Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

New Zealand yaripoti kuwa Urusi kwa mara ya kwanza imetumia drone yake mpya za majini (drone boat) kushambulia na kuangamiza daraja muhimu la kupitishia silaha huko Odessa. Shambulizi hilo limewaajabisha wachambuzi wa maswala ya silaha wa kimagharibi wakisema haikutambulika wala kutegemewa kuwa Urusi angeweza kuwa na drones hizo wala uwezo wa kuzitengeneza.

Kumbe wamagharibi walikuwa wakidhani eti Urusi ni Zimbabwe?!

View attachment 2514323
View attachment 2514322
View attachment 2514324
Kuna mchambuzi mmoja mahili San humu Jukwaani aliwahi kuwaaminisha wafuasi wake kua urusi hakuwahi kua na drone ndio maana anategemea za Iran.
Mimi kwa ufahamu wangu na kujisomea kwangu niliwahi kusoma juu ya kitu kama hiki.
Kwa wakati huo ilisomeka kama "Underwater drone made by Russia."
Achilia mbali droni kama hizo za kuruka juu.urusi ana Kila aina ya silaha west walizonazo.
 
Canada yasema kuwa mwakani uchumi wa Urusi utakuwa kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko mataifa yote ya G-7. Sarafu ya Urusi ipo stable na vita haijaathiri uchumi wa Urusi wala kusababisha kupanda kwa gharama za maisha nchini Urusi.

View attachment 2514344
Neno linalotembea sana humu jamvini ni "Urusi sio Zimbabwe".
 
RUSSIA taifa maskini sanaaaa T14 Armata

[emoji1232][emoji635] Sudan finalizes the revision of the agreement on the deployment of the Russian naval base

This is reported by AP, citing Sudanese officials. The local authorities agreed to the deployment of the Russian military, and now the agreement is waiting for ratification.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sudan kaupiga mwingi sana
 
Kuna mchambuzi mmoja mahili San humu Jukwaani aliwahi kuwaaminisha wafuasi wake kua urusi hakuwahi kua na drone ndio maana anategemea za Iran.
Mimi kwa ufahamu wangu na kujisomea kwangu niliwahi kusoma juu ya kitu kama hiki.
Kwa wakati huo ilisomeka kama "Underwater drone made by Russia."
Achilia mbali droni kama hizo za kuruka juu.urusi ana Kila aina ya silaha west walizonazo.

Na anasilaha ambazo West hawana.
 
Weka ugoko ukutane na jiwe.
IMG_20230209_223138_160.jpg
IMG_20230209_223137_810.jpg
IMG_20230209_223138_447.jpg
 
Back
Top Bottom