Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]the council of European union has added four countries , including Russia,to the list of non-cooperative jurisdiction for tax purposes [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna dhihaka boss nimekwambia ukweli sababu mwanajeshi kufa huko kawaida

Ila raia kufa huko ni colateral damage RUSSIA hua anaeka mpaka safe coridor kwa RAIA kuondoka kabla yakipigo

Ukiona RAIA kafa kwa shambulio la RUSSIA ujue bahati mbaya ukiona mwanajeshi kafa ujue ndio lengo la RUSSIA nandio kawaida

Tusiukatae ukweli mwanajeshi kaajiriwa jeshini ili afe maana ukipelekwa uwanja wamapambano una zaidi ya 80% zakufa kuliko kupona

Mwisho:-RUSSIA akiona ushindi na usalama wake nilazma WAUKRAINE wote wafe nakuhakikishia atafanya hvyo ikibidi

Sent using Jamii Forums mobile app
80% za kufa means huyo ni mfu kabisa

Asilimia inapozidi 50 means ni lazima hicho kitu kitokee sasa je wanajeshi wote walioenda vitani wamekufa?

Sema ni 50 kufa 50 kupona
 
Wale waliokuwa wanauliza HIMARS mbona hatuzioni tunaomba mshuhudie[emoji16][emoji23][emoji28]
1676385944617.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini asirushe hata jiwe Moja kwa moja pale pentagon [emoji28][emoji23][emoji1787]

Si mnasema ndiye anawaburuza na kuwamaster wote hapo ulaya!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kiufupi ameshafanya violation ya kutosha kwa kupitisha ndege na makombora kwenye air space ya Poland bila kibali, sasa wewe na mimi huku tujiulize ni kitu gani kimewazuia Poland [emoji1200] kutungua hizo ndege na makombora?
 
Kwani wewe ni msemaji wa serikali ya Poland?? Maana hao Poland wenyewe hatujawasikia wakilalamika kuingiliwa katika mipaka yao!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dakika chache zilizopita nilikuwa nawaangalia na kuwasikiliza kupitia TV waziri wa ulinzi wa Marekani General Austin na Chairman of the joint chiefs of staff wa USA General Mark Milley wakiwa kwenye press conference pale Brussels, Ubelgiji ambako wako kwenye mkutano wa Contact group (Baraza la Vita la NATO) unaohudhuriwa na nchi 54 zinazopambana na Russia...
Ndugu zangu, Hali ni ngumu kwa Ukraine na NATO...
Jamani kumbe ni kweli Russia ilikuwa haijatumia air Force yake na Sasa inaonekana itaanza kuitumia...duh...akina 'ki-rat' kazi mnayo...
 
Coment ya kujitia matumaini hii[emoji16]
Kwa hiyo baada ya kutazama ukaona uje mbio kuja kutusimulia huku[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Source: CNN, mtu unategemea nini kutoka kwenye highly questionable source linapuja suala a foreign policy za Merikani - propaganda tu.

Sasa huyo Generali atuletee takwimu za hasara za jeshi la Merikani iliyo pata katika vita vyo huko VietNam alipo kuwa anapigana na wakulima wa mpunga na wazaa viatu vya sandals za matairi ya magari - atwambie kama amesahau kwamba usiku mmoja USAF alipoteza B-52 sita ndani ya wiki moja B-52 kumi na mbili, je, hilo lilikuwa jambo la kawaida kiyokra kwa mmoja wa supa power wa miaka hiyo - personally I don't think so!!

Tukija kwenye takwimu za kweli, nikwamba kuanzia 1965 mpaka kufikia 1975 wakati USA inashindwa vita huko VietNam USAF ilishapoteza takribani 20,000(tweny thousand) military flying machines in VietNam including B-52 Bombers, jet fighters, helicopters etc japo hatujagusia ifadiya vifaru, magari ya deraya nk na sikumbuki wanajeshi wangapi wa kimerikani waliuwawa na kujeruhiwa huko VietNam. Generali huyo wa Kimerikani anajifanya kuyasahau hayo badala yake yuko busy ku-demonise jeshi la Urusi - kasahau kabisa walivyo furumishwa juzi juzi tu kutoka huko Afghanistan na Wataliban!!!

Wakatuletea Movie ya RAMBO ili tusahau kichapo walichokula[emoji23][emoji23]
 
Mzigo unazidi kuandaliwa.., hakuna taifa lenye maadui dunia hii kama urusi..,naona kama Kila nchi inammind huyu super pawer wa kwenye makaratasi [emoji848]🥱🥱
1676389643652.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom