Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baada ya siku kadhaa nitakukumbusha kama nilimuumbua mathanzua aliyetuletea habari zaidi ya wiki mbili zilizopita kwamba bado kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii Bakhmut aina wiki 2 itakuwa imeanguka.kama itakuwa na wiki 2 mbele basi utoniona tena hapa jamii forrum.

Weka kwenye kumbukumbu yako
 
Safi sana Watoto Wapo Safi wanapendeza

In Mariupol, after the liberation, 16 schools began to operate, attended by over 11,500 children.

In kindergartens, according to mayor of city Oleg Morgun, more than 1,500 children of preschool age attend. He added the number of students in Mariupol is constantly increasing..
 
Mkuu kweli utumie akili!!! Bila shaka utapata kati ya milioni za Wamarekani watu 20 au 30 watakaojiunga na kila upuuzi unaoweza kutokea duniani. Lakini huwezi kupata 100 wala 1000 wala lakhi wala milioni!
Namba yako ya mil 100 bila kazi haina msingi.
Na huyu Prigozhin alifanya mzaha hapa - hutambui??
Hawa watu wakikuambia ni hasubui inabidi ujihakishie hasa,ni marekani gani atavutiwa kujiunga na Wagner?? Labda marekani ya buza!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanakimbia kusema Russia imevamia NATO

🇺🇸🇷🇺🇲🇩🇷🇴The United States does not see a direct military threat to Moldova and Romania from the Russian Federation

The United States Administration does not record a direct military threat to Moldova and Romania from Russia. This was announced at a briefing on Friday by Vedant Patel, First deputy head of the press service of the US State Department.

He was asked to comment on the allegations that Russian missiles allegedly passed through the airspace of Moldova and Romania on Friday. "We maintain close contacts and communication with our partners and allies from Moldova and Romania. At the moment, we do not record any signs of a direct military threat from Russia against Moldova or Romania. In a broader sense, we support the sovereignty and territorial integrity of Moldova, as well as the neutrality guaranteed by the constitution," the diplomat replied.
😂😂🤣🤣😂🤣💪😃😃🥂🥂🇷🇺👍👏🤝👏
 
Back
Top Bottom