Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimesikitishwa sana na hij habari Marekani Leo hii ndo anahangaika na ballon? Kuna taarifa nilikua naisoma twitter ilikua inasema Propaganda za US zilifsnikiwa kwa kiasi kikubwa kuwadanganya watu wao ndo kila kitu hapa duniani ila uhalisia ni dhaifu sana na waoga.

Marekani ni mjanja sana kawateka EU na kuwaingiza NATO sababu ulaya nchi nyingi ziko advanced kitech na kiuchumi, anaunda NATO na nchi za Ulaya kwanini asiunde na nchi za America kule?? Lengo ni kupambana na Russia kuanzisha proxy war nknk lakini bado kabanwa.

Mwanaume kamili anapambana peke yake na hana maneno yeye ni kichapo tu, Viva Russia [emoji635] hawa ndo wanaume wanagawa kichapo kwa nchi tunazoambiwa ni matajiri duniani hata data zao za mchongo.View attachment 2510358


Zaidi ya $ 75 billion zimekwenda Ukraine lakini bado wameshindwa kumzuia Russia kumbuka hizi ni Pesa mingi sana.
Mwanamme hawezi kuwa mwanamke.
 
Hapo hakuna mwamba yeyote Yule...mmoja ambaye ni Sunak ni bdberu tu kutoka nchi ambayo ilikuwa empire yenye makoloni kibao kutoka maeneo mbalimbali duniani lakini Sasa Haina makoloni Tena na Kama yapo ni machache...ila nchi hiyo Sasa inajitutumua kutaka dunia iwaone kuwa bado ni wakubwa....Zelensky yeye ni kibaraka tu na CIA agent...aliingia madarakani kwa hoja ya kutaka Ukraine ipatane na Russia..lakini kumbe huu ulikuwa ni mkakati wa kutaka kura za Warusi wa Ukraine...Donbass, Lugansk, Odessa nk.
Unafikiri Putin na yeye Hana tamaa ya kupiga picha na viongozi makini kama Lish sunak?? Joe Biden?? Olaf wa ujerumani?? Sachols wa ufaransa?
Atakaa kupiga picha na akina lukashenko mpaka lini?
Acha masihara bwana [emoji28][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ujanja wao ni kuhakikisha Dunia ni sehemu salama ya kuishi bila vitisho vya silaha za maangamizi kutoka kwa watu wasio na utu.
===
On the evening of February 5, the first use of this chemical weapon was reported in the village of Novobakhmutovka on the outskirts of Donetsk. Russian servicemen suffered vomiting and convulsions. The claims were supported by photos of crashed drones identical to those that Magyar boasted about.

On January 6, the acting head of the DPR confirmed the facts of the use of chemical weapons by the Ukrainian military in the areas of Bakhmut and Ugledar.

Thus, the Kiev regime is using chemical weapons, proudly declaring it out loud, but the so-called international community traditionally ignores its war crimes
- - -
SF
Mkuu nichukue jibu lako kuthibitisha kwamba Urusi una ujanja mkubwa kuficha ukoloni wake duniani ukisema kuna ubaya mwingine upande wa Ukraine?
Kwa hiyo nishukuru kwanza kwa kuthibitisha pointi yangu!
Kuhusu habari za gesi ya sumu inayodaiwa kutumiwa - hadi sasa hakuna kilichothibitishwa na mtazamaji yeyote. Maana kama kweli jinai la aina hii ingetokea ni jambo la kawaida kuita mara moja Msalaba Mwekundu au Umoja wa Mataifa kuthibitisha matumizi ya sumu.
Hadi hii haijatokea, hakuna sababu kuamini matangazo hayo.
Hii ni sawa na taarifa ta Ukraine eti Warusi waliwahi kutumia gesi ya sumu mwezi wa Disemba. hata huku hawakuchukua Msalaba Mwekundu wala Umoja wa Mataifa hivyo sikuamini madai ya Ukraine.
Unaona, ushabiki ni njia ya hakika kujipumbaza haraka. Tuepukane nao!
 
FoX3_8EX0AUb-nI

Wakiitwa UPINDE wanakuwaga Wakali kama wametukanwa.....!
 
