kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwa kuwa nawaumbua pro Russia wanaoleta uharo hapa! Sio??[emoji16]Wewe umepanda MABEGA mkuu sio bure
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa nawaumbua pro Russia wanaoleta uharo hapa! Sio??[emoji16]Wewe umepanda MABEGA mkuu sio bure
Unaweza kuona viongozi waungwana jinsi wanavyobehave.., sidhani kama Yule dikiteta anaweza kusimama na kusema " kutangaza special military operation lilikuwa kosa la kimkamkati!"German Foreign Minister Baerbock admitted that she made a mistake when she said that "we’re waging war against Russia."
“There is a proverb that says:
“Only he who does not live does not make mistakes,”
she said
My Taiwan nilikupenda sana ila China kakupenda zaidi.
Msidharau vinchi vidogo..,Kila mtu haamini kama kwa udogo alionao Ukraine kwa urusi angekuwa anaendelea kumtoa kamasi namna hii!!Kanaonywa hakasikii ...Jana kanajidai kanaeza kutoa ndege [emoji23]ila mpka kikao chenu Cha vikoba kikae
Natamani china Naye ajaribu Ili nayeye anaswe kama urusi..,hapo kazi kubwa itakuwa imeisha na mambo yatakuwa mseleleko[emoji28][emoji16][emoji1787]My Taiwan nilikupenda sana ila China kakupenda zaidi.
Poland ameshawahi kupigwa na urusi.[emoji3][emoji3] naona Poland anamtamani mrusi hatari, yaani Urusi akijichanganya kwa Poland atayakanyaga mazima.Poland siyo Ukraine.
Huyo Urusi anakwama wapi kurudia hiyo mission Sasa??Poland ameshawahi kupigwa na urusi.
Hivi umesahau mobilization ya wanajeshi laki 3 walivyokusanywa mtaani mpaka wengi walikimbilia nchi za jirani na kulikuwa na maandamanoKwanza Wagner ni kampuni,hiyo ya kuchukua wafungwa na kuwapeleka vitani Naamini wanapitia mafunzo Kisha wanapelekwa vitani,japo mafunzo hayo yanaweza kuwa ya muda mfupi!
Uzuri ni kuwa wafungwa wenyewe husaini mikataba na hawalazimishwi kama ambavyo anafanya Ukraine ya kuwinda wanaume Kwa nguvu majumbani na kuwapeleka kupambana!
Kumbuka,mwanzoni kabisa mwa SMO Zelensky alisign decree kuzuia wanaume kutoka nje ya nchi na kuwata washike bunduki na kupambana!Na kweli vyanzo vingi villireport raia wakiwa wameweka vizuizi vya mchanga huku wakiwa na silaha bila hata safety gears!
Na Sasa tunasikia Hadi walemavu wanalazimishwa kwenda kupambana!
Hayo huwezi kuyasema,wewe unayaona ya Russia tu!
Wewe ndio utumie akili kenge kwani huko Ukraine uliona wanajeshi wa mataifa ya west au unaongelea wale wanaojitolea wenyewe.Akili mzigo,hao hizo silaha wanapewa bure?Wanapewa mafunzo?Wanapewa taarifa za kiintelejensia?Wanapewa misaada ya fedha kuendelea kumudu vita na misaada mingine ya kibinadamu?Hao waasi wamewekewa vikwazo vya kiuchumi wasiweze Ili wasiweze kuendelea na vita?
Tumia akili Yako vizuri kabla ya kuandika!
urusi haitishwi na popo haoSerikali ya Marekani yasema haitazuia nchi ya NATO au Nje ya NATO kuipa Ndege vita Ukraine..
Pamefikia utamu
Sawa ComedianKwa kuwa nawaumbua pro Russia wanaoleta uharo hapa! Sio??[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni Raia gani anaweza thubutu kumzomea Putin akitoa hutuma huyo atakuwa maisha ameyachoka US ni kawaida hiyo uhuru mkubwa sanaJuzi mzee Joe Biden katoa hotuba kwa taifa na kaishia kuzomewa.
Aibu sana kwa kiongozi ambae aongoza taifa kubwa kama Marekani kuzomewa akitoa "State of Nation Speech".
Yaani kuwatoa tafsiri nyingi sana.
Putin akitoa hotuba watu huhangaika kujiandaa na kuchukua dondoo kadha wa kadha.
Pia wengi huomba ufafanuzi wa baadhi ya kauli ambazo huwatatiza wengi.
Hiyo ni kwasababu Putin aongoza taifa kubwa la pili duniani baada ya Marekani na China.
Kiini cha mgogoro baina ya miamba hii ni hapo kwamba nani zaidi na amiliki eneo gani duniani.
Atume ndege akawachukue basiBoss wa Wagner anasema amepokea maombi ya kazi/ CV ya zaidi ya wamarekani milioni kumi wakiomba kujiunga.
Tumia akili Yako vema,bila msaada wa 30+ countries Kwa Ukraine,SMO isingechukua zaidi ya mwezi!Wewe ndio utumie akili kenge kwani huko Ukraine uliona wanajeshi wa mataifa ya west au unaongelea wale wanaojitolea wenyewe.
Umedandia treni Kwa mbele,Kuna raia wa Russia walikusanyika kupinga vita,baadae Kuna wengine waliibuka kupinga mobilization!Hao ndio Russia alideal nao kufagia mitaa!Ila ukiona wapi Russia ameenda kuzuia mipaka kuzuia raia wa Russia kutoka nchini?Si tuliona mpaka ule msururu wa mahali watu wakiondoka Russia,nani aliwazuia?Ilifikia mpaka nchi jirani wakawa wanazuia raia wa Russia kuingia!Hivi umesahau mobilization ya wanajeshi laki 3 walivyokusanywa mtaani mpaka wengi walikimbilia nchi za jirani na kulikuwa na maandamano
Wewe una uhusiano kifikra na 'ki-rat'.....Maana comments zenu mmmmhhh...Hivi umesahau mobilization ya wanajeshi laki 3 walivyokusanywa mtaani mpaka wengi walikimbilia nchi za jirani na kulikuwa na maandamano