Hujui kabisa kinachoendelea Ukraine na duniani ndio maana umeleta comment hii.Ni hivii,
1.The Khazarian Mafia wanataka kukufanya Ukraine kuwa their other Homeland,the other being Israel,na wamemuweka Zelensky kuwa caretaker wa mradi huo.
2.Wamarekani wanataka kui-destroy Russia kabisa,ili isiwe threat kwa the new Khazarian homeland,na kwa hili pia wamemuweka Zelensky kuwa caretaker.Bioweapon labs za US ulizozisikia Ukraine ni katika harakati za the Khazarian Mafia kuisambaratisha Urusi kabisa,na Zelensky ndiye msimamizi mkuu.
3.Wamarekani ndio wasimamizi wakuuu wa mradi wa NWO wa kuleta serikali moja ya dunia.Lakini kwao Urusi ndio kikwazo Kikuu Cha utekelezwaji wa mradi huo.What have they decided,wameamua kwamba Ukraine iwe in the forefront katika utekelezwaji wa mradi huo,na ndio maana Zelensky anaweshwa kwa nguvu zote.
Kama ungekuwa makini mkuu ungeona kwamba harakati zilizopo Ukraine kwa mkono wa nchi za Magharibi,si wakawaida kabisa,kuna jambo lisilo la kawaida nyuma ya pazia.