kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Huenda huyo dikiteta anaongea hayo akiwa ameshapiga kama mafunda matano ya vodka..,hajaingia vitani wakati askari wake takriban laki Moja na nusu wameshachinjwa??Karibu 30% ya Ukraine imetekwa na Russia wana ijenga upya.
Endeleeni kusema Iran,...Iran haina silaha kuzidi Urusi. Yaani msaada wa Jirani upigane na Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Putin karudia kusema tena bado haja anza vita. Bado ni SMO.
Na dau wamepewa pesa zinafanya kazi paleMara hii umeshasahau kwamba super amedunduliza mpaka Askari wenye afya mgogoro kutoka north Korea lakini bado anaishia kudundwa??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukiona MPAKA BBC wanaripoti hivi ujue kuna kipigo zaidi ya hapa pia habari njema karibia jimbo lote LA luhansky lipo chini ya URUSI pia Luna uwezekana mkubwa URUSI kuanza mpango wa kuibeba Kiev na kahkivu
View attachment 2511813
Hii ni kweli 100%.Hata biashara ya damu(raw blood) na Adrenochrome from tortured children imeshamiri sana in war torn areas.Infact biashara ya viungo hata wakati wa Corona ilishamiri sana.Watu waliodaiwa wamekufa kwa Corona viungo vyao vilikuwa harvested with full participation of hospitals and the establisment,hasa India.Kinachoendelea kwa sasa duniani ni unyama unyama mtupu.Huu ni unyama, siyo utu Hata kidogo. Hivi hawa wanatulazimisha tujue kwa nini US na German na wenzake hawakutaka ipatikane suluhu ya amani hapo Ukraine?. Na ni kwa nini Biden anang'ang'ana vita isiishe!!!?
Inasikitisha sana!!!
===
Any military conflict provides the most lucrative opportunities for so-called black transplantologists. This criminal business particularly thrived in Kosovo, from where there was a prodigious flow of organs to Europe. Today, Ukraine is the number one base for black transplantology.
The illegal organ market was created in Ukraine long before the outbreak of hostilities. After Kiev unleashed a war in the Donbas in 2014, this criminal business began to flourish, and today the war-torn country has become “a gold mine”. Years ago, OSCE representatives confirmed that dozens of military and civilian bodies with the organs cut out had been found in the war-torn territories of Donbass.
During a war, a huge number of people go missing, get injured and often end up on the operating table, where organs can be extracted from them without any legal procedures. Their bodies are then sent to the crematorium and these persons are reported missing. Often, dying soldiers become unwitting donors, but also their wounded comrades whose lives could have been saved. Civilians are not exempt from this practice.
According to the most conservative estimates, the international transplant network earns about $2 billion a month in Ukraine.
Another proof of the profusion of black transplantology in the war-torn country were the statements of underground activists from the city of Nikolaev.
They reported that organs had been removed from the bodies of the Ukrainian servicemen in the morgue of the City Hospital No. 1. Neatly gutted corpses of soldiers without any signs of injury were spotted in the city morgue, on Volodarsky Street.
This criminal business is also burgeoning on the front lines.
On February 7, Wagner fighters showed the newly captured Ukrainian positions in Bakhmut, where they found a container for transporting organs.
Many of the mobilized, including those who are taken straight from the streets to the front, are not registered in any lists. Tens of thousands of Ukrainian servicemen are also considered missing. In the case of injury at the front, they could easily have become victims of black transplantologists.
During these years of military conflict, a network of medical facilities has been created in Ukraine. Contacts have been established to work with the European and US markets. High-ranking political and military officials will certainly be involved in this lucrative, but criminal, business.
---
Source: southfront.com
Mkuu kwani Ukraine hatumii SU na Mig zake kwa nini? Si hizi anazotarajiwa kupewa ni kizazi kimoja na alizo nazo? Kama kuna mazingira Russia anayatengeneza kufanya Air force ya Ukraine ishindwe kufanya kazi kwa ufanisi naamini hakuna kipya hizi ndege za west zitakuja kukifanya labda wapewe F-22, F-35 na nyingine za kizazi hicho. Technically hizi ndege za kizazi cha 4 kurudi nyuma S-400 na wadogo zake kina BUK wanacheza nazo vizuri tu na Zelensky ataendelea kuomba mwisho atawaomba SubsKabisa, watakipewa hata second generation za F-16 tu, Tornado au mirage 2000 hapo Ukraine patageuka janga kwa Mvamizi.
