Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Hili nalo linawezekanaNdio, lakini kwa bahti mbaya mara chuki imeenea, kupungua kwake kunaweza kuchukua vizazi kadhaa...
Hili nalo linawezekanaNdio, lakini kwa bahti mbaya mara chuki imeenea, kupungua kwake kunaweza kuchukua vizazi kadhaa...
Kama hukumsikia Putin aliposema Hali ni ngumu kwenye maeneo yanayokaliwa na urusi huko Ukraine basi Huo ni uvivu wako wa kutofuatilia habari,Hilo Wala sio jukumu letuPro ukraine ebu niambieni Kama urusi anayo hali mbaya mbona hajawai Lia Lia kwenye media Wala kuanza kuomba msaada ...
Pili Kama uSA ndio superpower halisi kwann bhc asifazili vita yote mpka nae anageuka dalali au mkusanya michango [emoji23][emoji23]
Kipanya 44 ivi ile operation yenu ya kuchukua Kremina vipi maendeleo yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kama hukumsikia Putin aliposema Hali ni ngumu kwenye maeneo yanayokaliwa na urusi huko Ukraine basi Huo ni uvivu wako wa kutofuatilia habari,Hilo Wala sio jukumu letu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
aisee...kwa hiyo Mkuu...wewe na MOSSAD tumuamini nani,,,, watu wale wale mnaokesha kutuhubiria umahiri wa MOSSAD kwenye UJASUSI leo mnakataa...kisa taarifa hz zinawavua nguo the so called..'Collective West'...ambacho sielewi unabisha kwa vigezo vipi hasa...? kama Ukraine alideploy jeshi lote plus thousands of Mercenaries...and NATO Soldiers/Intsructors....and for the period of 1 yr mbona data sawa kabisa...Wanajeshi wengi wanaopelekwa frontline....hawana experience ya kutosha...na ndio wanaopukutika sana...it took a minimum of atleast 3 months of training walau kumpata askari anaejua kuplay safe kwenye combat zone....sasa hz mobilisation anazofanya Zelensky hadi kwa walemavu wa viuongo achilia mbali hawa Teenagers (16yrs) wanaokusanywa kila siku....,hiyo training ya kumkwepa Mrusi na Artileries zake inatoka wapi...??.Sidhani namba hizi i kweli za Mossad. Kwa kawaida yale yanayosambazwa na shirika za ujasusi (hata kwa njia ya panya) husambazwa kote. Namba hizi zinazodaiwa kutokea Mossad, naona hapa tu kwa kurejea tovuti 1 ya Kituruki. Waturuki si maarufu kwa ushirikiano wa karibu na Mossad. Biila chanzo cha pili (yyani chanzo ambacho hakikukopo Mturuki yeye yule) sidhani ni kweli.
Ukraine hawafanyi offensive yoyote kwa Sasa.., Wana defend tu ...,Kuna kilio kikubwa kinakuja kwa warusi,tuupe muda nafasi maana counteroffensive anayoitayarisha Ukraine itakuwa ya moto haswa.., kumbuka vifurushi vya maana kutoka USA vilikuwa havijaingizwa field, ikiwemo magari ya kivita .., subir counteroffensive..Kipanya 44 ivi ile operation yenu ya kuchukua Kremina vipi maendeleo yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mh....ingekuwa namba ziko kinyume chake, Russia ndo kapoteza watu wengi bila shaka hii report ingekubalika na mbewembwe juu. Yaani ulichoandika ni siasa siasa tu..Sidhani namba hizi i kweli za Mossad. Kwa kawaida yale yanayosambazwa na shirika za ujasusi (hata kwa njia ya panya) husambazwa kote. Namba hizi zinazodaiwa kutokea Mossad, naona hapa tu kwa kurejea tovuti 1 ya Kituruki. Waturuki si maarufu kwa ushirikiano wa karibu na Mossad. Biila chanzo cha pili (yyani chanzo ambacho hakikukopo Mturuki yeye yule) sidhani ni kweli.
