Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

After victory not now
He think he will going to defend Russia [emoji635][emoji1218][emoji847][emoji23][emoji847]
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Ukrainian president volodymyl zelensiky has expressed confidence that Ukraine will join NATO after it's victory in the war [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
🇺🇦📞🇺🇸🇷🇺🚢💥🌉The Commander-in-Chief of the AFU held a telephone conversation with the Chairman of the Joint Chiefs of Staff of the US, General Mark "Kyiv could fall within 72 hours" Milley, where he expressed his concern over Russia's use of naval surface drones
'ki-rat' where are you???
 
Asee sio poa
I am older.
I live in the States.
Russians have plenty of men, that's why they keep their borders open and there aren't any videos like this one below.
But you are fighting age and in the ukraine, aren't you?
Why are you not fighting?
You paid a bribe, or are you hiding? https://t.co/6LmNWtRg75 https://t.co/aPDTW0mhDk

Inafikia wakati sasa huu ni unyama wa hali ya juu kwa rais wa Ukrein anachukua kila mwanaume aende vitani kwa lazima

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usiombe China iungane na Urusi hata kidogo.
Kumbuka North Korea haitokuwa mbali.
Mongolia hii vita itahusika.
Kazakhstan, Belarus, Tajikistan, Uzibekstan na Indo China yote.

Hapa Utakuwa umeifufua Mongolia Empire in Modern times na Wana mtaji wa rasilimali watu, Uchumi na Siraha.

Hakuna jeshi kutoka West litaweza himili hili, tumaini pekee itakuwa India ambayo ni pro Russia as well.

Kuwa makini na wishes zako
Be careful with what you wish. You just maight get it
 
Dah aisee,unajua niliacha kujibizana na wewe kwa sababu tutaishia kupeana lugha za matusi kama ambavyo ulikwisha Anza.
Ulijifanya mwalimu wa nidhamu lkn baadae nidhamu ikakutoka na ukawa mwalimu usiekua na nidhamu.

Hata hivyo kwa mtazamo wako rafiki yangu Proved kwako wewe Supapawa ni yule anaemaliza vita Kwa siku moja kwa kupiga atomic bomb, Hiroshima na Nagasaki, na Kuua Kila chenye uhai na kisicho na uhai?

Kwako wewe jeshi lenye silaha za maangamizi lkn likaacha kuzitumia,likatumia silaha za ndogondogo na nyepesi, likazitumia kwa uangalifu kuepusha vifo vya halaiki hilo kwako wewe sio Supa pawa?

Kwa sababu Ukraine Urusi inatumia silaha za wastani kwa uangalifu na kwa hatua.wakiona jeshi la Ukraine wanakua wakaidi Urusi huongeza ukubwa wa dozi ya mashambulizi,na hii ndio sababu ya kuchukua mda mrefu.

Sasa wewe niambie ni jeshi Gani la Supa pawa unaemjua wewe aliepigana mda mfupi,na alipigana na nchi Gani?

Nitajie nchi ambazo Supa pawa wako unaemuamini wewe hapa chini ya jua alizozipiga kwa mda mfupi,
Tuzijue uwezo wa nchi zilozopigwa na Supapawa,uwezo wake kijeshi,kiteknolojia na kiuchumi,

Nitajie nchi hizo zilozopigwa kwa mda mfupi kwako wewe ziikua zikisaidiwq na nchi Gani kijeshi na hata kifedha.

Nitajie Supapawa wako unaemjua aliezipiga nchi hizo kama alienda vitani peke yake ama alishirikiana na nchi nyingine,

Nitajie uwezo wa kijeshi na kifedha wa nchi alizoshirikiana nazo.
Naomba unitajie tafadhari.
Unahangaika na huyo "mfu" ..... Hana atachokujibu Hapo zaidi ya "72 hrs" ...
 
Kupata vichekesho kama hivi andika ujumbe "UCHESHI" kwenda 15444.
Mkuu Kuna Watu sijui ni upeo mdogo au wamechagua upande wa kushabikia Kama wanavyoshabikia timu za mpira. Hizo nchi za ulaya ukichanganya pamoja na USA ndo wameunda jeshi la kujiami la NATO. Je wanajiami na nani? Jibu ni urusi. Sasa Leo hii ndo nchi Moja ya Poland iwe kitisho kwa urusi.
 
Kwa wale wenye mashaka na sources zinazotoa updates za hasara aliyolambishwa super pawer wa kwenye makaratasi nitajitahidi kuwaletea vyanzo tofautitofauti..,Jana inaonekana walichinjwa warusi wengi kutokana na ambush aliyopigwa urusi kwenye mji wa vuhledar hambapo msafara wa magari ya kijeshi zaidi ya 30 pamoja na zana nyingine viliunguzwaView attachment 2513956

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Source yako inasema ni INDICATIVE ESTIMATES BY THE ARMED FORCES OF UKRANE, pigia msitari indicative estimate
 
Back
Top Bottom