Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo huko Marekani, Uingereza, Ufaransa na kwingineko huko ulaya hakuna ufisadi?!?!
Mkuu hujui kweli tofauti? Basi ona
(Corruption Persception Index 2022)

Ufisadi upo Ulaya, bila shaka. Ila tofauti kama maji, chai, togwa, bia, divai, sherry, konyagi, vodka na ethylated spirit 96%.
Ona chaguo kutoka orodha ya kimataifa (1= duni, 180 = juu)
1 Denmark​
2 Finland​
5 Singapur​
9 Ujerumani​
18 Uingereza​
21 Ufaransa​
24 Marekani​
41 Italia​
54 Rwanda​
94 Tanzania​
116 Ukraine​
123 Kenya​
130 Djibouti​
137 Urusi​
157 Zimbabwe​
178 Syria​
180 Somalia​

Urusi ni afadhali kuliko Zimbabwe, lakini chini ya Djibouti, Kenya, Tanzania, Rwanda . . . .
Orodha kamili ona kwenye link!.
 
Serikali ya Moldova yaanguka baada ya Waziri wake Mkuu aliyekuwa akiungwa mkono na NATO+Marekani kujiuzulu...alalamika eti sababu kuu ni nchi yake imekumbwa na kuelemewa na changamoto nyingi nzito zilizotokana na Urusi kuivamia Ukraine.

Mwambieni aache uoga, Urusi ipo kwa jirani....Sasa je Urusi angekavamia haka ka nchi si ndo Waziri Mkuu angekimbia kabisa nchi na ukoo wake wote🤣🤣😂😂

SmartSelect_20230210-195333_Chrome.jpg

SmartSelect_20230210-195416_Chrome.jpg
 
Nakumbuka wakati Urusi akibuni,akitengeneza na kutest silaha mpya Kali na za kisasa,Kuna watu humu wakawa wanambbeza ,eyi ooh Urusi kazi yake kuunda ma silaha TU.
Sasa ndo watajua kumbe zile silaha Urusi alikua amesoma michezo na tabia za wa west.
Sasa hebu fikiria kama Urusi isingekua na uwezo mkubwa wa silaha kama ilionao Leo hii Hawa akina UK, USA, German,France,Canada na wenzao wa west wangekua wamuamuru TU Urusi afanye wanavyotaka.
Walifanya mambo yao Kosovo, Iraqi, Afghanistan pale Libya kwani waliwahi na kuweka NFZ na kuweza kushambulia kwa ndege zao za F-16

Hawawezi fanya hivyo pale Ukraine.
 
Juzi mzee Joe Biden katoa hotuba kwa taifa na kaishia kuzomewa.

Aibu sana kwa kiongozi ambae aongoza taifa kubwa kama Marekani kuzomewa akitoa "State of Nation Speech".

Yaani kuwatoa tafsiri nyingi sana.

Putin akitoa hotuba watu huhangaika kujiandaa na kuchukua dondoo kadha wa kadha.

Pia wengi huomba ufafanuzi wa baadhi ya kauli ambazo huwatatiza wengi.

Hiyo ni kwasababu Putin aongoza taifa kubwa la pili duniani baada ya Marekani na China.

Kiini cha mgogoro baina ya miamba hii ni hapo kwamba nani zaidi na amiliki eneo gani duniani.
Marekani inaongozwa na tahasisi, usidhani hiyo ni urusi inayoongozwa na amri ya kichaa mmoja
Marekani hata rais akivurunda Wala hakuna kinachoharibika,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin ndo mwanasiasa anayependwa na watu Duniani anajua nini maana ya Siasa na siku zote anataka dunia iwe na usawa kwa west na mataifa mengine.

Long Live Putin.
Ni bahati mbaya sana safari hii kayakanyaga,hii anayoiita special military operation haitamuacha salama, lazima iondoke na kichwa chake[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Da aisee!
,hii Dunia Ina wanaume aisee!
Urusi wanaume jamani tuache utani.
Kabisa...yaani wamepigana mwaka mzima kuteka majimbo mawili tu na mpaka sasa bado hawajafanikiwa asilimia 100.

Eti huyu nae ni Supa-pawa... Urusi wana jeshi zuri mno la gwaride ila battlefield bado wanajifunza.
 
Serikali ya Moldova yaanguka baada ya Waziri wake Mkuu aliyekuwa akiungwa mkono na NATO+Marekani kujiuzulu...alalamika eti sababu kuu ni nchi yake imekumbwa na kuelemewa na changamoto nyingi nzito zilizotokana na Urusi kuivamia Ukraine.

Mwambieni aache uoga, Urusi ipo kwa jirani....Sasa je Urusi angekavamia haka ka nchi si ndo Waziri Mkuu angekimbia kabisa nchi na ukoo wake wote🤣🤣😂😂

View attachment 2512844
View attachment 2512845Hii ndo generation mpya ya viongozi wanoandaliwa na nchi za magharibi na marekani kuja kutawala dunia.
Hii ndo generation ambayo imekuwa ikiandaliwa na kuja kutawala dunia.

Huyu Gavrilita babu yake alikuwa mwanajeshi wa urusi na amepigana vita kuu ya pili ya dunia.

Pia huyu na raisi wa Moldova Maia Sandu wote wameandaliwa pale Havard.

Hivyo ukifuatilia jinsi NWO inavyojipanga utaelewa.
 
Vilioza ??? Ushabiki huu Ni too much [emoji23][emoji23]hata hivyo waswahili wanasema mtu chake ,.vimeoza ila hapo c tunaona vitu new new [emoji41]idadi yake hapo hata nato ijichange vipi kumpa Ukraine havifiki hata robo ...msije bisha maana Kuna nchi imetoa msaada wa vifaru 14 aliyejitaidi katoa 31 cjui [emoji2][emoji2][emoji2]xx jiuluze vikiisha wataeza kuwapa tena ...Kama kakupa vifaru 14 hiv unategemea ukija tena kuomba utapewa vingapi
Maswali Ni meengi ya kufikirisha,majibu hata wao NATO hawana[emoji1787]
 
Nakumbuka wakati Urusi akibuni,akitengeneza na kutest silaha mpya Kali na za kisasa,Kuna watu humu wakawa wanambbeza ,eyi ooh Urusi kazi yake kuunda ma silaha TU.
Sasa ndo watajua kumbe zile silaha Urusi alikua amesoma michezo na tabia za wa west.
Sasa hebu fikiria kama Urusi isingekua na uwezo mkubwa wa silaha kama ilionao Leo hii Hawa akina UK, USA, German,France,Canada na wenzao wa west wangekua wamuamuru TU Urusi afanye wanavyotaka.
Mpaka Sasa Sion chochote Cha maana alichokifanya urusi Kwa hizo silaha unazomsifia,kama Ukraine tu anaendelea kumtoa kamasi!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii ndo generation ambayo imekuwa ikiandaliwa na kuja kutawala dunia.

Huyu Gavrilita babu yake alikuwa mwanajeshi wa urusi na amepigana vita kuu ya pili ya dunia.

Pia huyu na raisi wa Moldova Maia Sandu wote wameandaliwa pale Havard.

Hivyo ukifuatilia jinsi NWO inavyojipanga utaelewa.
Bila shaka Putin anapambana na NWO hapo Ukraine...

Mathanzua
 
Back
Top Bottom