hivi karibuni kabisa ni haya,very chilling indeed,"Those seeking to defeat Russia on the battlefield apparently do not realize that a modern war with Russia would be entirely different for them. We’re not sending our tanks to their borders. Yet we have something to respond with, and it would not be limited to armor use only, everyone must realize that.”
Hiyo mikwara mbona imezoeleka siku nyingi mkuu, Sion kama Kuna kipya chochote alichokiongea hapo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Utafikiri wewe ndiye Zelensky,ajabu sana.Mhusika mkuu kasema hali ni tete,wewe una water down situation,you couldn't be more blind.
Mkuu,Mimi sijakataa kwamba zelensiky kasema Hali ni ngumu.., lakini jambo la kuelewa hapa ni kwamba kasema Hali ni ngumu kama hambavyo imekuwa ngumu siku zote 346 za vita.., usitake kujizima data

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hajawai kuonyesha hata maiti 200 za Warusi .ila Warusi wameonyesha sehemu nyingi zaidi ya maiti izo 200. Sasa Mnatoa data pasipo kuwa na hata ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kujikichekesha pasi nakuwa na sababu ya kujchekesha huwezi?

Lete hiyo picha inayoonesha wanajeshi 200 kwa pamoja wa Ukraine waliokufa.


Usielelte yenye picha moja au tatu Lete kamili yenye idadi hiyo ya 200 au zaidi.
 
Hiyo mikwara mbona imezoeleka siku nyingi mkuu, Sion kama Kuna kipya chochote alichokiongea hapo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin sio mtu wa kukurupuka kama viongozi wa nchi za magharibi,he cares about human life,tofauti na Western leaders who seek to destroy life at any given opportunity.Ndio maana hachoki kuonya,ila uvumilivu wake usichukuliwe kama a sign of weakness,it will be very wrong.
 
Unaendelea kuonesha kwamba nyie Team NATO hamna akili ebu piga Hesabu ya hiyo data zenu za kila siku Kwa siku zote Russia yupo Ukraine.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Wewe uliyenaakili unaonekana sawasawa.
Kwani idadi ya maiti inayoletwa kila siku ndio imekufanya usiamini au kwasababu ya urusi ni propaganda ya Ukraine ni sawa ikishambuliwa?

Urusi kila mda anapeleka wanajeshi au ndio mnasubiri mtangaziwe kama tutapeleka wanajeshi kiasi flani?
 
Mkuu,Mimi sijakataa kwamba zelensiky kasema Hali ni ngumu.., lakini jambo la kuelewa hapa ni kwamba kasema Hali ni ngumu kama hambavyo imekuwa ngumu siku zote 346 za vita.., usitake kujizima data

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukweli unaujua,don't beat around the bush,hali sasa ni tete zaidi kwa Zelensky.
 
Putin sio mtu wa kukurupuka kama viongozi wa nchi za magharibi,he cares about human life,tofauti na Western leaders who seek to destroy life at any given opportunity.Ndio maana hachoki kuonya,ila uvumilivu wake usichukuliwe kama a sign of weakness,it will be very wrong.
Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa hii vita utagundua kwamba mikwara ya Putin kuhusu nyuklia imeisha kabisa na haisikiki Tena, unajua ni Kwa nini?? Ameona wazi kwamba Kwa Sasa hakuna yeyote anayetishika na hiyo mikwara.., hivyo kaamua kuwa mpole huku akiugulia maumivu anayoyapata Baada ya kushindwa kwa operation yake aliyoipa muda usiozid saa 72

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa hii vita utagundua kwamba mikwara ya Putin kuhusu nyuklia imeisha kabisa na haisikiki Tena, unajua ni Kwa nini?? Ameona wazi kwamba Kwa Sasa hakuna yeyote anayetishika na hiyo mikwara.., hivyo kaamua kuwa mpole huku akiugulia maumivu anayoyapata Baada ya kushindwa kwa operation yake aliyoipa muda usiozid saa 72

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nakukumbusha mkuu zelensky analia lia huko mbaya zaidi watoto wa miaka 16 nao sasa wanaenda front line

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom