EL_CHAPO_UNO
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 273
- 521
Kitu russia wanafanya ni kwamba wamestuka kuwa NATO wanafanya kila namna ili urusi wachoke na wanawapanikisha ili waonyeshe strength [emoji123] yao ipo wapi kisiraha then ndio NATO waingie mazima kumchapa, yeye anacheza beat yao anawapelekea vibaraka wahangaike nao huku akiwa anausoma mchezo mzima kwa uzuri kabisa, I bet third [emoji289] war is on the way b'coz history inatuonyesha vita zote zilianza namna hii harafu swala lingine ni kwamba NATO hawaitaki hii aibu coz wameingia kwenye vita na mkubwa mwenzao so hawatokuwa tayari ku withdraw itaonekana wameshindwa kitu ambacho kitawapunguzia ushawishi kwa mataifa babaifu ya Africa[emoji288] na kwingineko wanakovuna rasilimali za wazawa bila huruma.Uwanja umepatikana sehemu nzuri Sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] halafu wanajidai kumsaidia kwa upande mwingine wanazani eti Russia itafilisika kupitia hiyo vita kumbe kichapo kipo palepale.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app