Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uzuri wa hii vita hakuna pa kujificha, ukipigwa ushahidi unaletwa. Hakuna janja janja tena.

Kuna mtu anapigwa sana na ushahidi waonekana hadharani.

Kuna mtu anadai anapiga ila haoneshi ushahidi, zaidi ni maneno meeengi na matusi.

Sisi tunapiga na kuonesha,
Mara oooh Bakhmut hadi leo kimya

Vuhledar imeonesha uhalisia wa moto
Mnaleta ushabiki wa Simba na Yanga kumlinganisha Kibu na Mayele.....
 
Uzuri wa hii vita hakuna pa kujificha, ukipigwa ushahidi unaletwa. Hakuna janja janja tena.

Kuna mtu anapigwa sana na ushahidi waonekana hadharani.

Kuna mtu anadai anapiga ila haoneshi ushahidi, zaidi ni maneno meeengi na matusi.

Sisi tunapiga na kuonesha,
Mara oooh Bakhmut hadi leo kimya

Vuhledar imeonesha uhalisia wa moto
Russia anakwambia sensa utajifanyia mwenyewe!
Hivi mmesahau Bucha na kwingineko ambako Russia alipoondoka mkakutwa mnafukiwa Karibu 1000 kwenye kaburi Moja?Hamjiulizi kwanini Russia ameenda vitani na Excavator s?
Kazi ndio hiyo,kuwafukia wajeda wa Ukraine!
 
PC wagner wakiwa kwenye mji wa Krasna gora.salamu zimfikie Kipanya44 popote alipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20230212_143108.jpg
 
899 kuongeza mmoja wamechinjwa siku ya Jana tu..,ni ukweli ulio wazi kwamba Kwa hiki kipindi Cha takriban wiki 2 urusi anapokea kichapo kikali mno 🥱🥱🥱
1676194398177.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanaume Wanasonga Mbele
Paraskoveevka Cauldron

After the capture of Krasnaya Gora there are currently between 1.150 and 2.400 Ukrainians almost trapped within the encirclement at Paraskoveevka. The cauldron is less than 800m from being completely closed.
 
Uzuri wa hii vita hakuna pa kujificha, ukipigwa ushahidi unaletwa. Hakuna janja janja tena.

Kuna mtu anapigwa sana na ushahidi waonekana hadharani.

Kuna mtu anadai anapiga ila haoneshi ushahidi, zaidi ni maneno meeengi na matusi.

Sisi tunapiga na kuonesha,
Mara oooh Bakhmut hadi leo kimya

Vuhledar imeonesha uhalisia wa moto
Wataalamu wanasema hivi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the increase in Russian casualties in the war against Ukraine is likely due to the range of factors including lack of trained personnel, coordination,and resources at the front [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yaani Ukweli utajulikana tu

Polish Defense Chief Andrzejczak lays down cold hard truth stating he’s not surprised at ferocity of RuAF fighting in Ukraine warning West not to underestimate Russia

He says Russian soldiers don’t back down from hardships and press on through even the most difficult situations.

 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] ukranian defense minister ,oleksii reznikov has held a phone call with his US counterpart LIoyd Austin [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wa hii vita hakuna pa kujificha, ukipigwa ushahidi unaletwa. Hakuna janja janja tena.

Kuna mtu anapigwa sana na ushahidi waonekana hadharani.

Kuna mtu anadai anapiga ila haoneshi ushahidi, zaidi ni maneno meeengi na matusi.

Sisi tunapiga na kuonesha,
Mara oooh Bakhmut hadi leo kimya

Vuhledar imeonesha uhalisia wa moto
Tunacho shangaa sisi ni mwaka mzima bila Ukraine kukomboa hata Kijiji ki1[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunacho shangaa sisi ni mwaka mzima bila Ukraine kukomboa hata Kijiji ki1[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukraine ameshakomboa

Kyiv [emoji56][emoji56]


Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]



Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56]



Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]



Izium [emoji56][emoji56][emoji56]



Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]



Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]


Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]


Bahadhi ya maeneo ya luhansik [emoji56][emoji56][emoji56]


Mwaka mzima Sasa huyo super pawer anapigana hapo bakhumut [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Watapewa mig's na Su's generation zilizopo huko Poland na Baltic
Dah!
Su gani hizo su 22 infantry supporting aircraft? Za kizamani ambazo duniani kwa Sasa bila shaka ziko operational Poland na Syria tu.
Au su 25 frogfoot ambazo wapoland haziwatoshi mpaka leo wanatumia su 22?
Au mig 29 ambazo zitakuwa mbadala wa kupewa f16?Mig 29 haitafanikiwa kuwa game changer kwa namna yoyote coz su 27 ndo ndege Bora zaidi yaani air superiority fighter jet ambayo imekuwa na air to airkill bila be -killed hata na mig 29. Hizo waukraine wanazo na hazijawahi kuwasaidia.
Nb.
Tusubiri na tuone



Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine ameshakomboa

Kyiv [emoji56][emoji56]


Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]



Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56]



Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]



Izium [emoji56][emoji56][emoji56]



Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]



Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]


Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]


Bahadhi ya maeneo ya luhansik [emoji56][emoji56][emoji56]


Mwaka mzima Sasa huyo super pawer anapigana hapo bakhumut [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani maeneo yako yana twaliwa kila kukicha una jidai kwa kutaja vitongoji vya kijiji ambavyo anytime Russia ikivihitaji ina beba? Russia ina Strategic & Priority Areas. Siyo uchukue hata Katavi wakati hakuna issue.
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] from February 6 to February 12, Ukraine's defense force eliminated about 6,490 invaders [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yaani maeneo yako yana twaliwa kila kukicha una jidai kwa kutaja vitongoji vya kijiji ambavyo anytime Russia ikivihitaji ina beba? Russia ina Strategic & Priority Areas. Siyo uchukue hata Katavi wakati hakuna issue.
Hivyo unavyoita vitongoji huyo super pawer wa kwenye makaratasi alijaribu kuviparamia akatembezewa kichapo kikali na kukimbizwa kama mbwa mwizi [emoji28][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
RUSSIA taifa maskini sanaaaa T14 Armata

[emoji1232][emoji635] Sudan finalizes the revision of the agreement on the deployment of the Russian naval base

This is reported by AP, citing Sudanese officials. The local authorities agreed to the deployment of the Russian military, and now the agreement is waiting for ratification.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana hata chakula kwa Askari wao wataweza kweli naval Base?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom