Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sikubali kila kitu ulichosema maana sikuweza kuyathebitisha. Ila kimsingi ni sahihi kwamba kwenye nchi ya hali ya vita kuna sheria zinazounda sharti ya raia fulani kuhudumia jeshini. Na kila nchi usipofuata sheria, polisi itakuja kuchukua ili ufuate. Ona mfano wa Urusi:

Russia is grabbing men off the street to fight in Ukraine​

By Robyn Dixon
and
Natalia Abbakumova

October 16, 2022 at 1:00 a.m. EDT

Source: Washington post!
Kuna source nyingine ngoja nikutafutie inayoonesha tofauti ambapo zoezi hili lilikuwa la kujitolea na bonus ilitangazwa kabisa na watu wakaitikia!
 
Hawa jamaa hatari kabisa mpaka wanatisha
Nadhani Napoleon ni shuhuda mkubwa wa matendo ya wa russia
Hata wao walijiona hivyo hivyo unavyosema mpaka wakaamini wanaweza kuuangusha utawala wa zelensiky kwa saa 72.., lakini kilichowakuta nadhani watasimulia mpaka kizazi Cha nne [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Twende taratibu. Kwanza lete wewe uthibitisho mmoja kwamba wafungwa wa gerezani walipewa hata mwezi 1 wa mafunzo.
Ungeniletea ushahidi kuwa walitolewa gerezani na kupelekwa Moja Kwa Moja Frontline ingekuwa vema zaidi maana wewe ndiye uliyesema hayo so una wajibu wa kuthibitisha!
Ile ya mtanzania,ulifeli kuverify maana kilichosema ni mara ya mwisho kijana huyo anawasiliana na ndugu zake na sio tarehe ya kujiunga na Wagner!
Haiwezekani hujui hata kutumia silaha upelekwe Frontline!
 
Source: Washington post!
Kuna source nyingine ngoja nikutafutie inayoonesha tofauti ambapo zoezi hili lilikuwa la kujitolea na bonus ilitangazwa kabisa na watu wakaitikia!
Hizo source zikileta habari zinazofavor upande wenu kwa nini mnazileta hapa kwa mbwembe,??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizo source zikileta habari zinazofavor upande wenu kwa nini mnazileta hapa kwa mbwembe,??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lazima tuzilete kwa mbwembwe,kwa kuwa baada ya kutetea ujinga kwa muda mrefu,nao sasa wameuona ukweli.Hii inaoshesha wazi sasa kwamba something is truly happening.
 
Kumbe Putin anajua kuzungumza kiengereza , hupendelea zaidi kuwa na mkalimani....
Sijawahi kuona video ya putin akizungumza kiengereza....jamaa ni mzalendo kweri kweri



John Bolton, former national security adviser to the US president, on Putin and talks with him:

He is tough and cold-blooded. But he is a professional.

He always seemed confident. And he understood English, which is always an advantage. He did not usually speak English.

He would let his translator do the translating, but he knew what we were talking about and then he could listen again when his translator translated it. Sometimes he would correct his interpreter in English when she translated what he was saying. But he was always very direct.

In his first meeting with Rumsfeld (former US Secretary of Defense) after 9/11, he talked about Russia's experience with the Taliban and other terrorists in the region. And at one point, he told Rumsfeld, the Taliban asked Russia for something and Putin said:

"We told them exactly that," and he used that gesture [showing the figure]. And we were all a bit surprised by it.

Rumsfeld thought for a second. He said: "Well, we don't do it quite like that, but we get the point." [Some biographers say he learned from Yeltsin, Gorbachev, and others to project power.

Is that what you saw in him?]
Well, I think he felt Russia was an important player in the world and he wanted to show confidence.

But I didn't see it as posturing. I saw it as someone who was sitting on top of 5,000 or 10,000 nukes and knew he had power.
Kiingereza kama jiwe
 
Serikali ya Moldova yaanguka baada ya Waziri wake Mkuu aliyekuwa akiungwa mkono na NATO+Marekani kujiuzulu...alalamika eti sababu kuu ni nchi yake imekumbwa na kuelemewa na changamoto nyingi nzito zilizotokana na Urusi kuivamia Ukraine.

Mwambieni aache uoga, Urusi ipo kwa jirani....Sasa je Urusi angekavamia haka ka nchi si ndo Waziri Mkuu angekimbia kabisa nchi na ukoo wake wote[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

View attachment 2512844
View attachment 2512845
Ndio uwajibikaji huo,hata Putin hakustaili kuendelea kuwepo hapo clemlin kama kungekuwepo na uwajibikaji huko urusi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uwaga napata ukakasi sana pale napoona eti mtu anadai kwamba Russians wanapigana na Ukrainians.

