Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umeona utuletee video game kabisa [emoji16]
Kweli Hali mbaya kwa super pawer [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hatare [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hadi umeona ni kama video game [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo tulikuwa tunawakamua NATO NA USA walio salimika walikimbia uchi wa mnyama....kombati walitupa ili wasijulikane kama ni makomando wa USA[emoji1787][emoji1787]
 
Hii vita imejaa unafiki wa kupindukia.
Najua kwa uhakika anayetafutwa hapa ni UK na USA. Hawa Slavic wamechoka utumwa wa Anglo Saxon.

Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu sana huku nikiunganisha na taarifa za kihistoria. Nimekuja kugundua kuna mtu hapa anatafutwa kuwekwa kati. Lakini naona na yeye anaruka ruka kama maharage yakiwa yanapikwa. Ukraine anatafuta namna ya kumwingiza king. Lakini anachomoa.

Mwaka jana kuna missile ya air defence ya Ukraine iliangukia Poland hii ni kuwafanya NATO waingie kulipa lakini wakageuza maneno na kukaa kimya.

Juzi juzi makombora yamepita kwenye anga la Romania, vilevile wakajikausha. Vilevile ndege vita ya Urusi imepita poland wamejikausha.

Anayetafutwa hapa ni USA. Na Russia hataacha mpaka USA aingie.

Vile vikao vya mwanzoni kabisa vya makubaliano viliweka msimamo kwa upande wa Ukraine na Russia. Makubaliano yalishafanyika. Ndio maana ukiangalia wakimbizi wengi wa Ukraine walikimbilia Russia.

Huku tunapoangalia tunatengenezewa picha ili justification ya kuingie mzigoni ifanyike.

Katika vita ya NATO na Russia, wa salvic wote wataungana. Hutaamini macho yako kuwaona
Romania,
Hungary,
Austria
Belarus
Poland
Czech Republic
Slovakia
Slovenia
Serbia
Croatia
Bosnia & Herzegovina
Montenegro
North Macedonia
Bulgaria
Moldovia
Georgia


Hawa nakuhakikishia watakuwa upande wa Russia.
Wengine ambao siyo slavic watakuwa upande wa Russia ni Baltic
Estonia, Latvia, and Lithuania.

Mwingine ambaya atakuwa upande wa Russia ni Uturuki. Piga ua galagaza uturuki atakuwa upande wa Urusi.

Nchi ambayo itaathilika sana ni German. Maana hapa ndipo mtanange utakapofanyikia. German anajaribu ku balance mambo lakini haya hayatasaidia.
Hayo ni mawazo yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa SMO hii na kutazama historia.
Karibuni kwa mawazo yenu pia

Mkuu naomba na mimi nichangie.

Naomba niwe tofauti na wewe kidogo. Kama itatokea vita Kati ya US na Russia, basi hiyo vita hata 24 hrs haitachukua itakuwa imeshamalizika. Russia & US hawatapigana conversional warfare. Wao ni straight nukes. Na ndio maana wako very careful wasifikie huko.

Hakutakuwa na muda wa kufanya grouping za vifaa vita. Na ndio maana kama unakumbuka Russia aliporusha ile Hypersonic Missile (Zircon), Putin alisema hivi, namnukuu "No one listened to us then, so listen to us now.." Hii ilikuwa live telivised.

Yaani kwa sasa Russia wana makombora ya ku penetrate any air defense system (kwa sababu air defense system zimekuwa designed for supersonic.

Kwa hiyo wataweka hizo Nukes kwenye Zircon Missiles then story is over.

Na hizi Zirco missiles zipo Land based, water and air based.
 

Source: CNN, mtu unategemea nini kutoka kwenye highly questionable source linapuja suala a foreign policy za Merikani - propaganda tu.

Sasa huyo Generali atuletee takwimu za hasara za jeshi la Merikani iliyo pata katika vita vyo huko VietNam alipo kuwa anapigana na wakulima wa mpunga na wazaa viatu vya sandals za matairi ya magari - atwambie kama amesahau kwamba usiku mmoja USAF alipoteza B-52 sita ndani ya wiki moja B-52 kumi na mbili, je, hilo lilikuwa jambo la kawaida kiyokra kwa mmoja wa supa power wa miaka hiyo - personally I don't think so!!

Tukija kwenye takwimu za kweli, nikwamba kuanzia 1965 mpaka kufikia 1975 wakati USA inashindwa vita huko VietNam USAF ilishapoteza takribani 20,000(tweny thousand) military flying machines in VietNam including B-52 Bombers, jet fighters, helicopters etc japo hatujagusia ifadiya vifaru, magari ya deraya nk na sikumbuki wanajeshi wangapi wa kimerikani waliuwawa na kujeruhiwa huko VietNam. Generali huyo wa Kimerikani anajifanya kuyasahau hayo badala yake yuko busy ku-demonise jeshi la Urusi - kasahau kabisa walivyo furumishwa juzi juzi tu kutoka huko Afghanistan na Wataliban!!!
 
[emoji298]️Minister: Germany to restart production of ammunition for Gepard guns.

Germany will renew the manufacture of ammunition for Gepard self-propelled anti-aircraft guns, which it earlier supplied to Ukraine, according to German Defense Minister Boris Pistorius, cited by Reuters.
 
