[emoji1320]Hawa elewi tu hawa ila yule mchekeshaji aamue tu ku surrender la sivyo watazikwa
Tena kujisalimisha ni kuikataa NATO nje ya hapo kipigo kwake hakita koma.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1320]Lazima LGBTQ watalipigia kilele ili jambo.
Na, wanaongozwa na Rais smart.
Na huyo dubu alitegemea kupokelewa kama bibi harusi huko Kiev, matokeo yake akatembezewa mkong'oto na kufurushwa kama mbwa mwizi [emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Balidhani dubu atachoka mapema lkn Sasa bamechoka benyewe.
Rais smart aliyeiingiza nchi vitani huku ikichakazwa na kurudiswha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa!!Na, wanaongozwa na Rais smart.
Na michango mnapaleka ya nn? Mwacheni asimame yeye Kama yeye yaani kuelewa Ni suala la mda hatuwezi kukulazimisha kuelewa maana IQ tumetofautianaRussia anachakazwa na Ukraine tu..,hata kama kusoma hujui basi jitaihid kutazama picha tu[emoji91][emoji1255][emoji123]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa nini asirushe hata jiwe Moja kwa moja pale pentagon [emoji28][emoji23][emoji1787]Russia Naona Kuna kitu amedhamiria,juzi alirusha makombora kupitia airspace za Moldova na Romania,Leo fighter jet ya Russia imepita kwenye airspace ya Poland!
Mbona huyo Russia amekuwa ombaomba kwa Iran, north Korea, Belarus..,na nchi nyingine kibao??Na michango mnapaleka ya nn? Mwacheni asimame yeye Kama yeye yaani kuelewa Ni suala la mda hatuwezi kukulazimisha kuelewa maana IQ tumetofautiana
Russia Tunajiandaa na maadhimisho ya Z-day [emoji4]Urusi inatuma watu wengi sana, wanauawa ila hawakomi kuja, wamaendelea sogea tu.
NATO kubweka kote huko na wanajeshi wao wanashindwaje kumtoa Sasa mwaka mwanamme anapambana kivyake NATO ipo vizuri kwenye magazeti na si kivita[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Rais smart aliyeiingiza nchi vitani huku ikichakazwa na kurudiswha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mahadhimisho ya mwaka mmoja [emoji1787][emoji23][emoji28]Russia Tunajiandaa na maadhimisho ya Z-day [emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
NATO bado wanaendelea kuueshimu mkwara uliotolewa na yule dikiteta, kwamba atayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto.., ulitaka NATO waingilie hili wakione Cha moto??[emoji2][emoji28]NATO kubweka kote huko na wanajeshi wao wanashindwaje kumtoa Sasa mwaka mwanamke anapambana kivyake NATO ipo vizuri kwenye magazeti na si kivita[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ha ha haa yaani Russia inazichezea sana nchi za NATO.Russia Naona Kuna kitu amedhamiria,juzi alirusha makombora kupitia airspace za Moldova na Romania,Leo fighter jet ya Russia imepita kwenye airspace ya Poland!
Ni suala la kujivunia maana NATO ilikuwa inatishia Sana kumbe mbwa Koko wanabutuliwa mpka wanaogopa kupeleka silaha wanaishia kubishana Nan atamfunga paka kengele yaani mwandishi wa like kitabu aliona mbali sana.Mahadhimisho ya mwaka mmoja [emoji1787][emoji23][emoji28]
Kutoka kwenye operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Halafu Wala hata hajajibu chochote!Wamebaki wanamtupia lawama tu😃Ha ha haa yaani Russia inazichezea sana nchi za NATO.
[emoji117][emoji117][emoji117] silaha za NATO zinawachaka askari wa super pawer kila kukicha [emoji16]Ha ha haa yaani Russia inazichezea sana nchi za NATO.
Kama operation yetu ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo ilivyoingiliwa na tukabaki kubweka tu,sio??Halafu Wala hata hajajibu chochote!Wamebaki wanamtupia lawama tu[emoji2]