Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky aelekea UK kwa mazungumzo na Rishi Sunak.

Hii ni ziara yake ya pili nje ya Ukraine baada ya ile aloifanya nchini Marekani mwezi Disemba 2022.

Kiongozi huyo wa Ukraine anatarajiwa pia kuhutubia bunge la nchini Uingereza na baadae kusaini mikataba inohusu mafunzo zaidi kwa vikosi vya Ukraine ambavyo vipo nchini Uingereza kupata mafunzo mbalimbali.

Uingereza pia imetangaza kutoa mafunzo ya matumizi ya ndege za kivita kwa jeshi la anga la Ukraine ambayo yatawawezesha marubani wa Ukraine kurusha ndege hizo zinotengenezwa barani Ulaya za aina ya F-16.

Uingereza imekuwa ikitoa mafunzo ya kijeshi kwa Ukraine tangu mwaka 2014 na inasemwa kuwa wanajeshi wapatao 10,000 wa Ukraine wamepitia Uingereza kupata mafunzo mbalimbali ya kijeshi.
Safi sana!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zelensiky anazidi kupewa Air time kotekote.., amekuwa ni rais hambaye anapewa kipaumbele kuliko Rais yeyote yule..,hata joe Biden hapewi hii favour anayopewa zelensiky.., mikutano yote inayohusisha mataifa yenye nguvu kiuchumi,kiushawishi na kijeshi kahutubia

Tushasikia maonyo mengi ya Putin, mikwara kibao kwamba atakayethubutu kuisaidia Ukraine kwa lolote lile na yeye atakuwa kajiingiza kwenye vita, atapata kichapo hajawahi kukiona 😀 😀 😀

Jamaa huyu Putin hana mikwara yoyote ni binadamu makini sana hafanyi vitu kwa kikurupuka aub kutaka apate sifa - ana silaha za maangamizi kweli kweli ambazo have no parallel in the World in terms of yield and delivary systems zake including glide vehicles na sio lazima ziwe za nuclear - Urusi si mchezo hata kidogo and US and her vassals know about these facts wanajitia kichwa ngumu tu.
 
Zelensiky anazidi kupewa Air time kotekote.., amekuwa ni rais hambaye anapewa kipaumbele kuliko Rais yeyote yule..,hata joe Biden hapewi hii favour anayopewa zelensiky.., mikutano yote inayohusisha mataifa yenye nguvu kiuchumi,kiushawishi na kijeshi kahutubia

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni kwasababu wamewekeza Ukraine tangu 2014 hivyo ni lazima apewe airtime.

Ni fedha nyingi sana Ukraine amepewa na mambo hayaendi kama walivyokusudia.
 
Ni kwasababu wamewekeza Ukraine tangu 2014 hivyo ni lazima apewe airtime.

NI fedha nyinig sana Ukraine amepewa na mambo hayaendi kama walivyokusudia.
Unajuaje kwamba mambo hayajaenda kama walivyotegemea?? Si inasemekana kwamba lengo lao ni kuhakikisha urusi anadhohofika.?? Unafikiri kumdhohofisha urusi ni kazi ya usiku kucha,sio??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unajuaje kwamba mambo hayajaenda kama walivyotegemea?? Si inasemekana kwamba lengo lao ni kuhakikisha urusi anadhohofika.?? Unafikiri kumdhohofisha urusi ni kazi ya usiku kuacha,sio??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi sitaandika sana nasubiri mkesha wa februari 24.

Baada ya hapo ndipo tutapopata mwanga na uelewa mzuri kwamba kwanini ni vigumu kumdhoofisha Russia na "the way forward" iwe vipi.
 
Krasno Hora imekwenda na mma[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20230208_135314_848.jpg
 
Hizi siku mbili inaonekana zimekuwa kilio kikubwa kwa Askari wa urusi maana SI kwa kuchinjwa huku..,Jana walichinjwa 1030 Leo Tena naona ni mi Tisa na Tisa kuongeza mmoja.., Narudia Tena; hii vita ni janga kwa askari wa super pawer 🥱🥱🥱View attachment 2510199

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

IMG_8880.jpg

Ukiangalia data zako za jana utaona mpak jana feb 7 Tanks zilikua 3254 leo imepungua moja Feb 8 data zako zinaonesha tanks 3253. Achana na hizi data za mchongo ndugu yangu. Ukraine ana hali ngumu sana kutoboa kwa Russia sio rahisi maana watu anaowategemea wameshindwa kuliona ballon [emoji324] la mchina.
 
Zelensiky anazidi kupewa Air time kotekote.., amekuwa ni rais hambaye anapewa kipaumbele kuliko Rais yeyote yule..,hata joe Biden hapewi hii favour anayopewa zelensiky.., mikutano yote inayohusisha mataifa yenye nguvu kiuchumi,kiushawishi na kijeshi kahutubia

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
imemsaidia nn hiyo air time anayopewa...!!!...Mr. Ki-rat hebu siku moja jaribu kuzitumia hzo akili zako aisee....!!!
Collective West yote sasa hv...imeshaona wazi kabisa hakuna ushindi hata wafanye nn ...mbele ya..'DUBU'....ww bado una ndoto zile zile....,,,hv huna habari kwamba West kwa sasa wanafikiria wamgawie Russia posheni ya Ukrein ili atulie... kuliko kuipoteza yote....na Russia kagoma...!!!..
any wei...,tuupe muda nafasi utatupa ukweli ....

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Nimesikitishwa sana na hij habari Marekani Leo hii ndo anahangaika na ballon? Kuna taarifa nilikua naisoma twitter ilikua inasema Propaganda za US zilifsnikiwa kwa kiasi kikubwa kuwadanganya watu wao ndo kila kitu hapa duniani ila uhalisia ni dhaifu sana na waoga.

Marekani ni mjanja sana kawateka EU na kuwaingiza NATO sababu ulaya nchi nyingi ziko advanced kitech na kiuchumi, anaunda NATO na nchi za Ulaya kwanini asiunde na nchi za America kule?? Lengo ni kupambana na Russia kuanzisha proxy war nknk lakini bado kabanwa.

Mwanaume kamili anapambana peke yake na hana maneno yeye ni kichapo tu, Viva Russia [emoji635] hawa ndo wanaume wanagawa kichapo kwa nchi tunazoambiwa ni matajiri duniani hata data zao za mchongo.
IMG_8884.jpg

Zaidi ya $ 75 billion zimekwenda Ukraine lakini bado wameshindwa kumzuia Russia kumbuka hizi ni Pesa mingi sana.
 
View attachment 2510308
Ukiangalia data zako za jana utaona mpak jana feb 7 Tanks zilikua 3254 leo imepungua moja Feb 8 data zako zinaonesha tanks 3253. Achana na hizi data za mchongo ndugu yangu. Ukraine ana hali ngumu sana kutoboa kwa Russia sio rahisi maana watu anaowategemea wameshindwa kuliona ballon [emoji324] la mchina.
Typing mistakes..,hata computer inakosea Mzee,acha kutafta excuse

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
imemsaidia nn hiyo air time anayopewa...!!!...Mr. Ki-rat hebu siku moja jaribu kuzitumia hzo akili zako aisee....!!!
Collective West yote sasa hv...imeshaona wazi kabisa hakuna ushindi hata wafanye nn ...mbele ya..'DUBU'....ww bado una ndoto zile zile....,,,hv huna habari kwamba West kwa sasa wanafikiria wamgawie Russia posheni ya Ukrein ili atulie... kuliko kuipoteza yote....na Russia kagoma...!!!..
any wei...,tuupe muda nafasi utatupa ukweli ....

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hebu tupe chanzo Cha habari kinachosema West wanafikiria kumpa urusi portion ya Ukraine Ili atulie.., acheni kutunga maneno ya kujifariji Ili mradi tu kumtetea huyo super pawer wa kwenye makaratasi.., urusi alitegemea operation Itaisha ndani ya saa 72 lakini kakutana na kisiki hambacho hakukitegemea na kinaendelea kumtoa kamasi

Back
Top Bottom