Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2516263
Stoltenberg: If NATO sends NATO planes to organize a no-fly zone over Ukraine, this will be direct intervention in the conflict, we will not do this.
Ataa!,Mimi nawaomba wapeleke bana,huu utakua ni ubaguzi wa Hali ya juu sana,
Mbona Libya waliweka no fly zone,?
Mbona Iraq waliweka the same,?
Mbona Kosovo,serbia,Bosnia na hezegovina waliweka ?
Kwa Nini wanaibagua Ukraine?
Wakati mazingira yote ya Ukraine yanafanana na Libya,Yugoslavia n Iraq?
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa.
NATO acheni ubaguzi.
 
It's too late mzigo umechelewa.

Bwana Stoltenberg kakiri leo.

Ndo maana Zelensky alikwenda EU kuhimiza "deliveries" lakini Stotelberg kasema sasa hivi production iko "strained" na uzalishaji umepungua kasi.

Deliveries zasemwa zitakuwa available kuanzia April.

Hivyo Zelensky kaachwa peke yake amalizane na Russia.

Korea Kaskazini na Iran nao wamezidisha supply ya mzigo na imekuwa delivererd wiki mbili zilipita hivyo Russia ana silaha za kutosha.

China atumia Balloons kufanya reconnaissance kubaini any vulnerabilities ndani ya anga za US Canada na NATO na amefanikiwa kwani USA azidungua lakini mabaloon hayo ni self destructed baada ya kudunguliwa hivyo kuharibu any trace of info.

China akipata info za data kama za vituo vya kijeshi ampatia Russia hizo data.

NATO hakuna hata nchi moja ilogundua madubwana hayo ambayo (kumbe) yapo anga la kimataifa kitambo sana.
West walishajua walifanya mistake, hizo delay za kupeleka Tanks na silaha kali walishazipanga kutafuta sababu namna gani watajitetea. Kuna watu wanafikiri wanaelwa propaganda vizuri, lakini baada ya muda sio mrefu watajua walikuwa hawajui.
 
Urusi inatuma watu wengi sana, wanauawa ila hawakomi kuja, wamaendelea sogea tu.
Nahisi Utoto pia Unakusumbua Hivyo Hufahamu Hata Historia ya Urusi
Urusi Sio Taifa Lakitoto Na Mwanajeshi Wa Kirusi Kufa kwao sio Nshu na Wapo Kumi Piga Wambele Nyuma Anakuja Pigahuyo Nyuma Anakuja
Wanapo Amua Jambo Hakuna Kurudi nyuma
 
Tutawachinja mpaka wafikie warusi millions 27 . ,Si ndio mnataka?[emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wachambuzi wengi twaona kwamba NATO wanachopanga mida hii ni "false flag attack" ndani ya moja ya nchi tuseme Poland na kisha kuisingizia Russia ,kuwa imefanya shambulizi.

Wakifanya hivyo watasema wana-trigger Article Five ya NATO charter kwamba akishambuliwa mwanachama mmoja basi wote kuingia kumshambulia adui.

Hiyo itakuwa ni suicide mission.

Zelensky aekelea kushindwa vita kwa kukosa misaada zaidi hivyo NATO na Marekani hiyo itakuwa ndo last resort.

Dunia kwa sasa ipo kwenye njia panda.
NATO hawawezi kufanya False flag attack.
Kwa sababu Kuna nchi nyingi za NATO hazitakubali kuingia vitani na Urusi kwa sababu za ujinga wa USA na Zelensky TU.
Naweza kukutajia nchi chache zitakazogomea .

Uturuki,
Italy,
France,
Hungary,
Na ujerumani.
Na vijinchi vingine.

Vihelehele
Watakao karibu kuingia ni
UK,
Poland na USA mwenyewe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kingereza tatizo hapo mwenzio kaelewa hivi

Waziri wa ulinzi wa Australia amekubali majeshi ya Ukraine kupata mafunzo nchini humo!
Kumbe jambo ni kinyume chake ki rat na elimu mzigo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Alafu uache kunishobokea , maana naona una Tabia za kikahaba!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ataa!,Mimi nawaomba wapeleke bana,huu utakua ni ubaguzi wa Hali ya juu sana,
Mbona Libya waliweka no fly zone,?
Mbona Iraq waliweka the same,?
Mbona Kosovo,serbia,Bosnia na hezegovina waliweka ?
Kwa Nini wanaibagua Ukraine?
Wakati mazingira yote ya Ukraine yanafanana na Libya,Yugoslavia n Iran ?
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa.
NATO acheni ubaguzi.
Its too late NATO wamechelewa na Zelensky anashindwa vita hii na nchi karibu yote sasa hivi haina umeme wa uhakika ni giza totoro.

NATO haiwezi kuweka NFZ kwani hiyo yamaanisha kwamba US na NATO watamwambia Russia kwamba haruhusiwi kurusha ndege zake za kivita na makombora ndani ya Ukraine? Jibu ni kwamba hiyo hiwezekani.

Ikiwekwa NFZ Ukraine maana yake ni kwamba bara zima la Ulaya litaingia kwneye vita kamili ya tatu ya dunia.

Na Putin amekwishtoa onyo hilo.
 
NATO hawawezi kufanya False flag attack.
Kwa sababu Kuna nchi nyingi za NATO hazitakubali kuingia vitani na Urusi kwa sababu za ujinga wa USA na Zelensky TU.
Naweza kukutajia nchi chache zitakazogomea .

Uturuki,
Italy,
France,
Hungary,
Na ujerumani.
Na vijinchi vingine.

Vihelehele
Watakao karibu kuingia ni
UK,
Poland na USA mwenyewe.
Poland wana kisasi na Russia kwa sababu ya ile mass deportation aliifanya Lenin baada ya wanazi na warusi kuingia Poland kwenye vita kuu ya pili ya dunia, na kisha kugawana pande mbili.
 
Back
Top Bottom