Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo Ukraine wanapopigana na Urusi kuwatoa katika maeneo ambayo Urusi inayakalia, sio interest ya Ukraine bali ya Western? Na tulipomtoa Iddi Amin Uganda, haikuwa interest ya watanzania? Maajabu!
 
Ni suala la kujivunia maana NATO ilikuwa inatishia Sana kumbe mbwa Koko wanabutuliwa mpka wanaogopa kupeleka silaha wanaishia kubishana Nan atamfunga paka kengele yaani mwandishi wa like kitabu aliona mbali sana.
Kwani hao NATO wanlmekuwaje?? NATO wametulia tuliii kama maji ya mtungi[emoji16][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Si wewe Hapo juu umesema Ni mwaka anapambana na Ukraine Sasa hiyo NATO hapo umeielezaje? Yaani ndio maana nimekuambia kuelewa Ni suala la wakati Kuna wakati unasimamia anapigana na Ukraine Tena Kuna wakati unasema anapigana na NATO yaani kila siku unajichanganua Hauna msimamo Kama zele tu kila siku tunakuambia Russia anapigana na zaidi ya Nchi 30 na anapambana na silaha zao ambazo wao wanasema za kisasa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwani Soledar walikubali kuwa imeanguka.uzuri siku izi hakuna kificho kila kitu kipo wazi, Warusi wameweka mpaka video wakiwa kwenye jengo la halmashauri la Krasna Hora, wameweka video wakiwa katikati na mwisho kabisa wa mpaka wa Krana hora.sasa wao vikosi vya Ukraine inabidi watuambia wapo Krasna sehemu gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Wapige tu hata picha wakiwa Krasna ili tujue nani mkweli
 
Nilitaka tufikie hapa Ili nikuulize kwamba; kwa Hali hii huoni kwamba operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imeingiliwa???

Unakumbuka kwamba tulichimba mkwara mzito kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto??[emoji16][emoji23]
Hicho Cha moto Kiko wapi Sasa[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dubu ameanza kazi na hazuiliki...NATO wanahaha...the defeat of Ukraine and NATO is imminent
Mwaka mzima kumbe dubu alikuwa hajaanza kazi kwenye Kile alichokiita operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo??[emoji28][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii vita imejaa unafiki wa kupindukia.
Najua kwa uhakika anayetafutwa hapa ni UK na USA. Hawa Slavic wamechoka utumwa wa Anglo Saxon.

Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu sana huku nikiunganisha na taarifa za kihistoria. Nimekuja kugundua kuna mtu hapa anatafutwa kuwekwa kati. Lakini naona na yeye anaruka ruka kama maharage yakiwa yanapikwa. Ukraine anatafuta namna ya kumwingiza king. Lakini anachomoa.

Mwaka jana kuna missile ya air defence ya Ukraine iliangukia Poland hii ni kuwafanya NATO waingie kulipa lakini wakageuza maneno na kukaa kimya.

Juzi juzi makombora yamepita kwenye anga la Romania, vilevile wakajikausha. Vilevile ndege vita ya Urusi imepita poland wamejikausha.

Anayetafutwa hapa ni USA. Na Russia hataacha mpaka USA aingie.

Vile vikao vya mwanzoni kabisa vya makubaliano viliweka msimamo kwa upande wa Ukraine na Russia. Makubaliano yalishafanyika. Ndio maana ukiangalia wakimbizi wengi wa Ukraine walikimbilia Russia.

Huku tunapoangalia tunatengenezewa picha ili justification ya kuingie mzigoni ifanyike.

Katika vita ya NATO na Russia, wa salvic wote wataungana. Hutaamini macho yako kuwaona
Romania,
Hungary,
Austria
Belarus
Poland
Czech Republic
Slovakia
Slovenia
Serbia
Croatia
Bosnia & Herzegovina
Montenegro
North Macedonia
Bulgaria
Moldovia
Georgia


Hawa nakuhakikishia watakuwa upande wa Russia.
Wengine ambao siyo slavic watakuwa upande wa Russia ni Baltic
Estonia, Latvia, and Lithuania.

Mwingine ambaya atakuwa upande wa Russia ni Uturuki. Piga ua galagaza uturuki atakuwa upande wa Urusi.

Nchi ambayo itaathilika sana ni German. Maana hapa ndipo mtanange utakapofanyikia. German anajaribu ku balance mambo lakini haya hayatasaidia.
Hayo ni mawazo yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa SMO hii na kutazama historia.
Karibuni kwa mawazo yenu pia
 
Ngoja kwanza huyu anayejiita super aendelee kupigishwa danadana [emoji28]
Mbivu na mbichi zitajulikana tu!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hapana NATO hawataki kuingilia hiyo operation ya kijeshi
During the ten months of the special military operation of the Russian Army in Ukraine, more than 1.2 thousand Polish mercenaries died in the fighting on the side of the Kyiv regime. This was reported by the Polish magazine “Niezależny dziennik polityczny”.
===
*******
Habari ndiyo hiyo!
 
hatuna huruma na wavamizi!!
Jana walichinjwa zaidi ya 700
Pole sana!
===
In the decision to close the entry to Artemivsk (Bakhmut) to all civilians, the Western edition sees signs of preparation for the possible withdrawal of the AFU from Artemivsk and acknowledges the real, deplorable situation for the Ukrainian army on the fronts in this direction.

“The ban on volunteers’ access could mean a prelude to the withdrawal of Ukrainian troops, although the Ukrainian military insists it retains control of the town,” the publication said.
 
Polish mercenaries does not equate to Polish army.
 
silaha za NATO zinawachaka askari wa super pawer kila kukicha
Lazima uchoke. Hata hivyo vumilia
===

Ukrainian military men execute group of Polish mercenaries in Vuhledar​

07.02.2023 14:24

Ukrainian servicemen shot a group of Polish mercenaries in Vuhledar, adviser to the acting head of the Donetsk People's Republic, Yan Gagin said, TASS reports.



According to Gagin, he was only informed that it was foreign military men who were executed. No details were provided about either the number or nationalities of the executed individuals.

Incidents of confrontation between Ukrainian and Polish units of the Armed Forces of Ukraine have become more frequent during the recent weeks. This is evidenced by intelligence data, including radio intercepts, as well as by POWs testimonies, the official said.

Sergei Fomchenkov, the commander of the Russian Legion earlier said that skirmishes between the fighters of the Armed Forces of Ukraine and mercenaries from NATO countries could occur every now and then.
 
Wewe ndio uvumilie kwa kuendelea kumuona huyo fashisti wenu akiendelea kutembezewa mkong'oto na kanchi kadoogo Tena jirani yake [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
....akiendelea kutembezewa mkong'oto....
Sasa nalazimika kujipa kazi ya kukupa pole mara kwa mara, maana hatutaki mtanzania mwenzetu apate maswahibu yatokanayo na huzuni iliyopindukia.
===

The Russian forces advanced all the way to the Bakhmut–Slovyansk highway; and Ukrainian MoD tacitly confirmed the situation by reporting fighting near Orikhovo-Vasylivka and Dubovo Vasylivka, the 2 towns lines along the southern side of the highway.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…