Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa wametelekeza ghetto na kukimbia
FB_IMG_16756193990479763.jpg
 
Kainchi kama Ukraine kamefuta wanajeshi rasmi 130,000 sasa hao mateja mnaoleta ndio watafanya nini...
Our man behind enemy line
====
Two hours later, Zelensky posted a video from his office in Kiev, explaining that he was “not hiding,” and “not afraid of anyone.” The video address was described as “defiant” by Western media outlets, but it was unknown until now that Zelensky essentially asked Putin permission – via Bennett – to reveal his location before making his statement.

RT
 
Kwa hiyo operation yetu ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imingiliwa!! Sio??[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tatizo lako kwenye mambo ya front line huko Ukraine, moja uiita sifuri na sifuri unafahamu kama kumi. Kwa hiyo, ni vigumu kuelewa kiandikwacho kwa msingi wa kuwapa ukweli wasomaji wa Uzi huu.
 
Labda useme Ukraine alitakiwa akae meza moja na Urusi kuhusu namna ya kuwa na uhusiano na nchi za magharibi bila kuihatarisha Urusi.

ILA KUSEMA WAKAE WAKUBALI KUACHIA MAJIMBO 2 NI UPUUZI KIWANGO CHA JUU SANA. KAMA URUSI INATAKA ARDHI BASI IIPATE KWA KUMWAGA DAMU ILI KESHO TENA WAKITAKA WAJUE HAITAKUWA RAHISI KAMA JANA.

WEWE PALE KWAKO JIRANI YAKO MWENYE NGUVU UNAWEZA MPA MWANAO ILI ASIKUCHUKULIE MKEO? UKIRUHUSU HILO UWEZEKANO WA YEYE KURUDI MARA YA PILI NA YA TATU NI MKUBWA NA KWASABABU YA UWOGA WAKO WA KUPIGANA NAYE UTAMALIZA WATOTO WOTE MWISHO MKEO NAYE ATAMPATA TU HALAFU UTAKUWA HUNA LA KUPOTEZA TENA UTAJIACHIA TU AFANYE ATAKAVYO.
Aya yakwanza ya jamaa imeanza vyema sana nandio mzizi mzima uko hapo

Mchana tu nilitoka kukueleza kua kwa hili suala UKRAINE ndio luza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia tena kusoma, niliandika kabla ya SMO Ukraine alitakiwa ayamalize mambo kwenye meza ya mazungumzo lakini alifeli hapa, lakini pia hata wakati vita vinaanza angekubali masharti ya kuachia donbase. Sasa unadhani nini kitatokea akiendelea kukaza fuvu?
 
Mara nyingi vita havina win-win. Vina
win-lose.

SIDHANI KAMA UKRAINE YUPO VITANI AKITEGEMEA A WIN, Ukraine yupo vitani kwa sababu amelazimika kuwepo hapo, sio kwa sababu atashinda. Alishashindwa mara ya kwanza kuna majimbo yalienda, hategemei atashinda hii mara ya pili.

Anachofanya ni kutengeneza ukuta baada ya vita mrusi asifikirie kuchukua maeneo yake kwa wepesi.
(HII NI KWA MAWAZO YANGU)
 
Nayakubali na kuyaheshimu sana mawazo yako na yapo sahihi sanaa

Ila shida unaangalia utapoteza kwa aina gani maana hata mshindi wa vita hua anapoteza licha yakua anashinda

Pia nadhani RUSSIA alijua kama mara hii hatachukua UKRAINE kama mwaka 2014 nandio maana huu uvamizi uliandaliwa muda sana mpaka kina US na wenzake kujifanya wanatabiri kama kutakua na vita wakat CRIMEA haikua hv

Sidhanii kama RUSSIA atakubaliana na UKRAINE kua imara kama ilivyokua baada ya CRIMEA kumegwa

Nandio maana jamaa akasema demilitarization alijua kama anakazi yakuvunja sheji nampaka sasa analivunja

Mpaka mshindi wavita hua anapoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia tena kusoma, niliandika kabla ya SMO Ukraine alitakiwa ayamalize mambo kwenye meza ya mazungumzo lakini alifeli hapa, lakini pia hata wakati vita vinaanza angekubali masharti ya kuachia donbase. Sasa unadhani nini kitatokea akiendelea kukaza fuvu?
Siku itafika hii vita itakwisha, Amani itarejea... Ardhi inawezekana isirudi tena Ukraine lakini itakapokwisha suala la kuimega Ukraine halitakuwa maamuzi rahisi tena kama ilivyokuwa SMO.
 
Nayakubali na kuyaheshimu sana mawazo yako na yapo sahihi sanaa

Ila shida unaangalia utapoteza kwa aina gani maana hata mshindi wa vita hua anapoteza licha yakua anashinda

Pia nadhani RUSSIA alijua kama mara hii hatachukua UKRAINE kama mwaka 2014 nandio maana huu uvamizi uliandaliwa muda sana mpaka kina US na wenzake kujifanya wanatabiri kama kutakua na vita wakat CRIMEA haikua hv

Sidhanii kama RUSSIA atakubaliana na UKRAINE kua imara kama ilivyokua baada ya CRIMEA kumegwa

Nandio maana jamaa akasema demilitarization alijua kama anakazi yakuvunja sheji nampaka sasa analivunja

Mpaka mshindi wavita hua anapoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa boss.
Na kupoteza kwa mshindi wa vita ndicho anachokitafuta Ukraine. Hii itamfanya wakati mwingine mshindi wa vita aone hatari iliyopo pale anapoamua kuimega ardhi ya nchi nyingine. Ni suala la muda tu watamalizana.
 
Hakika

Ila ntakua wamwisho sana kuamini kama athari atakazozipata RUSSIA zitamfanya aogope kuanzisha tena SMO ikibidi sidhanii

Ila UKRONAZI kwamsaada wa wahisani kapambana haswaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom