Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama huo mkwara haufany kaz mbona NATO hawajajitoa hata 70% kupgiania ukrain, hata kama ushabik waz vzr

Bila nuclear hii vita western wangekuw washaamalz Putin.
Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa hii vita utagundua kwamba mikwara ya Putin kuhusu nyuklia imeisha kabisa na haisikiki Tena, unajua ni Kwa nini?? Ameona wazi kwamba Kwa Sasa hakuna yeyote anayetishika na hiyo mikwara.., hivyo kaamua kuwa mpole huku akiugulia maumivu anayoyapata Baada ya kushindwa kwa operation yake aliyoipa muda usiozid saa 72

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakika

Ila ntakua wamwisho sana kuamini kama athari atakazozipata RUSSIA zitamfanya aogope kuanzisha tena SMO ikibidi sidhanii

Ila UKRONAZI kwamsaada wa wahisani kapambana haswaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuaga hivi, leo umemnyang'anya mtu fedha akalia tu, kesho ukarudia akarusha ngumi, keshokutwa ukienda utaenda kwa tahadhari. Kadri unavyorudi inakuwa ngumu zaidi na zaidi mpaka mnaheshimiana au umuue kabisa ili usipate upinzani.

Vita vitakapokwisha vitaacha makovu kwa Ukraine, makovu ni kumbukumbu. Kumbukumbu huzaa maandalizi ya kujilinda, maandalizi ya kujilinda husababisha ugumu zaidi wa adui kufanikiwa kwenye tukio linalofata.
 
Our man behind enemy line
====
Two hours later, Zelensky posted a video from his office in Kiev, explaining that he was “not hiding,” and “not afraid of anyone.” The video address was described as “defiant” by Western media outlets, but it was unknown until now that Zelensky essentially asked Putin permission – via Bennett – to reveal his location before making his statement.

RT

Mlimpa masaa 24, mwaka mmoja sasa bado rais na anaamrisha majeshi.
 
🪖 Zaluzhny reported the death of 257 thousand of Ukrainian soldiers

Former Pentagon adviser Colonel Douglas McGregor shared secret data on the losses of the Armed Forces of Ukraine.

📝 “When Zaluzhny was in the US, he met with Secretary of Defense Lloyd Austin and General Milley. He secretly told them that Ukraine had lost 257,000 people since the beginning of the conflict,” the retired officer shared.

Earlier it was reported about 232 thousand dead militants since the start of the special operation.
 
🪖 Zaluzhny reported the death of 257 thousand of Ukrainian soldiers

Former Pentagon adviser Colonel Douglas McGregor shared secret data on the losses of the Armed Forces of Ukraine.

[emoji404] “When Zaluzhny was in the US, he met with Secretary of Defense Lloyd Austin and General Milley. He secretly told them that Ukraine had lost 257,000 people since the beginning of the conflict,” the retired officer shared.

Earlier it was reported about 232 thousand dead militants since the start of the special operation.
Hiyo taarifa imfikie yule anayepost jedwali la kuedit.
 
Tatizo lako kwenye mambo ya front line huko Ukraine, moja uiita sifuri na sifuri unafahamu kama kumi. Kwa hiyo, ni vigumu kuelewa kiandikwacho kwa msingi wa kuwapa ukweli wasomaji wa Uzi huu.
Acha kupuyanga, jibu swali, umeulizwa he operation yetu ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imeingiliwa?? Ungejibu ndio au hapana,Hilo tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unabishana na ng'ombe utaweza?😁😁
Hata mimi naona siwezi mkuu.
Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa hii vita utagundua kwamba mikwara ya Putin kuhusu nyuklia imeisha kabisa na haisikiki Tena, unajua ni Kwa nini?? Ameona wazi kwamba Kwa Sasa hakuna yeyote anayetishika na hiyo mikwara.., hivyo kaamua kuwa mpole huku akiugulia maumivu anayoyapata Baada ya kushindwa kwa operation yake aliyoipa muda usiozid saa 72

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sioni kama Putin kawa mpole zaidi ya alivyokuwa tangu February 2020,haya ni maneno ya kujitia moyo kwamba something is happening on the ground in your favour,kumbe Russia is winning in the battlefront.
 
Mvua ya mawe ipo njiani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Screenshot_20230206-085457.jpg
 
Back
Top Bottom