Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Russia amepokea kipigo kimoja kizito eneo hiliKuna mtu anapigwa Vuhledar
Russia amepokea kipigo kimoja kizito eneo hiliKuna mtu anapigwa Vuhledar
Russia hana uwezo wa kupigana conventiona War na NATO ndio maana Uingereza amekuwa anajiamini sana mbele ya Russia.
Russia ni overated, imagine hii ni Ukraine, ndio imaplelekea moto hivi,
Imagine Typhoon, Rafale, F-16, F-35, F-22, Tanks zote za maifa ya ulaya ziwe Ukraine au Finland kwa ajili ya kuvuka mpaka kuingia Russia, naona why Russia anaogopa sana majirani zake kuwa na nguvu au Nchi za Kidemokrasia
Lini uingereza aliwahi kujiamini mbele ya mrus?
Russia hana uwezo wa kupigana conventiona War na NATO ndio maana Uingereza amekuwa anajiamini sana mbele ya Russia.
Russia ni overated, imagine hii ni Ukraine, ndio imaplelekea moto hivi,
Imagine Typhoon, Rafale, F-16, F-35, F-22, Tanks zote za maifa ya ulaya ziwe Ukraine au Finland kwa ajili ya kuvuka mpaka kuingia Russia, naona why Russia anaogopa sana majirani zake kuwa na nguvu au Nchi za Kidemokrasia
Hata wakiwa wote hawawezi na wanalijua hilo. Kile wanachopambania huko Ukraine ni uhai wao. Maana ikienda Ukraine kwisha habari yao.Lini uingereza aliwahi kujiamini mbele ya mrus?
Hakuna taifa hataaa moja kutoka nato
Jeuri ya nato ni wakiwa wengi na sio oneman
Kwa nini wanasitasita kupeleka hivo vitu ulivyovitaja hapo kumsaidia Ukraine?Wewe unafikiri West wangekuwa na uhakika 100% kuwa hivyo vyuma vingekuwa game changer wangekuwa wanaviangalia tu??
Russia hana uwezo wa kupigana conventiona War na NATO ndio maana Uingereza amekuwa anajiamini sana mbele ya Russia.
Russia ni overated, imagine hii ni Ukraine, ndio imaplelekea moto hivi,
Imagine Typhoon, Rafale, F-16, F-35, F-22, Tanks zote za maifa ya ulaya ziwe Ukraine au Finland kwa ajili ya kuvuka mpaka kuingia Russia, naona why Russia anaogopa sana majirani zake kuwa na nguvu au Nchi za Kidemokrasia
Jee Nato ndio anapigana na Urusi ?NATO anasaidia kupigana mpaka atangaze rasmi ndio tutasema yupo rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ni kuzijam satelliteUkrainian military almost never launch HIMARS rocket rounds at Russian targets without detailed coordinates provided by the U.S. military," - Washington Post
Maswali mengine unauliza ni ya kipumbavu kabisa. Hebu nenda shule kwanza ukasome hata vitu vichache kuhusu Geopolitics.Jee Nato ndio anapigana na Urusi ?
Hata Urusi anasaidiwa kupigana na Ukraine ila wanaomsaidia hawapigani na Ukraine.
Ili kuweza kupata IQ ya ng'ombe mmoja wa Kimasai, basi itabidi ujumlishe kina kp kipanya44 100😁katika viumbe ambao nina hamu sana ya kukutana nao ana kwa ana...basi ni ww Bwana Ki-rat..., manaake kila nikijaribu ku kugoogle....,sikupatii kabisa...haiwezekan hata kidogo kwa binadamu wa kawaida akajitoa ufahamu wa kiwango hiki..., lazima utakuwa na kautofauti ... !!!...
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hayo majeshi ya Ujerumani, Marekani, Uingereza umeyaona huko Ukraine yakipambana na Urusi ?sio Ukraine anapambana na urusi Bali ni marekani uingereza ujerumani na ufaransa mrusi anapambana na watu wengi ujue
Itakuwa Kinondoni Moscow 🤣🤣🤣Upo maeneo gani. Maana na mimi nipo hapa hapa. Jioni tutakuwa na kasherehe ketu kadogo ka watu kutoka Tanzania.
