Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwamba huyu hapa!! Ameshakutana na Lish sunak[emoji123][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji1255]View attachment 2510370

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapo hakuna mwamba yeyote Yule...mmoja ambaye ni Sunak ni bdberu tu kutoka nchi ambayo ilikuwa empire yenye makoloni kibao kutoka maeneo mbalimbali duniani lakini Sasa Haina makoloni Tena na Kama yapo ni machache...ila nchi hiyo Sasa inajitutumua kutaka dunia iwaone kuwa bado ni wakubwa....Zelensky yeye ni kibaraka tu na CIA agent...aliingia madarakani kwa hoja ya kutaka Ukraine ipatane na Russia..lakini kumbe huu ulikuwa ni mkakati wa kutaka kura za Warusi wa Ukraine...Donbass, Lugansk, Odessa nk.
 
Happy hakuna mwanba yeyote Yule...mmoja ambaye ni Sunak ni bdberu tu kutoka nchi ambayo ilikuwa empire yenye makoloni kibao kutoka maeneo mbalimbali duniani lakini Sasa Haina makoloni Tena na Kama yapo ni machache...ila nchi hiyo Sasa inajitutumua kutaka dunia iwaone kuwa bado ni wakubwa....Zelensky yeye ni kibaraka tu na CIA agent...aliingia madarakani kwa hoja ya kutaka Ukraine ipatane na Russia..lakini kumbe huu ulikuwa ni mkakati wa kutaka kura za Warusi wa Ukraine...Donbass, Lugansk, Odessa nk.
Sawa. , Kikubwa ni kwamba rais aliyechaguliwa kidemokrasia huko Ukraine ameshatua katika jiji la London!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Check Ukraine walivyo faster kujenga nchi Yao ., Jamaa huwezi jua hata Hela wanapata wapi.., kweli aliyekuzidi akili kakuzidi tu!![emoji1255][emoji123]
1675857214835.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zelensky aelekea UK kwa mazungumzo na Rishi Sunak.

Hii ni ziara yake ya pili nje ya Ukraine baada ya ile aloifanya nchini Marekani mwezi Disemba 2022.

Kiongozi huyo wa Ukraine anatarajiwa pia kuhutubia bunge la nchini Uingereza na baadae kusaini mikataba inohusu mafunzo zaidi kwa vikosi vya Ukraine ambavyo vipo nchini Uingereza kupata mafunzo mbalimbali.

Uingereza pia imetangaza kutoa mafunzo ya matumizi ya ndege za kivita kwa jeshi la anga la Ukraine ambayo yatawawezesha marubani wa Ukraine kurusha ndege hizo zinotengenezwa barani Ulaya za aina ya F-16.

Uingereza imekuwa ikitoa mafunzo ya kijeshi kwa Ukraine tangu mwaka 2014 na inasemwa kuwa wanajeshi wapatao 10,000 wa Ukraine wamepitia Uingereza kupata mafunzo mbalimbali ya kijeshi.
Good move....UK huenda wakazidisha msaada kwa Ukraine
 
baadhi ya hivyo havifanyi kazi....ni machuma tu...yalikuwa store...wanayapeleka ili ya serve kama spare parts incase....,,,to shortify the stori ni kwamba Kyve.. is being regarded as a dumping area....watu wanasafisha store zao ... wanakuja kutupa hapo...!!!
..
siku njema bwana Kipanya!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Taarifa hii nimeiona sehemu nyingi na mara nyingi,so I believe it is true.

cc:Mr. Kipanya
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation (8 February 2023)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥 In Kupyansk direction,
the attacks, launched by Ground-Attack and Army aviation, as well as the artillery of the 'Zapad' Group of Forces, have resulted in the neutralisation of the manpower and hardware of the units from 14th and 92nd mechanised brigades of the Armed Forces of Ukrane (AFU) near Olshanka, Pershotravnevoye, Krakhmalnoye, Berestovoye (Kharkov region), and Novosyolovskoye (Lugansk People's Republic).

◽️ Over 35 Ukrainian personnel, 1 armoured personnel carrier, and 1 motor vehicle have been eliminated.

💥 In Krasny Liman direction, Operational-Tactical and Army aviation, the artillery, and flamethrower systems of the 'Tsentr' Group of Forces have neutralised the manpower and hardware of the units from 66th Mechanised, 25th Airborne, 95th Airborne Assault, and 81st Airmobile brigades of the AFU near Stelmakhovka, Chervonopopovka, Chervonaya Dibrova, Kuzmino (Lugansk People's Republic), and Terny (Donetsk People's Republic).

◽️ Over 130 Ukrainian personnel, 1 infantry fighting vehicle, 3 armoured fighting vehicles, 1 Grad multiple-launch rocket system (MLRS), as well as one ordnance depot of 66th Mechanised Brigade of the AFU have been eliminated near Podliman (Kharkov region).

💥 In Donetsk direction, the offensive and firepower operations, conducted by the 'Yug' Group of Forces, have resulted in the elimination of over 140 Ukrainian personnel, 1 tank, 3 pickups, 3 motor vehicles, and 1 Msta-B howitzer.

◽️ 2 AFU ordnance depots have been destroyed near Avdeyevka and Slavyansk (Donetsk People's Republic).

💥 In South Donetsk direction, Army Aviation and the artillery of the 'Vostok' Group of Forces have neutralised the units from 72nd Mechanised, 1st Tank, and 35th Marine brigades of the AFU near Ugledar and Vodyanoye (Donetsk People's Republic).

◽️ Up to 75 Ukrainian personnel, 1 tank, 1 infantry fighting vehicle, 3 armoured fighting vehicles, and 2 motor vehicles have been eliminated.

◽️ 3 AFU ordnance and fuel depots have been destroyed by the artillery near Novomikhaylovka, Ugledar, and Dobrovolye (Donetsk People's Republic).

💥 In Kherson direction, counterbattery warfare operations have resulted in the destruction of 1 AFU mortar crew near Olgovka (Kherson region).

💥 Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have neutralised 74 AFU artillery units at their firing positions, manpower and military hardware in 123 areas.

💥 In Kharkov, the workshops at an aircraft industrial enterprise, that modernised unmanned aerial vehicles (UAVs) and loitering munitions, have been destroyed.

◽️ Moreover, the headquarters of 79th Airborne Assault Brigade of the AFU has been neutralised near Krasnogorovka (Donetsk People's Republic).

💥 Air defence facilities have shot down 11 rocket-propelled projectiles, launched by HIMARS MLRS, and 10 UAVs near Zhitlovka, Stelmakhovka, Krasnorechenskoye (Lugansk People's Republic), Skelki, Verkhnyaya Krinitsa (Zaporozhye region), Staraya Zburyevka (Kherson region), Trudovskoy, Kuybyshevo (Donetsk People's Republic), and Tabayevka (Kharkov region).

📊 In total, 382 airplanes, 206 helicopters, 3,046 unmanned aerial vehicles, 403 air defence missile systems, 7,789 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,011 fighting vehicles equipped with MLRS, 4,022 field artillery cannons and mortars, as well as 8,291 units of special military motor vehicles have been destroyed since the beginning of the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Nae king Charles ataingia vitani dhidi ya Urusi,
Urusi itazidiwa,
Nayo ardhi ya Ukraine iliyopokonywa na Urusi itakombolewa kwa uwezo wa King Charles 👑
Hizi comments umezitoa ukiwa na ufahamu timamu au???? kwamba King Charles ni tofauti na Uingereza ambayo imekuwa ikiisadia Ukraini tangu mwanzo wa vita. Kwamba sasa nchi ya King Charles itaingia vitani!!!!!!
 
Good move....UK huenda wakazidisha msaada kwa Ukraine
Ni kweli ....thanks kwa kuliona Hilo...hawana namna kwani misaada yote ya awali haijasaidia kitu...Ukraine inateketezwa vibaya mno...Sasa USA, UK na NATO kwa ujumla inabidi waleleke misaada mingine Kama vifaru na hata ndege...lakini Russia iko tayari pia, vifaru hivyo vitateketezwa pia...kitakachofuatia pengine ni USA, UK na NATO kwa ujumla to openely and formally put boots on the ground yaani Askari wa NATO kuingia vitani rasmi...hapo ndipo regular army ya Russia itakapojitokeza wazi na sio
Wagner au JKT ya Russia tena....Hapo ndipo utakapona midege Kama TU,-160 (the white swan) na mingineyo...
 
Good move....UK huenda wakazidisha msaada kwa Ukraine
Na UK wakizidisha misaada kwa Ukraine,nayo Urusi itazidiwa na kirudishwa nyuma,hatimae kuyaachia maeneo yaliyotekwa na Urusi.
Kwa sababu Zelensky kaenda UK.
Kwa hiyo UK hawakutoa misaada ya kutosha Hadi zelensky atakapoenda mwenyewe UK.

Maana Kuna wale waukraine 10000 wanafundishwa kupigana vita na Urusi sijua wameshaenda uwanjani ama bado.

Aisee!
Hii SMO tutajifunza mengi.
 
Hizi comments umezitoa ukiwa na ufahamu timamu au???? kwamba King Charles ni tofauti na Uingereza ambayo imekuwa ikiisadia Ukraini tangu mwanzo wa vita. Kwamba sasa nchi ya King Charles itaingia vitani!!!!!!
King Charles anatisha wewe!
Putin aondoke mwenyewe Ukraine.
Zelensky ataonana nae nakwambia.!
 
King Charles anatisha wewe!
Putin aondoke mwenyewe Ukraine.
Zelensky ataonana nae nakwambia.!
Nadhani wewe ni mgeni katika mfumo wa Uingereza. King Charles hana Serikali. Kile Cheo ni cha heshima tu. Mwenye Serikali ni Waziri Mkuu ambapo tangu enzi za Boris Uingereza ilikuwa kinara wa kupeleka misaada na vifaa vya kivita Ukraini. Uingireza nui Mbwa mzee asiye na meno kwa zama hizi.
 
Back
Top Bottom