Umeona tu mobilization aliyoifanya zelensiky, lakini umeshindwa kuona wavuta bangi, mateja na wafungwa wa Kila sampuli wanaosajiliwa na urusi mchana kweupe.., achilia mbali mobilization ya askari laki nane hambayo tayari urusi ameshafanyaaisee...kwa hiyo Mkuu...wewe na MOSSAD tumuamini nani,,,, watu wale wale mnaokesha kutuhubiria umahiri wa MOSSAD kwenye UJASUSI leo mnakataa...kisa taarifa hz zinawavua nguo the so called..'Collective West'...ambacho sielewi unabisha kwa vigezo vipi hasa...? kama Ukraine alideploy jeshi lote plus thousands of Mercenaries...and NATO Soldiers/Intsructors....and for the period of 1 yr mbona data sawa kabisa...Wanajeshi wengi wanaopelekwa frontline....hawana experience ya kutosha...na ndio wanaopukutika sana...it took a minimum of atleast 3 months of training walau kumpata askari anaejua kuplay safe kwenye combat zone....sasa hz mobilisation anazofanya Zelensky hadi kwa walemavu wa viuongo achilia mbali hawa Teenagers (16yrs) wanaokusanywa kila siku....,hiyo training ya kumkwepa Mrusi na Artileries zake inatoka wapi...??.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ki-rat muda wote ww ni mzinguaji..., kwanza mimi nilikuwa namjibu ndugu hapo aliekuwa anabishia hzo data za MOSSAD,,,,!!!Umeona tu mobilization aliyoifanya zelensiky, lakini umeshindwa kuona wavuta bangi, mateja na wafungwa wa Kila sampuli wanaosajiliwa na urusi mchana kweupe.., achilia mbali mobilization ya askari laki nane hambayo tayari urusi ameshafanya
Kweli nyani haoni kundule [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
.Look for real knowledge,utaipata.Huwezi kuangalia BBC,Aljazeera,SkyNews,CNN,CGTN News,CBS, Bloomberg utegemee kuyapata haya,hawatakupa kwa kuwa inaumbua the backbone of their faith.
Kumbuka kwamba owners wote wa Main Stream Media ni Satanists without exception.
Watamkamua ngama kabla hajafa...Hapa ni lazima fashisti Putin anene kwa lugha zote [emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We are going somewhere.Hata hivyo narudia tena,upandaji bei wa mafuta is fake,serikali haijawajibika vya kutosha.India wananunua mafuta kutoka Urusi at a discount,why not Tanzania.Ni wazi tumepigwa changa la macho naView attachment 2508563
Nakubaliana na serikali moja Kwa moja
Hapo kwenye tozo ya kubadilisha fedha ndipo marekani alikuwa anapotajirikia na kupata jeuri ya kufungua base 700
Kwani kuivamia Ukraina tuiteje?! sio kukurupuka??Putin sio mtu wa kukurupuka kama viongozi wa nchi za magharibi,he cares about human life,tofauti na Western leaders who seek to destroy life at any given opportunity.Ndio maana hachoki kuonya,ila uvumilivu wake usichukuliwe kama a sign of weakness,it will be very wrong.
Leo umenijibu vizuri sana.kwa upole na kwa ukweli wa hali ya mambo ilivyo uwanja wa vita.tusubiri mjikusanye mfanye counter attack.Ukraine hawafanyi offensive yoyote kwa Sasa.., Wana defend tu ...,Kuna kilio kikubwa kinakuja kwa warusi,tuupe muda nafasi maana counteroffensive anayoitayarisha Ukraine itakuwa ya moto haswa.., kumbuka vifurushi vya maana kutoka USA vilikuwa havijaingizwa field, ikiwemo magari ya kivita .., subir counteroffensive..
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
wee mchokozi sana mkuu 😂😂😂😂Kipanya 44 ivi ile operation yenu ya kuchukua Kremina vipi maendeleo yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].