Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ndio maana SMO haitaisha hv punde waanze kuvurugana wenyewe kwa wenyewe huko ndani hatimae malengo yafikiweUnajipapasa mwenyewe
"Vikwazo dhidi ya Urusi ni mzizi wa maovu yote": Chama cha Uhuru cha Austria kinataka ipigwe kura ya maoni kuondoa vikwazo ambavyo ulaya imeiwekea Urusi lakini vinawatesa wenyewe kwa kuongeza gharama za maisha.
SMO inamalengo mengi mpaka nje ya UKRAINE pia
Sent using Jamii Forums mobile app