Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona unatema nyongo baada kukuingia fresh [emoji41][emoji41]
Vumilia tu shekhe,!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Does Surovikin still running the show?
 
Tutajionea Mengi.
Hifadhi za risasi na makombora nchini Ukraine "zinakaribia kufika sifuri." Kila kitu kinaisha haraka sana kwa sababu ya ukubwa wa mapigano," Naibu Mkuu wa OP Igor Zhovkva. Ukraine hutumia risasi zaidi ya 5,000 kila siku, hii ni sawa na mahitaji ya mwaka kwa nchi ndogo.
 
Fikiria hiyo bakhumut tu wanapigana kwa zaidi ya miezi 7 Sasa.., alafu eti Wana ndoto ya kuidhibiti Donbass yote,
Kumbuka Kwa Sasa Ukraine anaandaa counteroffensive Moja matata,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Ukraine bado ana hifadhi kubwa za risasi pamoja na makombora?? Maana tunaambiwa jeshi la Ukraine limeshakuwa demilitarized baada ya urusi kushambulia miundombinu yote ya kijeshi [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna pro west yeyote wakukujibu kwa ufasaha haya maswali.. Watapiga siasa tu
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]the most promising direction of Ukraine 's counteroffensive which is axpected to kick off soon will be the country's South with a focus on metropol[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Super pawer ajiandae na kichapo kijacho[emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Ukraine bado ana hifadhi kubwa za risasi pamoja na makombora?? Maana tunaambiwa jeshi la Ukraine limeshakuwa demilitarized baada ya urusi kushambulia miundombinu yote ya kijeshi [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mahaba yamezidi mpka unazid kujionyesha we Ni mwehu ,,,yaan taarifa inasema store inaisha (ammo zinakaribia sifuri ) we unaandika utoto,ebu team upinde muambieni shosti enu atulie
 
Mahaba yamezidi mpka unazid kujionyesha we Ni mwehu ,,,yaan taarifa inasema store inaisha (ammo zinakaribia sifuri ) we unaandika utoto,ebu team upinde muambieni shosti enu atulie
Wewe ndio unajifanya kichwa maji ,au umeamua kujizima data kwa makusudi kabisa.., tuliambiwa urusi ameharibu Kila kitu kinachohusiana na jeshi huko Ukraine.., tunaambiwa hakuna miundombinu yoyote iliyobakia huko Ukraine..,Sasa hizo hifadhi za lisasi na makombora zinatoka Ukraine ya wapi!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…