Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa hao wapumbavu ndio wanagawa madawa huko kijijini kwenu na machanjo kalibia yote ya magonjwa kama mwanao akizaliwa lazima achanjwe machanjo ya hao wapumbavu kumkinga na magonjwa tofautitofauti kenge wewe.Hapo ulipo mwili wako umajaa chanjo za hao wapumbavu
 
Kama hasira ni vikwazo na Russia si super power awawekee vikwazo west ngoma iwe droo inamaana mtu akikuwekea vikwazo na kukalalamika ujue ni mbabe wako na unamtegemea kwa mambo mengi.
 
Naomba kuelimishwa, hivi Poland ni nani huko NATO, manake duuh
 
Naomba kuelimishwa, hivi Poland ni nani huko NATO, manake duuh
Poland ni mwanachama wa kawaida tu wa NATO lakini ni taifa lenye nguvu zaidi za kijeshi barani ulaya..,kama ilivyo uingereza na bahadhi ya mataifa mengine ya west, Poland anao uadui wa muda mrefu na taifa la urusi!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sio vifaru tena 🤣🤣🤣walisema vifaru itakua game changer wamepewa ,,,Saiv hawazungumzii tena vifaru 😁😁😁bhc wampe hizo ndege wanaanza kusukumiana mpira Mara hadi wakae vikao 🤣🤣🤣
Baada ya ndege atataka dirty bimbs na submarines na meli vita twende na game linavyo kwenda yetu macho 😀😀 bado wananchi hawajatiwa akili saivi si wameanza kuchukua Hadi umri wa miaka 14 wakiishia vitani au Urusi Kama Hawa mateka wa viatu wanaomba wapelekwe Urusi sio ukraine, Zelensky ataondolewa madarakani na waukraine wenyewe
 

NATO, EU ni vichaka vya US na EU ni another state of America.
 

Kuna nchi imekaa afghanistan miaka 20 na bado imekimbia imekula kichapo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunapowaambia USA ndiye super pawer unafikiri tunazingatia vigezo gani??

Unafikiri kuwashawishi watu wawe upande wako ni kazi simple, sio??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Super power kwa Upinde wenzake, kama anajiamini aingie front na Russia ndo tuone Usuperpower wake.
 
Na Russia alikaa Afghanistan miaka mingapi vilee? [emoji28][emoji28]
Vip malengo yake yalitimia?[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Hiyo miaka 20 kasaidiwa na NATO lakini kapewa kifilo, Afghanistan hakuna msaada sehemu yotote, wakati wa Russia Afghanistan alisaidiwa na haohao NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…