Kwanza Wagner ni kampuni,hiyo ya kuchukua wafungwa na kuwapeleka vitani Naamini wanapitia mafunzo Kisha wanapelekwa vitani,japo mafunzo hayo yanaweza kuwa ya muda mfupi!
Uzuri ni kuwa wafungwa wenyewe husaini mikataba na hawalazimishwi kama ambavyo anafanya Ukraine ya kuwinda wanaume Kwa nguvu majumbani na kuwapeleka kupambana!
Kumbuka,mwanzoni kabisa mwa SMO Zelensky alisign decree kuzuia wanaume kutoka nje ya nchi na kuwata washike bunduki na kupambana!Na kweli vyanzo vingi villireport raia wakiwa wameweka vizuizi vya mchanga huku wakiwa na silaha bila hata safety gears!
Na Sasa tunasikia Hadi walemavu wanalazimishwa kwenda kupambana!
Hayo huwezi kuyasema,wewe unayaona ya Russia tu!