Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Machuma yaliyounguzwa

1676130266597.png
 
Matusi umeyaanza wewe alafu unaanza kurudisha mpira kwa kipa,sio??
Nikupe taharifa tu kivyovyote mtu anavyokuja na Mimi naweza kurespond hivyo hivyo..,ukija na mitus tunaenda hivyo mpaka mwisho!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaniabisha sana ki rat. Unajua tuko kabila moja ila kichwani kwako hazipo.?

Au ndugu yangu unalipwa? Maana kama unalipwa inabidi umnyenyekee bosi hata akijampa unampa pole na pua hufuniki.

Nipe dili wangu basi?
 
Unaniabisha sana ki rat. Unajua tuko kabila moja ila kichwani kwako hazipo.?

Au ndugu yangu unalipwa? Maana kama unalipwa inabidi umnyenyekee bosi hata akijampa unampa pole na pua hufuniki.

Nipe dili wangu basi?
Kama unataka Dili lipo .., maana Nina shida ya house girl..,kama uko tayari nichek inbox tafadhari..,Sitanii ndugu,Fanya hivyo kama utaweza,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji95][emoji95][emoji95]Georgian Prime Minister Irakli Garibashvili said that the Ukrainian authorities are doing everything to ensure that the war extends to the territory of his country[emoji95][emoji95][emoji95]
Hiyo ni kweli..,ndio maana tunawaambia watu siku zote kwamba watu hawataki kumfurusha kabisa urusi kwenye maeneo anayoshikilia Ili abaki hapo na kuendelea kupigishwa danadana,ikiwezekana ianzishwe front line nyingine kabisa!! [emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wenye mashaka na sources zinazotoa updates za hasara aliyolambishwa super pawer wa kwenye makaratasi nitajitahidi kuwaletea vyanzo tofautitofauti..,Jana inaonekana walichinjwa warusi wengi kutokana na ambush aliyopigwa urusi kwenye mji wa vuhledar hambapo msafara wa magari ya kijeshi zaidi ya 30 pamoja na zana nyingine viliunguzwa
1676132571588.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
I am older.
I live in the States.
Russians have plenty of men, that's why they keep their borders open and there aren't any videos like this one below.
But you are fighting age and in the ukraine, aren't you?
Why are you not fighting?
You paid a bribe, or are you hiding? https://t.co/6LmNWtRg75 https://t.co/aPDTW0mhDk

Inafikia wakati sasa huu ni unyama wa hali ya juu kwa rais wa Ukrein anachukua kila mwanaume aende vitani kwa lazima

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tumia akili Yako vema,bila msaada wa 30+ countries Kwa Ukraine,SMO isingechukua zaidi ya mwezi!
Intelejensia ni kitu kikubwa sana kwenye vita,fikiria mtu anatumia satellites zake kubaini movement za adui Yako Kisha anakwambia piga kwenye coordinates hizi na hizi,Bado anakupa silaha,anakupa na fedha za kendeshea vita pamoja na serikali Yako!Bado anaweka na vikwazo Kwa adui Yako Ili ushinde vita!
Halafu unakuja kufananisha na Congo anavyopambana na waasi,utakuwa na nati zimelegea!
Sasa Supa-pawa anashindwa nini kuzi-jam au kuzifeed wrong coordinates hizo satellite za US ?....ikibidi azitungue kabisa.
 
Back
Top Bottom