Kiduku mzee wa kuyaunda tu anasubiria kile kibabu Gayden kilete ukorofi ili akizawadie nuke moja kwa ajili ya Valentine day.North Korea unveiled new intercontinental ballistic missiles(ICBM's) at the parade - KCNA
![]()
Si kama US alivyoogopa CUBA kua na silaha za Nyyklia (Ukiwa na silaha za Nyuklia tayar unanguvu kijeshi)
Russia hana uwezo wa kupigana conventiona War na NATO ndio maana Uingereza amekuwa anajiamini sana mbele ya Russia.
Russia ni overated, imagine hii ni Ukraine, ndio imaplelekea moto hivi,
Imagine Typhoon, Rafale, F-16, F-35, F-22, Tanks zote za maifa ya ulaya ziwe Ukraine au Finland kwa ajili ya kuvuka mpaka kuingia Russia, naona why Russia anaogopa sana majirani zake kuwa na nguvu au Nchi za Kidemokrasia
Mkuu ninachokifaham mim aliyepata hasara Ni yule aliye lose ktk Vita maana lengo linakua halijatimia,hivyo Basi ktk Tathmin ya hii Vita Ni kwamba Ukrain,na washirika wake ndio waliopata hasara hadi Sasa kwani misaada tu pekee iliyotumika hadi Sasa Ni zaid ya $bilion 120 bado hawana haika zitarudi vip lakini kwa upande wa Urusi maeneo waliyoyachukua ndio source ya uchumi wa Ukrain hivyo ukrejesha ghalama zao za Vita Ni possibleNi mbumbumbu tu atakaebisha hasara iliyopatikana kutokana na mgogoro huu hasa kwa Russia.Tukianza na vikwazo na hata ishu ya watu na silaha zilizoteketea vitani.
Vikwazo licha ya kutoleta athari ya wazi Russia hii bila vikwazo ingezidi kua na nguvu za kutisha zaidi kivita lakini pia uchumi huo uliojaa vikwazo umeathiri maelfu ya watu nchini humo kwa kuondoka kwa brand kubwa mamia KFC, Apple nk zilizokuwa zimeajiri maelfu.
Rasilimali watu kivita, vijana wa Kirusi wanaangamia na Kwisha vitani. Kwa mujibu wa Military Watch inakadiriwa warusi 18000 walikufa vitani kuanzia February 2022 Hadi Nov 2022.
Silaha , silaha za kirusi nyingi zimeteketea. Naam Vita si lelema. Lakini usidanganywe na MSM Kwamba West Wana silaha Bora zisizoharibiwa! No! Namna ya utumiaji na hata stratejia za kivita huamua ubora wa silaha. Hebu fikiria msafara wa Armored vehicles bila airsupport. Kinakuwa chakula Cha Javelin na Nlaw.
Russia imepoteza maelfu ya silaha lakini imejitokeza wazi kama taifa linalozalisha silaha maelfu pia kwa muda mfupi zaidi.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mbona jibu langu lipo wazi hapo MKUUJee Nato ndio anapigana na Urusi ?
Hata Urusi anasaidiwa kupigana na Ukraine ila wanaomsaidia hawapigani na Ukraine.
Kwaupande wa RUSSIA hasara alioipata ambayo hairejesheki ni roho za watu tuuuMkuu ninachokifaham mim aliyepata hasara Ni yule aliye lose ktk Vita maana lengo linakua halijatimia,hivyo Basi ktk Tathmin ya hii Vita Ni kwamba Ukrain,na washirika wake ndio waliopata hasara hadi Sasa kwani misaada tu pekee iliyotumika hadi Sasa Ni zaid ya $bilion 120 bado hawana haika zitarudi vip lakini kwa upande wa Urusi maeneo waliyoyachukua ndio source ya uchumi wa Ukrain hivyo ukrejesha ghalama zao za Vita Ni possible
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Biden si malaya, na urusi nae hapeleki jeshi lake la taifa, anawatumia KK Security kupambana na mashoga wa Ukraine.Usisahau pia Biden alishawahi kusema kwamba wanaogopa makabiliano ya Moja kwa Moja na urusi..huku akiendelea kutuma mabilion ya misaada ya kijeshi Ukraine.., marekani ni kama nurse..,anakudunga sindano huku akiendelea kukupa maneno matamu[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app