kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwa hiyo operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imeingiliwa??Ukraine ilishamalizwa kijeshi siku 3 za kwanza na hakuwa na jeshi tena baada ya hapo ndo EU na NATO wameingia kwa lango la mercinaries(mamluki) na demilitarization unaendelea kwenye vitengo vingine.. Sasa hizo stori za mapanya patia panya wenzio
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app