Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baada ya Medvedev anafuata huyu bwana kwa trolling

1676034245217.png
 
Uingereza ilikua zamani sahivi wanajitutumua kama mkate uliweka amira ila hamna kitu hata Tanzania tunawakalisha vizuri tu.
Unamzumguzia uingereza huyuhuyu aliyempa mkwara mzito super pawer kwamba " ukiendelea na Tambo zako za nyukria,na sisi tunasogeza mitambo yetu ya nyukria Poland".. tangia uingereza atoe kauli hiyo Tambo za nyukria za dikiteta Putin zilirudi mfukoni[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
WARUSI wanasonga mbele maeneo ya Kharkiv karibu na mji wa Kupyansk.

mji mdogo wa Dvurechnoye hatimae umeangukia tena kwa mara nyingine kwenye mikono ya WARUSI.

Sasa WARUSI wameanza kutengeneza duara ili kuzunguka mji wa Kupyansk

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20230210_155440.jpg
SnapMarkup_20235610_035632.jpg
 
WARUSI wanasonga mbele maeneo ya Kharkiv karibu na mji wa Kupyansk.

mji mdogo wa Dvurechnoye hatimae umeangukia tena kwa mara nyingine kwenye mikono ya WARUSI.

Sasa WARUSI wameanza kutengeneza duara ili kuzunguka mji wa Kupyansk

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2512607View attachment 2512608
Tupe updates za bakhumut shekhe, maana wiki 2 zilizopita tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]61 enemy cruise missiles and 5 shaheed 136/131 kamikaze drones were destroyed by Ukrainian Air force [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
1676034789700.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tupe updates za bakhumut shekhe, maana wiki 2 zilizopita tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
WARUSI sasa wanakaribia kwenye mji mdogo wa Chasiv yah.mji ambao una barabara ya mwisho ya kutokea kwenye mji wa Bakhmut.kama wakifanikiwa kuchukua mji wa Chasiv yah basi watakuwa wametengeneza Mariupol nyingine kwenye mji wa Bakhmut maana vikosi vya Ukraine vitalazimika kupigana mpaka kifo au kukubali kujisalimisha
SnapMarkup_20231810_041829.jpg
SnapMarkup_20231210_041216.jpg
 
WARUSI sasa wanakaribia kwenye mji mdogo wa Chasiv yah.mji ambao una barabara ya mwisho ya kutokea kwenye mji wa Bakhmut.kama wakifanikiwa kuchukua mji wa Chasiv yah basi watakuwa wametengeneza Mariupol nyingine kwenye mji wa Bakhmut maana vikosi vya Ukraine vitalazimika kupigana mpaka kifo au kukubali kujisalimishaView attachment 2512619View attachment 2512620
Vip una habari ya kile kichowakuta huko vuhledar [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Naona bado wapiganaji wa Ukraine wanakaza , vipi wamebakiza miji mingapi kuiokoa toka kwa fashist ?
Mkuu,Kwa Sasa Ukraine anadefend tu, lakini anaandaa offensive ya maana maana vile vifurushi vya maana kutoka USA ikiwemo magari ya kivita na makombora yenye uwezo wa kupiga umbali wa km 150 ndio kwanza vinaandaliwa kuingia front line..,bila shaka hii offensive itafanyika si chini ya wiki 2!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,Kwa Sasa Ukraine anadefend tu, lakini anaandaa offensive ya maana maana vile vifurushi vya maana kutoka USA ikiwemo magari ya kivita na makombora yenye uwezo wa kupiga umbali wa km 150 ndio kwanza vinaandaliwa kuingia front line..,bila shaka hii offensive itafanyika si chini ya wiki 2!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mi nakuongezea na wiki 2 zingine.kwa iyo baada ya mwezi nitakuliza umefika mji gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom