Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maana halisi ya kwamba mwanzoni mwa vita Russia hua anakuwa weak ila muda unavozidi kwenda linageuka dude flani lisiloshindwa.
Subir second counteroffensive uone jinsi majeshi ya fashisti Putin yatakavyofurushwa kwenye ardhi tukufu ya ukraine..,msije mkasema sijawaambia[emoji23][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
😂😂 China ameona amchokonoe jamaa kwa maputo😂
China anamchanganya US na mapulizo ya kijasusi tu. Anasoma angle za kuanza nazo kumnyoosha mazima. Ukitazama kwa makini zote ni strategic areas anaangalia kama kuna kizingiti chochote.

Yani Russia akilianzisha tu China anammaliza US kabla hata hajarusha kombora hata moja. Anashushiwa vidude kama vimondo.
 
Unamzumguzia huyu china hambaye kila kukicha anapigwa mikwara na Taiwan..?,acha masihara basi [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kauli hii,"serikali ya Marekani yasema haitazuia nchi ya NATO kuipa ndege vita Ukraine".
Kwangu Mimi kauli hii naitafasiri kama NATO ni chombo binafsi Cha Marekani Cha kujilinda dhindi ya Urusi.

Kwa sababu inaonesha Marekani ndio muamuzi wa Kila kitu katika NATO,yeye ndio hupanga na yeye ndio hupanga.hakuna yoyote katika NATO zaidi yake.
Nazidi kujiuliza kua hakuna nchi nyingine katika NATO inayoweza kuruhusu ama kuzuia kama kauli hiyo hapo juu.sio Poland,sio UK ,France,German wala yeyote.
Ndani ya NATO hakuna uongozi wa mzunguko kama mfano baada ya miaka let say minne inakuja nchi nyingine inakua msemaji ,mtoa maamuzi Kam ilivyo Sasa USA.
Kama hivyo nidhaniavyo ndivyo basi NATO ni umoja unaoendeshwa kidikteta sana.
Leo hii tuanona Ukraine inapigwa sababu ya USA TU.kwa sababu Nia ya kujiunga na NATO ndio imepelekea kupigwa ingawa Kuna sababu nyingine.na NATO ndo kama Ninav yosema, ni Chaka la USA.
Ama kwa hakika ukoloni sio wa kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni TU,Bali Kuna ukoloni wa kijeshi.
Kwa kifupi nchi za ulaya ni koloni la kijeshi la USA,na hatimae ni koloni la kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni la USA.

Mpango unaopiganiwa na France,German,na wenzao kwa miaka mingi wa kua na European army.
Lengo la jeshi la EU Army ni kujiondoa katika makucha ya USA.
Lkn mpango huo umekua ukipingwa kwa nguvu na UK hawara wa USA na Poland kibaraka wa USA na USA mwenyewe mkoloni.

Kwa kifupi USA alitakiwa awe na oka wake wa kijeshi buko Amerika ya Kaskazini latin Erika na Amerika kusini.

Kwa kifupi USA hua halali anaiwaza sana Russia.
NATO ni kama CHADEMA tu, mwenyekiti ni USA na wanachama wote wako kama mazombi tu. Hamna ambaye anaweza akampinga na kugombea nafasi yake maana yeye ndio alfa na Omega when it comes to NATO.
 
Mbona hatuoni hata jiwe likirushwa kwenye ardhi ya hayo mataifa ya NATO Sasa[emoji28][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanapigana Proxy war, hakuna ambaye anaharibu kwa mwenzie na wameamua ibakie hivyo hadi watakapoona imetosha watafungasha virago vyao ila Mrusi haachi kuwachinja.
 
NATO ni kama CHADEMA tu, mwenyekiti ni USA na wanachama wote wako kama mazombi tu. Hamna ambaye anaweza akampinga na kugombea nafasi yake maana yeye ndio alfa na Omega when it comes to NATO.
Ndio maana tunawaambia siku zote kuwa USA ndio super pawer haswa., unafikiri kuliweka kundi la mataifa zaidi ya 15 chini ya amri yako ni kazi nyepesi eeh??

Achana na zile takataka zinazojiita Russo..,eti na yeye anataka kuwa super pawer candidate [emoji28][emoji23]
Uchumi wenyewe wa kuchechemea

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanapigana Proxy war, hakuna ambaye anaharibu kwa mwenzie na wameamua ibakie hivyo hadi watakapoona imetosha watafungasha virago vyao ila Mrusi haachi kuwachinja.
Nakukumbusha tu Jana walichinjwa warusi zaidi ya 1100 Sasa sijui nani anamchinja mwenzie [emoji28][emoji16]
1676132571588.jpg
1676104023460.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom