MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Ulikuwa Naye Wakati Akisema HivyoTukumbushane ni mwaka umetimia tangu Putin aseme hii ni operation ndogo ya mwezi mmoja tu😀
Ulikuwa Naye Wakati Akisema HivyoTukumbushane ni mwaka umetimia tangu Putin aseme hii ni operation ndogo ya mwezi mmoja tu😀
Ulikuwa Naye Wakati Akisema HivyoTukumbushane ni mwaka umetimia tangu Putin aseme hii ni operation ndogo ya mwezi mmoja tu😀
Ila MAURIOPOL kama haikuwahi kua na mapigano na kuharibiwa
Kuna jambo kubwa RUSSIA wanalo KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI
PROJECT yakuijenga upya MAURIOPOL haikua ama sio yakitoto kama taifa maskini kama RUSSIA isingeweza kuimudu
Nanna hakika punde SOLEDAR itaanza kujengwa upya
Anaejua MAURIOPOL inajengwa nanani anijuze maana RUSSIA na UMASKINI walionao hawawezi kuijenga MAURIOPOL ile project yakuu rebuild ule mji sio yakitoto inahitajika pesa na uwekezaji mwingi sanaaa
Anaedhania kwamba RUSSIA atapigwa hapo UKRAINE pole na anaedhania kwamba UKRAINE anaweza kushinda nakuregesha ardhi zake pole zaidi labda baada ya miaka mia kadhaa ila sio kupitia kaunta offesnsive
Mwisho :-RUSSIA mafukara sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni kwamba NATO sio nchi, ni collection ya nchi.Yani Zelensk kuzunguka kote kule awajamfungishia hata zawadi yoyote ile, karudi mikono mitupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
NATO Mungu anawaona
Hawa jamaa ule ujamaa bado unawasaidia sana, ni kama Tz tu hapa....watu tunachangiana tunajenga vyoo vya shule etc...Pure capitalist countries miradi kama hiyo ni Billions of moneyYani Warusi watengeneze mradi kama huu wa maji alafu Dombass isiondoke.itakuwa utani uwo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wow sasa ngoja wajilete waone kitachowatokea.[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]as a part of the drone army project 1,765 drones have been purchased for a total sum of 3.5 billion dollars ,and 3500 military personnel have been trained to operate them [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hadi sasa ukiangalia bado anaendelea kutuma watu bila vifaa, drone zinawaona, mortals zinawauaHuko vuhledar warusi walichinjwa balaa🥱🥱View attachment 2516300
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama alianza na elites na wakauawa pale hostomel, asitegemee atafika popote labda lengo ni BakhmutTukimuita yule fashisti kwamba ni dikiteta Wala hatukosei, maana hata wakubwa wanajua[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Russian dictator Vladimir Putin has already started new offensive action in ukraine
" Sending thousands and thousands of more troops" NATO secretary general said on February 13 as quoted by financial times [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tukumbushane ni mwaka umetimia tangu Putin aseme hii ni operation ndogo ya mwezi mmoja tu[emoji3]
Poland atakuwa wa kwanza kutoa ndege zakeMambo yanazidi kuwa moto [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] NATO allies will not involve in the war that Russia is waging against Ukraine , but the alliance may send warplane to Ukraine so that the country can defend itself - stoltenberg [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Itafikisha miaka 10 ila ataaibikaTukumbushane ni mwaka umetimia tangu Putin aseme hii ni operation ndogo ya mwezi mmoja tu[emoji3]
Yani Zelensk kuzunguka kote kule awajamfungishia hata zawadi yoyote ile, karudi mikono mitupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
NATO Mungu anawaona