Ki-rat muda wote ww ni mzinguaji..., kwanza mimi nilikuwa namjibu ndugu hapo aliekuwa anabishia hzo data za MOSSAD,,,,!!!
Russia amobilise askari laki 8...kungekuwa na Ukraine unadhani..,,,, ambacho hujui ni kuwa ... kwenye combat zone Russia deploys approximate 20%...of the total capacity ya RED ARMY..wengi wa askari ni Chechen + Wagner....RED army halisi wako standby kwa ajili ya 'Collective West'...
hata ungekuwa ww Ki-rat ndio Rais wa Russia huwez ingiza jeshi lako lote kwenye SMO na Ukrein....,wakati Europe yote na US wanakulia timming uchoke wakumalize...utakuwa Ki-rat crazy!!
Sent from my SM-A217F using
JamiiForums mobile app