Najiuliza, je huyu mtu ana akili timamu kweli?

Kwa sasa, Russia anapigana na collective west. Russia anapigana na NATO yote (including kiongozi wao US), na sio Ukraine peke yake.

Na ndio maana unaona hao NATO wanapeleka vifaa vita, instructors, fedha, wana mobilise watu wa kupigana, wana train watu wa kupigana huko Ukraine, wanapeleka vifaru, wanaweka Sanctions.

Sasa hii narrative ya kwamba Russia anapigana na Ukraine only inatokea wapi?
HIi ilianzia hapa:

Any country trying to intervene in the Ukraine war will face a "lightning-fast" response, Russian President Vladimir Putin has warned.
 
As a result of Russian missile and drone attacks and the occupation of the Zaporozhye nuclear power plant, Ukraine lost 44% of its nuclear generation capacity, three-quarters of its combined heat and power plants and 75 percent of its thermal power plants.
This was stated by Prime Minister Denys Shmygal during a government meeting.

According to him, the Russians again launched a massive missile attack on the energy infrastructure of Ukraine today.

"In general, due to constant attacks, almost two dozen power units of thermal power plants remain damaged." "If we add to this the fact of the occupation of part of our energy facilities, Ukraine has temporarily lost 44% of nuclear generation, 75% of thermal power plants, and 33% of combined heat and power plants," Shmyhal said.
 
Lazima tuzilete kwa mbwembwe,kwa kuwa baada ya kutetea ujinga kwa muda mrefu,nao sasa wameuona ukweli.Hii inaoshesha wazi sasa kwamba something is truly happening.
Eti baada ya kutetea ujinga kwa muda mrefu!![emoji848][emoji848]
Kwa hiyo unataka kusema kwamba hii ni mara ya kwanza kabisa pro Russia hapa kurefer hizo source mara zinapoonekana kutoa mahudhui yanayofavour upande wao??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
As a result of Russian missile and drone attacks and the occupation of the Zaporozhye nuclear power plant, Ukraine lost 44% of its nuclear generation capacity, three-quarters of its combined heat and power plants and 75 percent of its thermal power plants.
This was stated by Prime Minister Denys Shmygal during a government meeting.

According to him, the Russians again launched a massive missile attack on the energy infrastructure of Ukraine today.

"In general, due to constant attacks, almost two dozen power units of thermal power plants remain damaged." "If we add to this the fact of the occupation of part of our energy facilities, Ukraine has temporarily lost 44% of nuclear generation, 75% of thermal power plants, and 33% of combined heat and power plants," Shmyhal said.
Kwa hiyo tuseme Ukraine Iko gizan completely baada ya hizo scenario, sio??
Aliyebarikiwa akili kabarikiwa tu[emoji1255][emoji123]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Eti baada ya kutetea ujinga kwa muda mrefu!![emoji848][emoji848]
Kwa hiyo unataka kusema kwamba hii ni mara ya kwanza kabisa pro Russia hapa kurefer hizo source mara zinapoonekana kutoa mahudhui yanayofavour upande wao??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ikiwa wataleta taarifa za ukweli na rational,binafsi sina shida nao.Tatizo lao ni kwamba taarifa zao nyingi ni za kughushi ili kuendana na agenda ovu za NWO.
 
Muhimu tu kichapo Kwa huyo super pawer kinaendelea

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Russian unit have likely suffered particularly heavy casualties around vuhledar Donetsk region . they likely fled and abandoned at least 30 mostly intact armored vehicles in a single incident after a failed assault [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]


Jamaa hawajaacha Ile staili Yao ya kutembea kama kumbikumbi [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Again, Ukraine propaganda is in action. Earlier, we reported here about possible heavy losses in hardware in the Ugledar direction.

Longer version video of Ugledar's Russian attack.

As you can see in the video, most Russian equipment has retreated. Multiple Ukrainian channels started counting the number of functioning equipment as destroyed in pictures without showing the reality
 
Awamu hii Atatulia Kujipa Ubabe Kijinga nabado
"China is strengthening its military and nuclear capabilities, and this is worrying. We do not see openness regarding this process,"- US State Department
Hapa nimependa Comment ya huyu
America being the only county with their nuclear assets deployed in other countries has no moral authority to comment on this.

 
Back
Top Bottom