Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji95][emoji95][emoji95]Late January to early February satellite imagery: Russia has established military camps with a large troop concentration near Voronezh and Kursk, similar to the camps deployed on the eve of SMO[emoji95][emoji95][emoji95]


Mi niliwambia watu humu kuwa kumshinda Mrusi basi ni lazima ufanye kazi uwache kazi.Warusi ni watu wagumu sana kukubali kushindwa tena wajue wanapambana na west
Ninachokiona hapa ni warusi kuendelea kuchinjwa tu..,ninachokisema namaanisha, maana kurundika wanajeshi wengi sio njia ya kushinda vita..,vita ya kisasa ni teknolojia na akili tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Serikali ya Austria imekataa ku train wanamgambo wa Ukraine.

Yasema kwamba ni kinyume na constitution ya nchi yao na pia yadai kila nchi ina utaratibu wake wa kufanya mambo.

Kwa hiyo Ukraine wakaombe msaada sehemu nyingine lakini sio Austria.



View attachment 2516350
Hizo ni nchi zilizostaharabika na zinatuata kikamilifu utaratibu uliowekwa.., hawawezi kuvunja katiba kwa sababu ya Ukraine!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aisee hiyo Aya ya mwisho ndio iliyonipa Raha sana.
Nakunukuu,
"Ule msemo wa Russia ni masikini sa hivi siusikii Tena washajua mtemi ni nani".
Mwisho wa kunukuu.
Kuna rafiki yangu mmoja humu Jukwaani anaisoma taarifa hii kimyakimya kwa maumivu makali.
Bila shaka ni yule akili zake zilimwagika na mabao ya punyeto
 
Ninachokiona hapa ni warusi kuendelea kuchinjwa tu..,ninachokisema namaanisha, maana kurundika wanajeshi wengi sio njia ya kushinda vita..,vita ya kisasa ni teknolojia na akili tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wenzako waliokuwa uwanja wa vita wanasema Warusi hawazuiliki kwa sasa.wewe upo huku unaongea ulevi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usiku wa kuamkia kesho hadi tarehe 24 tutapokea vipigo vya mabomu sana ila naamini tutasimama tu, kama walishindwa mwaka jana, hawataweza mwaka huu. Tumejipanga hata warushe mabomu na drone 1000

Imradi tu wasirushe kwa wakati 1
Hahahahaha mnawapangia warushe kwa namna gani

Hicho kipigo ni nonstop mpaka kieleweke na wanajeshi wameongezwa na vifaa vya kivita vya kisasa
 
Poland wana kisasi na Russia kwa sababu ya ile mass deportation aliifanya Lenin baada ya wanazi na warusi kuingia Poland kwenye vita kuu ya pili ya dunia, na kisha kugawana pande mbili.
Mkuu elewa hawa Poland hata wakiwa na kisasi na Urusi hawana cha kufanya... Nguvu walizo nazo ni za kuendea chooni tu.
Tena unaweza kushangaa nae akapopolewa baada ya Ukraine

Relax
 
Tukumbushane ni mwaka umetimia tangu Putin aseme hii ni operation ndogo ya mwezi mmoja tu[emoji3]
Tukumbushane mwaka 2020 ulitimia mwaka wa 20 tokea NATO wapigane na wavaa sendoz pale AFGHANISTAN

Hii SMO itabidi muishi nayo tu maana sio yaleo kesho wala kesho kutwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu anaelalamika ni MKUU wa alliance fulani tunayoambiwa kubwa

SMO iendelee kama miaka.mitatu tena kuna jambo kubwa litatokea

[emoji617]NATO Secretary General: Ukraine puts pressure on our defense industry

[emoji617]The Secretary General of the North Atlantic Treaty (NATO) warned: the current rate at which Ukraine uses NATO ammunition is more than the production rate of the countries that are members of this pact, and the prevailing conditions of our defense industry are under pressure.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
SALAM.....

Kwa wale PRO-NATO

Nani anakumbuka mwanzoni mwa SPECIAL MILLITARY OPERATION (SMO) ambapo raia walikuwa wanaondoka namna ambavyo kwenye vyombo vyya usafiri hasa TRENI jinsi wenzetu (WEUSI) walivyokuwa wakifanyiwa na PRO-NATO? (WEUPE)

Nani pia anaweza kukumbuka nduguzetu Watanzania waliondoshwa eneo la mgogoro na kufika sehemu salama ikiwemo wengine kurudi Tanzania?

Unapoamua kuwa PRO-NATO ama PRO-RUSSIA una uhakika una sababu zenye mashiko???

NB: mwenye zile video za awali wakati sakata linaanza anaweza kutuwekea kwa Rejea nzuri
 
American media coverage of the conflict in Ukraine is not accurate, according to American journalist Seymour Hersh.

"The coverage of the conflict in Ukraine by leading American media, for example, The New York Times and The Washington Post, does not correspond to what is really happening," investigative journalist Hersh said on the air of the War Nerd podcast.

Hersh did not specify what he meant, but when asked by the host if his words meant that the conflict is not developing as well for Kiev as the American media are trying to portray, he answered in the affirmative.

"Russia has more than 350,000 regular servicemen who are not even involved in the conflict," he said.
 
Back
Top Bottom