Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani Ukraine ni Mke wa Russia?

Mbona mnashallow reasoning
Huo ni mfano mwepesi tu wa kukufanya uelewe ambacho kiko in between hao mahasimu wawili.

Ukraine ilimegwa kutoka Russia ikawa sovereign state ila ambayo iko closely monitored na Russia kiusalama.

Lengo lilikuwa ni kustawisha uhusiano mzuri na hata sehemu kubwa ya population ya Ukraine ni warusi. Kilichomponza Ukraine baada ya NATO kumpenyeza kiongozi mnazi Zelensky, wakaanza kuingiza na maslahi yao na kumpa kiburi raisi wa Ukraine ambapo lengo ilikuwa ni kumdhoofisha mrusi. Mwisho wake ukawa ni usaliti kwa mrusi na kukumbatia ufedhuli wa magharibi na kutakaa kuutumia uhuru wake kumhujumu mrusi ikiwa walishawekeana mkataba wa kiusalama(Minsk Agreement) kuwa Ukraine asije akajiingiza kwenye mambo ya kuhatarisha usalama wa Urusi ikiwemo kukaribisha wana NATO na kusimika majeshi yao maana Ukraine ni mpakani mwa Urusi na hao NATO.

Mbaya zaidi Ukraine akawa anawaua warusi asilia kimya kimya na kujibakisha wao wenye damu ya Wa Nazi. Ujasusi wa urusi walipogundua hayo ndio wakatoa msimamo wao kuwa kwanza Ukraine keshavunja makubaliano na anahatarisha usalama wa Urusi kwa kukaribisha wahasimu wake NATO ambao walishajenga military bases Ukraine kinyume na makubaliano. Still wanawaua warusi wa asili kwa chuki za kishamba ili kuwadhoofisha.

Baada ya hayo yote uamuzi ukawa ni kuwalostisha kijeshi wa Ukraine maana wangejiunga na NATO tu ingekuja kuwa shughuli kuwachapa.
 
Wiki mbili pekee ndio zimebakia Ili mwaka utimie tangu super pawer wa kwenye makaratasi atangaze kile alichokiita operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo.., ngoja tuone dikiteta atabwabwaja maneno gani mbele ya camera, maana kama ni kipigo amepokea Cha kutosha!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbona wengi sana? hadi makanda wakubwa wa Marekani wamekuwa wakinaswa huko. Hata yule kamanda aliyenaswa Mariopol umemusahau mara hii?
Kwa maelezo yako haya tunapata ushaidi usiotia shaka kwamba operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imeingiliwa..,tunachukua hatua gani Sasa [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
SMO inaendelea vyema sanaaaa

Nawanao taka iishe hv punde wanakosea sana maana kuna malengo bado hayajafikiwa na yapo nje kabisa ya beto fild

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unachekesha! kama maelfu ya vifo na elfu nyingi ya vifaru, ndegevita n.k. ni "vyema sanaaaaaa", nisingependa kuona hali ilivyo "vyema sana"; kwa mantiki hii "vyema" pekee ingemaanisha jeshi la Ukraine imeshafika Moscow???
 
Kwa nini wanasita?

Hakukuwa na maana yoyote ya kuivamia Ukraine in first place.
According to you..(Ni sawa)..uko right.
According to them (Russians) uko wrong..
By the way...hizi wishful thinking hazina maana yoyote....Moto unawaka huko...hapo tusubiri mshindi full stop...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hazitasaidia chochote ndio maana mlitaka zisije na mkatishia mikwara mbuzi kwamba nchi yoyote itakayotoa silaha itapigwa
Umepanic MKUU hao UKRAINE kupewa silaha nihaki yao acc to UN na RUSSIA anaheshimu sana sheria za UN

ila RUSSIA kaweka wazi kwamba silaha hizo zikitishia usalama wa RUSSIA watoaji na wapelekewaji watawajibishwa na nakuhakikishia watawajibishwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635][emoji1255][emoji298]Explosions in Lviv and Zaporozhye.


Lviv ikichapwa hua nafurahika sana sana sanaaaaaaa

RUSSIA kamatia hapo hapo ila tunaomba kujua UKRAINE anashambuliwa na RUSSIA ipi maana RUSSIA ilikwishaishiwa na silaha toka march mwaka jana

MSM kupitia hii SMO tumejua kama wanatupiga kamba kwa vingi sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiuliza silaha zilizofika ukraine tayari zilikuwa na mafanikio gani? Basi angalia picha zilizokusanywa na shirika la ORYX - Uholanzi; walithibitisha hadi sasa takriban vifaru 1000 vya Kirusi vilivyoharibika, pamoja na vile takriban 500 vilivyokamatwa na Ukraine baada ya askari wa Urusi kukimbia na kuviacha wakihofia kuchomwa ndani ya vifaru hivi.
Jumla hiyo ya 1500 ni vile tu vilivyoweza kuthibitishwa, uharibifu kwa jumla lazima ni juu zaidi.
Pamoja na Urusi kukosa hadi leo hii udhibiti wa anga juu ya Ukraine... kwa sababu Warusi wanahofia silaha hizo za utetezi dhidi ya ndege.
Inatosha je? au niongeze?
(Pamoja na jeshi lililosifiwa kupigana tangu miezi likijaribu kusogea mbele tena mita chache...)
Hivi nyinyi mna matatizo Gani? Bwana Utam ,anamaanisha mafanikio ya kuyarudisha majeshi ya Urusi nyuma,au kuwasimamisha wasiendelee kusonga mbele kama sasa. ww unaanza kuzungumzia habari ya idadi vifaru na upuuzu mwningine?
 
Back
Top Bottom