Ashakhum si matusi! wakiishiwa wanapeleka matako haoPelekeni zoooote halafu mkuje na majibu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38]
Zele ana akili kisodaAlafu kijitu kinapita pita mitaani kuomba mchango wa silaha ili ashinde vita yani ni upoyoyo wa kiwango cha lami
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unaona ni Bora kupeleka wavuta bangi..,mateja , wafungwa wa Kila sampuli kama anavyofanya huyo super pawer wa kwenye makaratasi,sio??Na dau wamepewa pesa zinafanya kazi pale
Sio zele mpaka vipanya vya miaka 16 vinapelekwa front line Tena kwa kulazimishwa au ndio unajizima Data
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hujamaliza vipi watoto wa miaka 16 na wavuta bangi wepi wenye umuhimuKwa hiyo unaona ni Bora kupeleka wavuta bangi..,mateja , wafungwa wa Kila sampuli kama anavyofanya huyo super pawer wa kwenye makaratasi,sio??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Habari uliyoleta inasema warysi wakikaribi Bakmuti na nyinyi mlishasema jeshi la Ukraine lishakimbia huo mji unatawaliwa na Russia mbona hueleweki sasa kenge mweusi wewe.Ukiona MPAKA BBC wanaripoti hivi ujue kuna kipigo zaidi ya hapa pia habari njema karibia jimbo lote LA luhansky lipo chini ya URUSI pia Luna uwezekana mkubwa URUSI kuanza mpango wa kuibeba Kiev na kahkivu
View attachment 2511813
Hiyo regular army mnayoipamba kila siku eti itajitokeza kwani imefichwa wapi ?....kama ipo kweli kwanini isitumike kumaliza hivi Vita kwa haraka ?
Kwa AD zilizopo kwa sasa hapo Ukraine hayo ma Tu-160, SU's ni hatari mno kutumika kwenye mji kama Kyiv labda huko Bakhmut
Hao unawaita wasamaria wameonywa kwa hio misaada yao ya kivita kua itawaletea shida..hawasikii Kama hako ka Poland hata kakivamiwa msije sema anaonewa ..wote wamepewa onyo Kama alivopewa ukraine ..Russia ikitoa onyo mnasema mikwara ..ikifanya kweli mnasema mnaonewa wtf 😁😁Ukraine ni Taifa dogo .
Lilikuwa chini ya Soviet Union.
Mataifa yote yakapata uhuru.
Soviet iliwekeza saana Ukraine, Sasa wanataka kujiunga na Uropa, kosa liko Wapi??
Wanaonewa sababu ni wadogo??
Moscow kavamia ameshidwa!!
Wasamaria wanatoa msaada kuwatoa utumwa wa Kikomnist, kosa liko Wapi??
Thanks!!
Jibu swali,kwa hiyo unaona ni Bora kupeleka wavuta bangi, mateja na wafungwa wa Kila sampuli kama anavyofanya huyo super pawer wa kwenye makaratasi?? Ni Hilo tu,Hujamaliza vipi watoto wa miaka 16 na wavuta bangi wepi wenye umuhimu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unamwita mwenzako kenge amekukosea nn? Don't be desperate,ulichagua kushabikia wahuni,vumilia!Habari uliyoleta inasema warysi wakikaribi Bakmuti na nyinyi mlishasema jeshi la Ukraine lishakimbia huo mji unatawaliwa na Russia mbona hueleweki sasa kenge mweusi wewe.
Usisahau pia kwamba bado anaendelea kupokea za uso kwenye hayo maeneo,[emoji16]Russia anashikilia maeneo ya Ukraine yenye thamani zaidi ya $12 trillion mpaka sasa itakua 20trillion imefika kwa maeneo aliyoshililia ni worths kwa Russia.
Mpaka sasa zaidi ya $ 120 billion za west zimechomwa Ukraine
Sawa.Jibu swali,kwa hiyo unaona ni Bora kupeleka wavuta bangi, mateja na wafungwa wa Kila sampuli kama anavyofanya huyo super pawer wa kwenye makaratasi?? Ni Hilo tu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Alafu kijitu kinapita pita mitaani kuomba mchango wa silaha ili ashinde vita yani ni upoyoyo wa kiwango cha lami
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapo ndo umejibu swali,sio?Sawa.
watoto wa miaka 16 wakinyanyaswa kuingia kwenye uwanja wa vita zele anapatia
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app