usifanye masihara na vifo vya 22 Generals..!...yaani RED ARMY wapoteze Generals wote hao kiulaini tu...,
tatizo la hii viti PROPAGANDA zimezidi uhalisia.....yaani WEST wamewateka vijana wengi sana na kuwalisha wanachokitaka mkijue....,,, ila what I truly believe at the end of this SMO....tutayajua mengi sana na kuna mengine yatatushangaza....
...sijui kama ulikuwepo week za mwanzoni kwenye hii SMO...kulikuwa na Ma-rat wenzio humu wakutosha yaani tulidanganywa balaa...kuna mtu humu anaitwa 'BRITANICA' sijui amepotelea wapi....huyu alikuwa anatubeba kipindi SMO inaanza kuwa yupo ndani ya Urusi...anatuletea picha za Supermaket with empty shelves....sijui maandamano ya mitaani...ooh sijui Putin anapingwa, mara The economy is collapsing...yaan longo longo za kutosha...humu..na wenzie..sasa yote yale waliotuletea humu...wamekuwa proved wrong...yalikuwa matango pori..na wamesepa fasta humu ndani...
Sent from my SM-A217F using
JamiiForums mobile app