jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Naomba kujua hii habari inatoka kwenye source ipoi? Au lete link nasi tujiridhishe nimekuambia Mara kadhaa hutoi chanzo Cha taarifa yako? Mara zote unatuletea Hilo graph la estimates by Ukraine army weka na link mbona vingine unaweka?Bakhumut umekuwa uwanja wa maiti za warusi..,hii ni Jana tu walichinjwa 560..,ndio maana maendeleo ya warusi yamekuwa kiduchu sana katika mji huu maana wanachinjwa mno š„±š„±View attachment 2515861
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app