Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hujui kabisa kinachoendelea Ukraine na duniani, ndio maana umeleta comment hii.Ni hivii,

1.The Khazarian Mafia wanataka kuifanya Ukraine kuwa their other Homeland,the other being Israel,na wamemuweka Zelensky kuwa caretaker wa mradi huo.

2.Wamarekani wanataka kui-destroy Russia kabisa,ili isiwe threat kwa the new Khazarian homeland,na kwa hili pia wamemuweka Zelensky kuwa caretaker.Bioweapon labs za US ulizozisikia Ukraine ni katika harakati za the Khazarian Mafia kuisambaratisha Urusi kabisa,na Zelensky ndiye msimamizi mkuu.

3.Wamarekani ndio wasimamizi wakuu wa mradi wa NWO wa kuleta serikali moja ya dunia.Lakini kwao Urusi ndio kikwazo Kikuu cha utekelezwaji wa mradi huo.What have they decided,wameamua kwamba Ukraine iwe in the forefront katika utekelezwaji wa mradi huo,na ndio maana Zelensky anaweshwa kwa nguvu zote.

Kama ungekuwa makini mkuu ungeona kwamba harakati zilizopo Ukraine kwa mkono wa nchi za Magharibi,si za wakawaida kabisa,kuna jambo lisilo la kawaida nyuma ya pazia.
Upo sahihi sana mkuu
 
Kifurushi kingine it loading[emoji91][emoji91] [emoji23][emoji23]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] US secretary of defense LIoyd Austin and Ukraine's minister of defense oleksii reznikov have arrived at meeting of Ukraine defense contact group in ramstein format,when a New aid to Ukraine will be discussed [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We unasema Ukraine anapambana mwenyewe Sasa kifurushi Cha nn?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Jamani ehh...
britanicca Yuko wapi siku hizi? Kipindi flani alikua akiishi Russia mjini Moscow. Ni yeye huyu aliyekulia akiona live maandamano ya warusi dhidi SMO.
NI Yeye aliyetwambia Hali ya kiuchumi Ni mbaya Sana nchini humo kiasi kwamba warusi wamekuwa wakipigania silesi ndogo TU ya mkate.
Asee britanicca Rudi bwana tumemisi elimu yako

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Jamani ehh...
britanicca Yuko wapi siku hizi? Kipindi flani alikua akiishi Russia mjini Moscow. Ni yeye huyu aliyekulia akiona live maandamano ya warusi dhidi SMO.
NI Yeye aliyetwambia Hali ya kiuchumi Ni mbaya Sana nchini humo kiasi kwamba warusi wamekuwa wakipigania silesi ndogo TU ya mkate.
Asee britanicca Rudi bwana tumemisi elimu yako

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kaona watu wameshastukia uongo wake kwa hiyo hoja zake mufilisi hazina nafasi.Waliobaki kujongomea ni Kipanya et. al.,nao ni swala la muda tu,lazima tuwasambaratishe kwa hoja nzito nao wajongomee.
 
We unasema Ukraine anapambana mwenyewe Sasa kifurushi Cha nn?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Urusi,anapotumia ardhi ya belarus kufanya mission zake dhidi ya Ukraine huoni kwamba huo ni msaada tena mkubwa??

Imagine majeshi ya Ukraine yatumie ardhi ya nchi jirani na urusi kama Finland kufanya mission zake dhidi ya urusi.., nini kitatokea??

Hii vita urusi ana msaada mkubwa sana kulinganisha na msaada anaoupata Ukraine!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
⚡Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation (14 February 2023)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

◻️In Kupyansk direction, Ground-Attack and Army aviation and artillery of the 'Zapad' Group of Forces inflicted a fire damage on mapower and military hardware of the Armed Forces of Ukraine (AFU) close to Novoselovskoye (Lugansk People's Republic), as well as Dvurechnaya, Tabayevka, Peschanoye, and Berestovoye (Kharkov region).

💥Up to 70 Ukrainian servicemen, five pickups, three motor vehicles, and a Gvozdika self-propelled howitzer have been destroyed in this area during the day.

◻️In Krasny Liman direction, Operational-Tactical and Army aviation, artillery and heavy flamethrower systems of the 'Tsentr' Group of Forces hit AFU units in the areas of Tyrny, Krasny Kiman (Donetsk People's Republic), Stelmakhovka (Lugansk People's Republic), and Serebryansky forestry.

💥Up to 100 Ukrainian servicemen, three armoured fighting vehicles, two vehicles, a D-30 howitzer, and one Grad MLRS launcher were destroyed.

◻️In Donetsk direction, more than 60 Ukrainian servicemen, four motor vehicles, four Msta-B howitzers, and a Grad MLRS were destroyed during an offensive by the 'Yug' Group of Forces, air strikes, and artillery fire.

💥Moreover, a hangar with military hardware of the 110th Mechanised Brigade of the Ukrainian Armed Forces was destroyed near Avdeevka (Donetsk People's Republic).

◻️In South Donetsk and Zaporozhye districts, Operational-Tactical Aviation and artillery of the 'Vostok' Group of Forces carried out a complex shelling of AFU units in the areas of Ugledar (Donetsk People's Republic), Levadnoye, and Orekhov (Zaporozhye region).

💥The enemy has suffered up to 40 Ukrainian troops, one tank, three armoured fighting vehicles, and two Msta-B and D-30 howitzers during the day. A munition depot was annihilated close to Malinovka (Zaporozhye region).

◻️In Kherson direction, a Msta-B howitzer was obliterated during the counter-battery warfare operation.

💥In addition, two ammunition depots were destroyed near Antonovka (Kherson region) and Veseloye (Dnepropetrovsk region).

💥Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have neutralised 93 AFU artillery units at their firing positions, enemy's manpower and hardware in 108 areas during the day. A command post of an AFU electronic warfare unit was destroyed near Monachinovka (Kharkov region).

✈️
Russian jet fighters have intercepted a Mig-29 aircraft near Cherevkovka (Donetsk People's Republic) and a Mi-8 helicopter of the Ukrainian Air Force near Slovyanka (Donetsk People's Republic).

💥 Air defence forces shot down four HIMARS MLRS projectiles and neutralised seven Ukrainian unmanned aerial vehicles close to Novovodyanoye, Kolomiychikha, Zhytlovka (Lugansk People's Republic), Aleksandrovka, Kirillovka (Donetsk People's Republic), and Pology (Zaporozhye region).

📊 In total, 385 airplanes and 208 helicopters, 3,121 unmanned aerial vehicles, 404 anti-aircraft missile systems, 7,859 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,019 combat vehicles equipped with multiple launch rocket systems, 4,091 field artillery cannons and mortars, as well as 8,377 units of special military hardware have been destroyed during the special military operation.


#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Urusi,anapotumia ardhi ya belarus kufanya mission zake dhidi ya Ukraine huoni kwamba huo ni msaada tena mkubwa??

Imagine majeshi ya Ukraine yatumie ardhi ya nchi jirani na urusi kama Finland kufanya mission zake dhidi ya urusi.., nini kitatokea??
Duh...
Hii vita urusi ana msaada mkubwa sana kulinganisha na msaada anaoupata Ukraine!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Duh...kweli Mambo ni magumu aisee..'ki-rat' unakuja na kauli Kama hii??!!!
 
NATO muda huu wako Brussles wanaendelea na kikao Cha dharura kujadili namna ya kupeleka ammunition huko Ukraine ambayo imeishiwa...Nchi za NATO nazo zimepungukiwa na ammunition...Sasa hapo ngoma nzito Sana...dubu yeye anaendelea na kazi ...
 
Back
Top Bottom