Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi mbona huyu mkuu wa Wegner PMC analidharau sana jeshi la Urusi nimeona Kuna sehemu anasema jeshi la Urusi litachukua miaka miwili kuiteka Donetsick yumkini haelewani na uongozi wa jeshi la Urusi.
 
Hivi mbona huyu mkuu wa Wegner PMC analidharau sana jeshi la Urusi nimeona Kuna sehemu anasema jeshi la Urusi litachukua miaka miwili kuiteka Donetsick yumkini haelewani na uongozi wa jeshi la Urusi.
Inaonekana huko ndani Kuna moto mkubwa unafukuta kati ya jeshi la Urusi na Hawa wavuta bangi wa Wagner..,au wamepunjana posho![emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukiwafikisha hapo wanakosa nguvu kabisa.hua wanachanganyikiwa.
Watakuambia Ukraine sio NATO memba,ukiwauliza Libya,Iraq na afghan walikua NATO memba?
Hawajui wakujibu Nini.
Ukraine ameweza vyema kummudu na kumchakaza urusi.., hakuna haja ya kupeleka majeshi ya NATO kule!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii vita Yaweza kuleta balaa kubwa kuliko tunavyowaza
Mwanaume karekebisha kipengele cha mkataba wa Nuclear 🤣🤣🤣! Waache washirika wajizime Data tu kumbe sikuzote jamaa alikuwa hajibu mashambulizi sababu kuna mambo yalikuwa hayajakaa sawa. Yule MNATO kiherehere atalia siku si nyingi😀😀😀
 
Nemesi je nasikia kalipwa mil 70 tu? If yes Mimi Kesho nahirisha safari yangu ya kujiunga na jeshi binafsi la wegner
Bora uhailishe tu Mzee.., trust me,kule utakwenda kuwa tu lishe ya mizinga ya Ukraine,Wala hakuna zaidi ya Hilo..,hizo Hela hautapata hata fursa ya kuzifurahia

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume karekebisha kipengele cha mkataba wa Nuclear [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Waache washirika wajizime Data tu kumbe sikuzote jamaa alikuwa hajibu mashambulizi sababu kuna mambo yalikuwa hayajakaa sawa. Yule MNATO kiherehere atalia siku si nyingi[emoji3][emoji3][emoji3]
Unafikiri wengine ndio hawajui kubadilisha vipengele vya silaha za nyukria,sio??

Alafu hiyo mikwara ya nyukria imeshakuwa expired.., mwambie huyo dikiteta ajaribu kubuni mikwara mingine itakayotikisa angalau kidogo [emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unafikiri wengine ndio hawajui kubadilisha vipengele vya silaha za nyukria,sio??

Alafu hiyo mikwara ya nyukria imeshakuwa expired.., mwambie huyo dikiteta ajaribu kubuni mikwara mingine itakayotikisa angalau kidogo [emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uzuri sahizi vitendo vitaongea tu
 
Back
Top Bottom