Taarifa hii nimeiona sehemu nyingi na mara nyingi,so I believe it is true.

cc:Mr. Kipanya
Nimeshaiona mkuu, lakini naomba tu nikutaharifu hakuna taifa lolote lililotangaza kupeleka vyuma chakavu ( silaha) kama huyo jamaa alivyodai.., mataifa ya kidemokrasia hayana uongo uongo kama mataifa ya kikomunist mliyozoea,kile kilichotangazwa ndicho kitakachopelekwa huko Ukraine.., kusema kwamba vifaru vilivyotangazwa kupelekwa huko ukraine ni vyuma chakavu tu ni dhihaka yenye lengo la kudunisha msaada unaotolewa na west kwa ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nimeshaiona mkuu, lakini naomba tu nikutaharifu hakuna taifa lolote lililotangaza kupeleka vyuma chakavu ( silaha) kama huyo jamaa alivyodai.., mataifa ya kidemokrasia hayana uongo uongo kama mataifa ya kikomunist mliyozoea,kile kilichotangazwa ndicho kitakachopelekwa huko Ukraine.., kusema kwamba vifaru vilivyotangazwa kupelekwa huko ukraine ni vyuma chakavu tu ni dhihaka yenye lengo la kudunisha msaada unaotolewa na west kwa ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimecheka Sana niliposoma hii statement👇
mataifa ya kidemokrasia hayana uongo uongo kama mataifa ya kikomunist
Kipanya hivi unajua kwamba Marekani inaitwa Empire of Lies?
 
Hebu tupe chanzo Cha habari kinachosema West wanafikiria kumpa urusi portion ya Ukraine Ili atulie.., acheni kutunga maneno ya kujifariji Ili mradi tu kumtetea huyo super pawer wa kwenye makaratasi.., urusi alitegemea operation Itaisha ndani ya saa 72 lakini kakutana na kisiki hambacho hakukitegemea na kinaendelea kumtoa kamasi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Swala sio kuwa Super power iyo habar ipo ya kuifanya Ukraine kma North and South korea. Na zingatia siku Urusi akianguka jua kama ww na sisi sote huku Africa kuna asimia kubwa ya kuwa Watumwa wa hao unaodhangilia saivi. Zingatia tena kinachoendelea kiundani zaidi.....
 
Mwanaume kamili anapambana peke yake na hana maneno yeye ni kichapo tu, Viva Russia [emoji635] hawa ndo wanaume wanagawa kichapo kwa nchi tunazoambiwa ni matajiri duniani hata data zao za mchongo.
Kweli mkuu? Mwanaume kamili? Labda kwenye baa yako, baada ya chupa cha tano, ambako mwanaume wa kweli anamwambia sasa twende nje na tumalize jambo!!
Menginevyo kama ni mwanamke au mwanaume, ila mwenye akili atatafuta ushirikiano.
Ushirikiano ni tabia mojawapo la maendeleo ya kibiolojia; ukiwa na muda ujisomee kidogo kuhusu "evolutionary behaviour"; uwezo wa kushirikiana na kutumia akili ilimfanya homo sapiens kushinda akina Neanderthal waliokuwa bora kuhusu "uanaume kamili".
(btw: na Warusi hawafuati hui uanaume kamili maana muda wote walitafuta ushirikiano, kama si wa hiari pia kwa kulazimisha! )
 
Nimecheka Sana niliposoma hii statement👇

Kipanya hivi unajua kwamba Marekani inaitwa Empire of Lies?
Mkuu Mathanzua, inafurahisha kila safari kama mtu anayesambaza hapa hadithi za ajabu (kama vile Khazar Mafia, njama za wayahudi kutaka kutawala Dunia, kuhusu ubora wa mwongo mkuu Trump na kila porojo inayopatikana kwenye vilindi vya takataka ya wabaguzi wa Marekani) , basi kama mtu huyu anadokeza kidole kwa kile anachoita uwongo ilhali vidole 25 vinadokeza kwake mwenyewe!
Endelea kutufurahisha, mkuu!!!
 
The Church of England is considering whether to stop referring to God as “he”, after priests asked to be allowed to use gender-neutral terms instead.

The church said it would launch a new commission on the matter in the spring. Any potential alterations, which would mark a departure from traditional teachings dating back millennia, would have to be approved by synod, the Church’s decision-making body.

The Rt Rev Dr Michael Ipgrave, Bishop of Lichfield and vice-chair of the liturgical commission responsible for the matter, said the church had been “exploring the use of gendered language in relation to God for several years”.

Kidogodogo mtajua kwann wanapigana na Urusi.
 
Unafikiri Putin na yeye Hana tamaa ya kupiga picha na viongozi makini kama Lish sunak?? Joe Biden?? Olaf wa ujerumani?? Sachols wa ufaransa?
Atakaa kupiga picha na akina lukashenko mpaka lini?
Acha masihara bwana [emoji28][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Una akili ndogo sana. Yaani kupiga picha na hao we waona dili!!!. Duuu !!! Ama kweli kua uyaone
 
Una akili ndogo sana. Yaani kupiga picha na hao we waona dili!!!. Duuu !!! Ama kweli kua uyaone
Huo ndio ukweli japo unawauma..,usidhani kwamba huyo dikiteta anapenda kujifungua mwenyewe kwenye Kuta za clemlin..,la hasha.,na yeye anatamani kufanya matanuzi na kupiga selfie [emoji1702][emoji1702] na watoto wa mujini kama Lish sunak [emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom