Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Updates:

Raisi wa Russia Vladmir Putin anatarajiwa kuhutubia taifa tarehe 21 mwezi huu.

Hotuba yake hiyo yasubiriwa kwa hamu na dunia kusikia atasema nini.

Lakini wachambuzi wengi wanaamini kuwa hiyo itakuwa hotuba ya kuidhinisha mashambulizi zaidi ya Russia kwa Ukraine khasa kuelekea mkesha wa mwaka mmoja tangu Russia ianzishe operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine.

Itakumbukwa kuwa tarehe 24 mwezi Februari 2024 Russia ilianzisha operesheni maalum na kuingia nchini Ukraine, operesheni ambayo imefanyika kwa miezi kumi na mbili sasa.

Usiku wa kuamkia leo majeshi ya Russia yameshambulia vikali miji ya Kharkov na Zaporizhzhia kwa makombora katika eneo la viwanda.

Yadaiwa kuwa katika maeneo hayo kulikuwa kumehifadhiwa silaha ambazo zimekuwa zikiingizwa nchini Ukraine kutokea nchi za NATO.
 
Yaani Kipanya ufahamu wako ni mdogo sana,si wanadanganya wadanganyika Kama wewe.The fact is that Ukrainian soldiers are fighting in Ukraine as NATO soldiers,on behalf of NATO.They receive all training and amour from the West,Kama ambavyo wangewapa askari wao,so as to implement the wider agenda of the NWO agaisnt Russia and humanity.Simply hawataka tena kupokea majeneza ya watoto wao waliokufa kwenye vita abroad.That is why the war in Ukraine against Russia is called a proxy war.The Ukrainian soldiers are not defending Ukrainian interests,but Western interests.

From now on these are the type of wars the NWO will fight.No more sending home grown soldiers abroad,they will use mercenaries.The West is infact using the Ukrainian army as mercenaries,just as it is using MK23 and Boko Haram!And in future they will increasingly use groups like Wagner Group,Academy,Define Internacional,Aegis Defense Services,Triple Canopy,DynCorp,Enrinys,Unity Resources Group,Black Water etc.to fight foreign wars.
In additional even the solders of Ukrain army are being paid by Western,
 
Updates:

Raisi wa Russia Vladmir Putin anatarajiwa kuhutubia taifa tarehe 21 mwezi huu.

Hotuba yake hiyo yasubiriwa kwa hamu na dunia kusikia atasema nini.

Lakini wachambuzi wengi wanaamini kuwa hiyo itakuwa hotuba ya kuidhinisha mashambulizi zaidi ya Russia kwa Ukraine khasa kuelekea mkesha wa mwaka mmoja tangu Russia ianzishe operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine.

Itakumbukwa kuwa tarehe 24 mwezi Februari 2024 Russia ilianzisha operesheni maalum na kuingia nchini Ukraine, operesheni ambayo imefanyika kwa miezi kumi na mbili sasa.

Usiku wa kuamkia leo majeshi ya Russia yameshambulia vikali miji ya Kharkov na Zaporizhzhia kwa makombora katika eneo la viwanda.

Yadaiwa kuwa katika maeneo hayo kulikuwa kumehifadhiwa silaha ambazo zimekuwa zikiingizwa nchini Ukraine kutokea nchi za NATO.
Nakumbuka hata hotuba ya siku ya kumbukumbu ya ushindi wa vita ya pili ya dunia ilisubiriwa kwa hamu sana,huku wadadisi wakisema Putin atatumia hotuba hiyo kutangaza vita kamili dhidi ya Ukraine.., matokeo yake tuliona blabla tu [emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona unaleta habari za mwezi uliopita? Ilikuwa mnamo 24 Januari kwamba mamlaka za Ukraine zilifukuza mawaziri na manaibu 15.
MAshitaka yalikuwa ufisadi. Ufisadi ni urithi wa ukomunisti uliopo kila chi ya Umoja wa Kisovyeti wa awali, ikiwa Urusi iko mbele katika ufisadi na Putin anatawala kupitia ufisadi.
Hapo Ukraine na Urusi wako karibu.
Ila ianonekana Zelensky anajaribu kubdlisha kitu (maana utamaduni wa ufisadi ni kzuizi kikuu cha kukaribia Umoja wa Ulaya).

Kwa hiyo huko Marekani, Uingereza, Ufaransa na kwingineko huko ulaya hakuna ufisadi?!?!
 
Updates:

Waziri mkuu wa Moldova Bi Natalia Gavrilita amejiuzulu mchana huu na kuifanya serikali yote ianguke.

Serikali ya Moldova iliingia madarakani mwaka 2021 na imekuwa ikikabiliwa na mashinikizo kutoka ndani na nje. Ndani ya nchi hiyo kumekuwa na upungufu wa nishati ambayo huingia kutokea Russia pamoja na mfumuko wa bei.

Pia kutokea nje ni nchi hiyo ambayo ilikuwa ni moja nchi zilounda umoja wa kisovieti USSR imekuwa ikishuhudia makombora yakipita juu ya anga lake kutokea Russia kuelekea Ukraine jambo liloilazimisha serikali ya Moldova kumuita balozi wa Russia nchi humo kujieleza.

Nchi hiyo ambayo haina bandari yaani "landlocked" yaongozwa na raisi bi Maia Sandu na yapakana na Romania upande wa magharibi na Ukraine upande wa kusini, mashariki na upande wa kaskazini.

Mji mkuu wa Moldova waitwa Chisinau.

Kujiuzulu kwa bi Gavrilita ambae ana umri wa miaka 41 kunakuija siku moja baada ya raisi wa Ukraine Vlodomiyy Zelenzky kudai kuwa idara ya ujausi ya Ukraine imebaini mpango wa Russia kuivamia Moldova kwa mtondo ulotumika kuivamia Ukraine mwei Febuari mwaka jana.

Akihutubia mkutano wa umoja wa Ulaya mjini Brussels, Zelensky amedai kuwa majasusi wa Ukraine wameingilia mpango mzima wa Russia kuivamia Moldova kisha kuivunja demokrasia yake (yaani serikali na Bunge) na kisha kuiendesha nchi hiyo kutokea Kremlin.
 
The fact however is that Ukrainian soldiers are fighting in Ukraine as NATO soldiers,on behalf of NATO.They receive all training and amour from the West so as to implement the wider agenda of the NWO agaisnt Russia and humanity.That is why the war in Ukraine against Russia is called a proxy war.The Ukrainian soldiers are not defending Ukrainian interests,but NWO interests.
You have been brain washed by Russian propaganda and anti-west conspiracy theories.
 
Ameona asishindwe vyote, maana front line anatembezewa mkong'oto balaa,Sasa anaona isiwe kesi, amalizie tu hasira zake kwenye hii miundombinu hambayo baada ya muda mfupi inarekebishwa!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

IMG_8918.jpg


Haina shida kama anakula kichapo as long anashikilia 27% ya eneo la Ukraine ni ushindi tosha, endelea kuishi kwa Matumaini.
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]61 enemy cruise missiles and 5 shaheed 136/131 kamikaze drones were destroyed by Ukrainian Air force [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]View attachment 2512617

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Ila zimeshindwa kutungia cruise zilizopelekwa kwenye plant za umeme. Ungejua hizo plant wanavozilinda ila wahuni wanapita nazo.
 
Hata mimi nashangaa.

Nashangaa wanaposema Russia anashambulia Civil infrastructures. Sasa najiuliza hizo Air Defense systems walizopewa zinafanya kazi gani..?

Ndio unapokuja kuelewa kwamba, hizo Air Defense systems zimeshachomwa moto... kama zingekuwepo tungeona zinafanya kazi...

Wanasema 61 cruise zimetunguliwa cha kushangaza zimetarget infrastructures ya umeme. Cheap Propaganda [emoji23][emoji23]
 
Updates:

Raisi wa Russia Vladmir Putin anatarajiwa kuhutubia taifa tarehe 21 mwezi huu.

Hotuba yake hiyo yasubiriwa kwa hamu na dunia kusikia atasema nini.

Lakini wachambuzi wengi wanaamini kuwa hiyo itakuwa hotuba ya kuidhinisha mashambulizi zaidi ya Russia kwa Ukraine khasa kuelekea mkesha wa mwaka mmoja tangu Russia ianzishe operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine.

Itakumbukwa kuwa tarehe 24 mwezi Februari 2024 Russia ilianzisha operesheni maalum na kuingia nchini Ukraine, operesheni ambayo imefanyika kwa miezi kumi na mbili sasa.

Usiku wa kuamkia leo majeshi ya Russia yameshambulia vikali miji ya Kharkov na Zaporizhzhia kwa makombora katika eneo la viwanda.

Yadaiwa kuwa katika maeneo hayo kulikuwa kumehifadhiwa silaha ambazo zimekuwa zikiingizwa nchini Ukraine kutokea nchi za NATO.
Mwaka mmoja Sasa bado Urusi hajakamilisha SMO....Russia military was overrated.
 
Kumbe Putin anajua kuzungumza kiengereza , hupendelea zaidi kuwa na mkalimani....
Sijawahi kuona video ya putin akizungumza kiengereza....jamaa ni mzalendo kweri kweri



John Bolton, former national security adviser to the US president, on Putin and talks with him:

He is tough and cold-blooded. But he is a professional.

He always seemed confident. And he understood English, which is always an advantage. He did not usually speak English.

He would let his translator do the translating, but he knew what we were talking about and then he could listen again when his translator translated it. Sometimes he would correct his interpreter in English when she translated what he was saying. But he was always very direct.

In his first meeting with Rumsfeld (former US Secretary of Defense) after 9/11, he talked about Russia's experience with the Taliban and other terrorists in the region. And at one point, he told Rumsfeld, the Taliban asked Russia for something and Putin said:

"We told them exactly that," and he used that gesture [showing the figure]. And we were all a bit surprised by it.

Rumsfeld thought for a second. He said: "Well, we don't do it quite like that, but we get the point." [Some biographers say he learned from Yeltsin, Gorbachev, and others to project power.

Is that what you saw in him?]
Well, I think he felt Russia was an important player in the world and he wanted to show confidence.

But I didn't see it as posturing. I saw it as someone who was sitting on top of 5,000 or 10,000 nukes and knew he had power.
 
Nakumbuka hata hotuba ya siku ya kumbukumbu ya ushindi wa vita ya pili ya dunia ilisubiriwa kwa hamu sana,huku wadadisi wakisema Putin atatumia hotuba hiyo kutangaza vita kamili dhidi ya Ukraine.., matokeo yake tuliona blabla tu [emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Juzi mzee Joe Biden katoa hotuba kwa taifa na kaishia kuzomewa.

Aibu sana kwa kiongozi ambae aongoza taifa kubwa kama Marekani kuzomewa akitoa "State of Nation Speech".

Yaani kuwatoa tafsiri nyingi sana.

Putin akitoa hotuba watu huhangaika kujiandaa na kuchukua dondoo kadha wa kadha.

Pia wengi huomba ufafanuzi wa baadhi ya kauli ambazo huwatatiza wengi.

Hiyo ni kwasababu Putin aongoza taifa kubwa la pili duniani baada ya Marekani na China.

Kiini cha mgogoro baina ya miamba hii ni hapo kwamba nani zaidi na amiliki eneo gani duniani.
 
Back
Top Bottom