Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwamba Putin,

Reminder -

The question must be why is NATO are afraid of Russia China relationship? well,as the leaders had said it before,their have to be a fair world order based on international rules,not on western made rules,which will only benefit the west but for the rules which will equally benefit all nation's in world.

The special operations in Ukraine is all about this .In military manifesto,there is an international rule(indivisible security),the obligation to not strengthen security at the expense of security of other states, but NATO preferred it's western made rules over international rules, now they are using Ukraine and Taiwan to strengthen their security in the expenses of Russia and china
Kwahaya maneno hapa inaonesha ndani ya UKRAINE kuna siri kubwa mnooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russian engineers at Soniktrans in Khabarovsk have created five models of a light all-terrain vehicle for military use. The buggies, dubbed "Erofei" after a famous Russian pioneer, are handcrafted with weapons, ammo and top-notch speed in mind
 
Hizo silaha zitakazokuja kwamaoni yako na mawazo yako unahisi zitafanikiwa

A-kuyaondoa majeshi ya RUSSIA katika maeneo wanayoyadhibibi hapo UKRAINE

B-kuyaondoa kabisa majeshi ya RUSSIA hapo UKRAINE nakuyarejesha RUSSIA

Halaf zile silaha za awali walizopewa zimeenda wapi na kama zimeisha zimeleta mafanikio gani huko fild

Mwisho bila ya NATO kuingia mazima huko UKRAINE hakuna kitakacho badilika ila pia tusidanganyane UKRAINE imegeuka jehannam

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hapa tuko pamoja kwamba Ukraine anapigana peke yake?

Maana kuna wengine wenye mahaba husema Nato ndio wanaopigana na Urusi.
 
CNN wamechota habari kutoka kwenye blog ya oryx. Habari hii iliandikwa February 24, 2022 nawaandishi akiwemo Jakub Janovsky ambaye amenukuliwa na CNN. Kwanza huyu J J, taarifa zake ni kizungumkuti, kujulikana.

Baada y kufika hapa, nikaijiwa na maelezo ya Rais wa zamani wa Marekani, Trump. Trump alisema CNN ni waongo, wanatoa fake news!!!!!

 
King Charz ndo Nani Sasa mkuu? King Charz ile imebaki kuwa alama na nembo TU ya taifa lililokua la utawala wa kifalme la Uingereza. Charz Leo Hana athari yoyote kisiasa ama kijeshi. Aghalabu kwa miaka ya karibuni zimezuka kelele kutoka kwa wananchi kadhaa wa kadha wa Uingereza Kwamba kwanini Serikali inatumia fedha nyingi kuihudumia familia ile?
Nb.
Kichapo kitazidi kuongezeka kadiri mtoto anavyozidi kulewa kwa wingi wa bangi.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ha ha haa.
Mkuu nilikua namjibu Himmers
Aliongea Kwa kujiamini sana,kua Zelensky kaenda London na taonana na King Charles.
Ndo nikamwambia ,eeeh sawa king ataiwezesha Ukraine kushinda vita?😃😃😃.
Najua king Charles na UK yake si lolote si chochote kwa leader of all nation."Vladimir."
 
Unakadliaje kufell kwa sanctions wakati bado zinaendelea kuwekwa?? Wakiweka sanctions Mpaka ikawa hamna sanction yoyote ya ziada ndio tunaweza kupata hitimisho!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
katika viumbe ambao nina hamu sana ya kukutana nao ana kwa ana...basi ni ww Bwana Ki-rat..., manaake kila nikijaribu ku kugoogle....,sikupatii kabisa...haiwezekan hata kidogo kwa binadamu wa kawaida akajitoa ufahamu wa kiwango hiki..., lazima utakuwa na kautofauti ... !!!...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
CNN wamechota habari kutoka kwenye blog ya oryx. Habari hii iliandikwa February 24, 2022 nawaandishi akiwemo Jakub Janovsky ambaye amenukuliwa na CNN. Kwanza huyu J J, taarifa zake ni kizungumkuti, kujulikana.

Baada y kufika hapa, nikaijiwa na maelezo ya Rais wa zamani wa Marekani, Trump. Trump alisema CNN ni waongo, wanatoa news!!!!!

Mkuu je unamtaja Trump kwa kutuambia CNN inaleta habari za kweli tu ??????????????
Maana kwa kawaida, Trump akisema kitu, ni kinyume cha ukweli
(Alishinda uchaguzi, alikuwa rais aliyependwa na wengi duniani, alipotawala wote waliheshimu Marekani lakini akiondoka wote walicheka Marekani, alishinda Covid kwa siasa yake, yeye ni bilionea mwenye bilioni 6-8, hakuna anayefaulu katika biashara kama yeye, yeye ni dume kabisa..., alikuwa mwanafunzi bora chuoni, anaheshimu wakinamama hajawahi kumgusa mwanamke ........... na ..........., atakuwa mwaninifu daima kwa mke wake -alivyosema angalau mara nne kwa kila mmoja..)
 
Mkuu ni ajabu kidogo unauliza swali (mfalme Charles ana umuhimu gani), unatoa jibu (ndiye alama na nembo ya taifa) halafu unazidi kuuliza kama hujaelewa jibu lako!
Ndiyo, ukifika mjini kuna maana kusalimu nembo ya taifa. Usingesafiri kumwona yeye tu, lakini kumwona kunaongeza uzito wa ziara yako-
Huo Ni uandishi wa kifasihi. Kama uliwahi kusoma fasihi utaelewa nilikuwa nikimaanisha Nini? Humo utagundua swali langu si swali tu Bali Ni mwangwi tu wa nilichotaka kueleza chini.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni mbumbumbu tu atakaebisha hasara iliyopatikana kutokana na mgogoro huu hasa kwa Russia.Tukianza na vikwazo na hata ishu ya watu na silaha zilizoteketea vitani.
Vikwazo licha ya kutoleta athari ya wazi Russia hii bila vikwazo ingezidi kua na nguvu za kutisha zaidi kivita lakini pia uchumi huo uliojaa vikwazo umeathiri maelfu ya watu nchini humo kwa kuondoka kwa brand kubwa mamia KFC, Apple nk zilizokuwa zimeajiri maelfu.
Rasilimali watu kivita, vijana wa Kirusi wanaangamia na Kwisha vitani. Kwa mujibu wa Military Watch inakadiriwa warusi 18000 walikufa vitani kuanzia February 2022 Hadi Nov 2022.
Silaha , silaha za kirusi nyingi zimeteketea. Naam Vita si lelema. Lakini usidanganywe na MSM Kwamba West Wana silaha Bora zisizoharibiwa! No! Namna ya utumiaji na hata stratejia za kivita huamua ubora wa silaha. Hebu fikiria msafara wa Armored vehicles bila airsupport. Kinakuwa chakula Cha Javelin na Nlaw.
Russia imepoteza maelfu ya silaha lakini imejitokeza wazi kama taifa linalozalisha silaha maelfu pia kwa muda mfupi zaidi.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom