Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
DUNIANI hakuna UGAIDI na kama upo basi unaendeshwa kusimamiwa na kufadhiliwa na hao hao USA na shosti zakeDaha ,kama nimeelewa vizuri,na kama ninaweza kutafasiri vizuri sentensi mojawapo inasema hivi,
Nord stream pipeline ililipuliwa upande wa German.
Ililipuliwa na Marekani wakishiriakiana na Norway.
"Hiki ni kitendo Cha kigaidi kimefanywa na Pentagon,CIA,Us navy na State Department,na pia ni kitendo Cha kivita kimefanywa dhidi ya ujerumani,amabe ni mwanachama wa NATO.
Hii imeiashangaza Urusi,je? ujerumani itaomba Ile sheria ya NATO (Article no.5 )ya kua mwanachama mmoja wa NATO imevamiwa,hivyo NATO waingie vitani kuisaidia ujerumani kwa kua imeshambuliwa na Marekani.(Article 5)."
Mwisho wa kunukuu.
Maswali magumu.
NATO ni genge la kigaidi?
Ujerumani itaomba msaada wa NATO dhidi ya USA na Norway?
Ujerumani itaendelea kua mwanachama wa NATO?
Marekani miaka yote inajinasibu kama Iko kwenye vita dhidi ya Ugaidi,je kitendo chakulipua kwa Siri Bomba la gesi ili ulaya ikose gesi sio kitendo Cha kigaidi?
Marekani inapamabana na magaidi Gani?
Hii SMO inatupa elimu kubwa sana iliyokua imejificha.
DUNIANI hakuna MAGAIDI nakama yapo basi kiongozi wao ni USA na mashost zake
Hii DUNIA ili iwe na amani inatakiwa USA na ISRAEL zisiwepo zikiendelea kuwepo basi hayo matukio yataendelea kua yakawaida na yayazidi ukawaida
US ndio GAIDI na ndio UGAIDI wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app