Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia hana uwezo wa kupigana conventiona War na NATO ndio maana Uingereza amekuwa anajiamini sana mbele ya Russia.

Russia ni overated, imagine hii ni Ukraine, ndio imaplelekea moto hivi,

Imagine Typhoon, Rafale, F-16, F-35, F-22, Tanks zote za maifa ya ulaya ziwe Ukraine au Finland kwa ajili ya kuvuka mpaka kuingia Russia, naona why Russia anaogopa sana majirani zake kuwa na nguvu au Nchi za Kidemokrasia

Ngoja nikutajie
1. Venezuela
2.Syria
3.ukraine
Huko kote Russia aliingilia NATO,ila hawajafanya chochote,mara Kwa mara,tumesikia US akisema wazi,hayupo tayari kupigana na Russia uso Kwa uso,ila Russia aliiambia Marekani atampiga amrudishe kwenye "hadhi yake" hapo nani muoga.?
 
Russia na Marekani hawajawahi kuwa na direct confrotation.

But Historia iko wazi USSR ilivunjika, USA na NATO zipo na zinazidi kukuwa
 
Umepanic MKUU hao UKRAINE kupewa silaha nihaki yao acc to UN na RUSSIA anaheshimu sana sheria za UN

ila RUSSIA kaweka wazi kwamba silaha hizo zikitishia usalama wa RUSSIA watoaji na wapelekewaji watawajibishwa na nakuhakikishia watawajibishwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Askari wa Russia wanaokufa Ukraine Maisha yao hayana thamani?
 
729 kuongeza mmoja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu.., naona Leo super pawer wa mchongo kajikumbusha kama bado anaweza kurusha makombora.., uzuri mikwara yake haiwarudishi nyuma vijana wakakamavu wa rais zelensiky
1676020548402.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
729 kuongeza mmoja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu.., naona Leo super pawer wa mchongo kajikumbusha kama bado anaweza kurusha makombora.., uzuri mikwara yake haiwarudishi nyuma vijana wakakamavu wa rais zelensiky View attachment 2512422

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya bwana chanzo Cha taarifa Cha udaku kipo makini sana anakushinda hata Millard Ayo.
 
Air defence za US bwana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Putin's bastards staged a massive attack on Zaporozhye. In an hour, 17 enemy landings were recorded in the city - this is the largest number since the beginning of the full-scale invasion. — Secretary of the Zaporozhye City Council
 
Hayo mashambulizi yameongeza sentimeter ngapi huko front line?? Sanasana naona dikiteta anajichosha tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hayo mashambulizi yameongeza sentimeter ngapi huko front line?? Sanasana naona dikiteta anajichosha tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimeuliza si mmepewa air defence mbona we ulishangilia sana? Hata ukibana inaingia tu yaani sindano Haina Mambo Mengi.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Hivi nyinyi mna matatizo Gani? Bwana Utam ,anamaanisha mafanikio ya kuyarudisha majeshi ya Urusi nyuma,au kuwasimamisha wasiendelee kusonga mbele kama sasa. ww unaanza kuzungumzia habari ya idadi vifaru na upuuzu mwningine?
Mkuu, tusijivunie mno. katika hali ya vita bila shaka si mmoja wetu mwenye matatizo lakini hao watu wanaojitolea au kutumwa kupambana huko kwenye matope ya Ukraine.
Anachomaanisha Bwana Utam ni juu yake kujieleza. Aliuliza kuhusu mafanikio ya silaha zilizotumwa hadi sasa.
Mafanikio (ukitaka kuita uharibifu na kifo "mafanikio") ni dhahiri. Nimeshataja maelfu ya vifaru vya Kirusi vilivyoharibika.
Ikiwa ushabiki wako wa kawaida unakuruhusu yale niliyoandika, utaona nilisema hadi leo Urusi haidhibiti anga la Ukraine (ambayo ni jambo muhimu sana kijeshi...)
Ukiliganisha ramani ya Machi na Aprili mwaka jana na ramani ya leo, utaona Urusi imerudishwa huko Kyiv na huko Kharkiv na huko Kherson kwa kilomita nyingi.
Vikosi vilivyojulikana kuwa bora katika jeshi la Putin viliangamizwa kabisa, kama vile wanaparachuti kwenye siku za kwanza huko Holomel Airfield.
Hata yale unayoita "kusonga mbele" siku hizi kunaonekana kwa mtu anayetumia hadubini ili atazame ramani.

Kwa jumla mafanikio ya silaha hizo ni kwanza kwamba Waukraine walijifunza haraka kuvitumia kwa uhodari na pili kwamba mipango ya kuangusha Ukraine haraka imeshindikana hadi leo.

Kwa hiyo nashukuru ukiuliza kuhusu matatizo yangu, ila kwa jumla sijambo. Na wewe je?
 
Unajipapasa mwenyewe
"Vikwazo dhidi ya Urusi ni mzizi wa maovu yote": Chama cha Uhuru cha Austria kinataka ipigwe kura ya maoni kuondoa vikwazo ambavyo ulaya imeiwekea Urusi lakini vinawatesa wenyewe kwa kuongeza gharama za maisha.

Mkuu bila shaka unajua chama cha FPO huko Austria ni akina nani? Chama cha Wabaguzi na wapenda rushwa iliyofukzwa katika serikali juzi tu?
Kwa hiyo itakusaidia kama wabaguzi wa Austria wanasema kitu unachopenda? Je ushabiki unasababisha madhara ya macho na akili?
 
Back
Top Bottom