Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bado tu kramatorsk na Slaviansk.zikianguka tu basi Dombass imekwenda na mma[emoji23][emoji23]
Mkuu kinachowaumiza kichwa majenerali wa Ukraine na NATO ni kimoja tu.

Bakhmut ikianguka hakuna kizuizi kikubwa kwenda Kramatorsk- Slovyiansk.

Hivyo wanajitahidi kuishikilia Bakhmut lakini itaanguka tu.
 
Mkuu kinachowaumiza kichwa majenerali wa Ukraine na NATO ni kimoja tu.

Bakhmut ikianguka hakuna kizuizi kikubwa kwenda Kramatorsk- Slovyiansk.

Hivyo wanajitahidi kuishikilia Bakhmut lakini itaanguka tu.
Yah ni kweli watu awajui kwa nini Ukraine kaweka nguvu kubwa pale Bakhmut.Bakhmut ni kama centre ya kufika kwenye miji yote.inamaana ikianguka tu basi kuna baadhi ya sehemu hakuna kitakachofika.
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] Australian defense minister Claudia tanner denied the possibility of Ukrainian military being trained in Australia to operate leopard 2 main battle tanks [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vp tena miss rat [emoji1787][emoji1787] umeamia team russia nini?
 
Russia ilikwishapata mzigo wa silaha UAV kutoka Iran tangu mwezi August 2022!!

Mwezi Novemba pia Iran ikatoa silaha zingine zenye uwezo wa juu yaani "Adanced capability".

UAV hizi ni zile za Shahed-191 , Mohajer-6 na UAV zingine kutoka kwenye bohari maalum.

Makombora hayo yana uwezo wa kusafiri kilomita 200 na hubeba kombora kila ubawa na zina uwezo kukwenda kurusha kombora na kurudi nyumbani bila kuathirika tofauri na zite za kamikaze ambazo hulipuka na kuharibika yaani disposable.

Iran imekuwa ikikanusha uhusika wake wa kusaidia kuipatia Russia silaha hizi kali ambazo zawachanganya sana nchi za NATO na USA.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa baadhi ya vyombo vya habari za uchunguzi, shambulizi lilofanywa na Israel katika kiwanda cha silaha katika mji wa Isfahan kwa kutumia UAV ilikuwa ni kazi ya majasusi wa MOSAD ambao walikuwa na lengo la kuharibu mitambo ya kiwanda hicho lakini shambulio hilo halikufanikiwa.

Lakini Iran ikasema shambulizi hilo ni moja ya mashambuzi katika vita kivuli au "shadow war" kati ya Iran na Israel ambayo imekuwa ikifanyika kwa muda sasa.

Kwa kifupi kazi hiyo ni moja ya kazi chafu "dirt work" ambazo hutolewa kama zabuni na mataifa makubwa.

Hadi sasa Israel yahangaika kutaka kufahamu khasa vilipo viwanda vya silaha nchini Iran jambo ambalo ni gumu kwa kuzingatia kuwa Russia imewapatia Iran mitambo maalum ya anga na satelite kulinda usalama wake.
 
Russia imeanza New Offense hii imeonekana kutokana na msururu wa magari na wanajeshi wengi.

Ukraine tujipange kuwaumbua mara nyingine

Leo Zaporizhzha imeshambuliwa mara 17 ndani ya Saa 1

Ukraine tujiandae kunywa damu za watu
 
❗️US Training Terrorists To Target Russia — Moscow

The US has turned to Islamist extremists to plan terrorist attacks in Russia and other ex-Soviet republics, Moscow’s Foreign Intelligence Service (SVR) said on Monday. The agency claimed that a group is being trained at a base in Syria for the purpose.

“The US military is actively recruiting militants from jihadist groups affiliated with Islamic State [IS, formerly ISIS] and Al-Qaeda to commit terrorist attacks in Russia and members of the Commonwealth of Independent States [CIS],” the SVR stated, citing “credible reports.”

Established after the collapse of the Soviet Union, the CIS incorporates some of its former republics.

According to the SVR, the US has enlisted 60 terrorists who have already been active in the Middle East. It added that they are undergoing training at the Al-Tanf American military base in Syria, where they are learning how to manufacture and use improvised explosive devices.

Subscribe to RT
Marekani ni taifa la kigaidi.
Nina Imani na SVR,hua hawasemi uongo Hawa.
 
[emoji1255][emoji298]Wanawake wajawazito wa Urusi wanakimbilia nchini Argentina na kwenda kujifungulia Huko Ili watoto wao waweze kupata uraia wa Argentina.., wanawake wa urusi hawataki watoto wao wawe na uraia wa urusi..,hii habari wameripot BBC Swahili [emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa unatuletea habari za udaku za propagandists wa bbc ili iweje
 
Vp tena miss rat [emoji1787][emoji1787] umeamia team russia nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kingereza tatizo hapo mwenzio kaelewa hivi

Waziri wa ulinzi wa Australia amekubali majeshi ya Ukraine kupata mafunzo nchini humo!
Kumbe jambo ni kinyume chake ki rat na elimu mzigo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Russia imeanza New Offense hii imeonekana kutokana na msururu wa magari na wanajeshi wengi.

Ukraine tujipange kuwaumbua mara nyingine

Leo Zaporizhzha imeshambuliwa mara 17 ndani ya Saa 1

Ukraine tujiandae kunywa damu za watu
It's too late mzigo umechelewa.

Bwana Stoltenberg kakiri leo.

Ndo maana Zelensky alikwenda EU kuhimiza "deliveries" lakini Stotelberg kasema sasa hivi production iko "strained" na uzalishaji umepungua kasi.

Deliveries zasemwa zitakuwa available kuanzia April.

Hivyo Zelensky kaachwa peke yake amalizane na Russia.

Korea Kaskazini na Iran nao wamezidisha supply ya mzigo na imekuwa delivererd wiki mbili zilipita hivyo Russia ana silaha za kutosha.

China atumia Balloons kufanya reconnaissance kubaini any vulnerabilities ndani ya anga za US Canada na NATO na amefanikiwa kwani USA azidungua lakini mabaloon hayo ni self destructed baada ya kudunguliwa hivyo kuharibu any trace of info.

China akipata info za data kama za vituo vya kijeshi ampatia Russia hizo data.

NATO hakuna hata nchi moja ilogundua madubwana hayo ambayo (kumbe) yapo anga la kimataifa kitambo sana.
 
TUAMBIANE UKWELI

Jens Stoltenberg held a joint press conference and said that the war in Ukraine began not in 2022, but in 2014, although he did not specify who started it and how...
 
View attachment 2516263
Stoltenberg: If NATO sends NATO planes to organize a no-fly zone over Ukraine, this will be direct intervention in the conflict, we will not do this.
Wachambuzi wengi twaona kwamba NATO wanachopanga mida hii ni "false flag attack" ndani ya moja ya nchi tuseme Poland na kisha kuisingizia Russia ,kuwa imefanya shambulizi.

Wakifanya hivyo watasema wana-trigger Article Five ya NATO charter kwamba akishambuliwa mwanachama mmoja basi wote kuingia kumshambulia adui.

Hiyo itakuwa ni suicide mission.

Zelensky aekelea kushindwa vita kwa kukosa misaada zaidi hivyo NATO na Marekani hiyo itakuwa ndo last resort.

Dunia kwa sasa ipo kwenye njia panda.
 
Yani wanaokufa kwa wingi ndo wanazidi kuchukua maeneo, wale wasiokufa wanazidi kupoteza maeneo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna haja ya kuundwa tume huru kwa ajili ya kuchunguza report za uwanja wa vita anazotuletea bwana mkubwa Kipanya 44[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Sasa kama wanao toa Hizo taarifa ndio Hao Vilaza Unategemea nn
 
Wachambuzi wengi twaona kwamba NATO wanachopanga mida hii ni "false flag attack" ndani ya moja ya nchi tuseme Poland na kisha kuisingizia Russia ,kuwa imefanya shambulizi.

Wakifanya hivyo watasema wana-trigger Article Five ya NATO charter kwamba akishambuliwa mwanachama mmoja basi wote hingia kumshambulia adui.

Zelensky aekelea kushindwa vita kwa kukosa misaada zaidi hivyo NATO na Marekani hiyo itakuwa ndo last resort.

Dunia kwa sasa ipo kwenye njia panda.
Huijui nuke
 
Ukraine wanajua kila Chocho za mitaa Yao, hivyo inakuwa rais kuwatrack warusi na kuwachinja..,hiki ndicho kinasababisha vifo vya wanajeshi wa urusi kuwa utitili,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kaa ujue jambo moja, ukraine kwa Urusi ni Kama Zanzibar kwa Tanzania nadhani this will make you concious uwa he ushabiki wa sokoni
 
Back
Top Bottom