Mkuu naomba na mimi nichangie.

Naomba niwe tofauti na wewe kidogo. Kama itatokea vita Kati ya US na Russia, basi hiyo vita hata 24 hrs haitachukua itakuwa imeshamalizika. Russia & US hawatapigana conversional warfare. Wao ni straight nukes. Na ndio maana wako very careful wasifikie huko.

Hakutakuwa na muda wa kufanya grouping za vifaa vita. Na ndio maana kama unakumbuka Russia aliporusha ile Hypersonic Missile (Zircon), Putin alisema hivi, namnukuu "No one listened to us then, so listen to us now.." Hii ilikuwa live telivised.

Yaani kwa sasa Russia wana makombora ya ku penetrate any air defense system (kwa sababu air defense system zimekuwa designed for supersonic.

Kwa hiyo wataweka hizo Nukes kwenye Zircon Missiles then story is over.

Na hizi Zirco missiles zipo Land based, water and air based.
Asante kabisa kwa kuongezea katika hilo.
Lakini kwa kuangalia kwa undani zaidi vita vya Nuke kwa muda huu bado kupiganwa lakini vitakuja kupigananwa tu.

Kutu kinachotafutwa kwa sasa ni kuondoa au kupunguza nguvu ya anglo-saxon. Tangu vita vya kwanza vya dunia na kuweza kuiangusha Ujerumani. Hawa anglo-saxon wameweza kujitanua na kuwa na nguvu sana duniani.

Wameweza kuiteka USA, Canada, New Zealand na Australia. Huku nyuma ya pazia wakishirikiana na Franks.

Slavics wamekuwa hawana umoja na kilichowafanya na wameshindwa kuwa na umoja ni propaganda za Fanks na Anglo-saxon. Na kikubwa zaidi ni masuala ya kidini yamewafanya slavics kutokuwa wamoja huku
Anglo-saxon wakiwa na umoja wao wa kidini ambao ni madhehebu ya protestants

Wa slavics wamekuwa na dini nyingi (Roman catholic, Islam, baadhi ni protestant, Orthodox nk.) Hiki tunakiona kama kidogo lakini ni kikubwa sana.

Sasa nani wakuweza kufifisha anglo-saxon influence katika dunia hii ya sasa?
Nikuendesha mpango wa akili sana.

Ngoja niongezee kwamba UK wamefanikiwa sana kuendeleza makoloni yao mpaka leo.
Canada direct ni koloni la UK
New Zealand ni direct koloni la UK
Australia ni Direct koloni la UK
USA ni indirect koloni la UK

Hizi pande zingine za ulaya wamebaki kuongozwa na ummoja huu. Hawana maamuzi. Hata Ufaransa mwenyewe hana maamuzi maana amewekwa mtu kati.

Anglo-Saxon wameweza kupandikiza kila kona watu wao. Sasa ni kutumia akili sana kuweza kuondokana na mtego wao.

Lakini hii SMO inaenda kuondoa Empire hii iliyotengenezwa na UK.
 
Source: CNN, mtu unategemea nini kutoka kwenye highly questionable source linapuja suala a foreign policy za Merikani - propaganda tu.

Sasa huyo Generali atuletee takwimu za hasara za jeshi la Merikani iliyo pata katika vita vyo huko VietNam alipo kuwa anapigana na wakulima wa mpunga na wazaa viatu vya sandals za matairi ya magari - atwambie kama amesahau kwamba usiku mmoja USAF alipoteza B-52 sita ndani ya wiki moja B-52 kumi na mbili, je, hilo lilikuwa jambo la kawaida kiyokra kwa mmoja wa supa power wa miaka hiyo - personally I don't think so!!

Tukija kwenye takwimu za kweli, nikwamba kuanzia 1965 mpaka kufikia 1975 wakati USA inashindwa vita huko VietNam USAF ilishapoteza takribani 20,000(tweny thousand) military flying machines in VietNam including B-52 Bombers, jet fighters, helicopters etc japo hatujagusia ifadiya vifaru, magari ya deraya nk na sikumbuki wanajeshi wangapi wa kimerikani waliuwawa na kujeruhiwa huko VietNam. Generali huyo wa Kimerikani anajifanya kuyasahau hayo badala yake yuko busy ku-demonise jeshi la Urusi - kasahau kabisa walivyo furumishwa juzi juzi tu kutoka huko Afghanistan na Wataliban!!!
Hii ni misumali
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] the Ukraine defense contact group will deliver the support they have promised to Ukrainian defenders in order to advance during the spring counteroffensive [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wachambuzi wengi twaona kwamba NATO wanachopanga mida hii ni "false flag attack" ndani ya moja ya nchi tuseme Poland na kisha kuisingizia Russia ,kuwa imefanya shambulizi.

Wakifanya hivyo watasema wana-trigger Article Five ya NATO charter kwamba akishambuliwa mwanachama mmoja basi wote kuingia kumshambulia adui.

Hiyo itakuwa ni suicide mission.

Zelensky aekelea kushindwa vita kwa kukosa misaada zaidi hivyo NATO na Marekani hiyo itakuwa ndo last resort.

Dunia kwa sasa ipo kwenye njia panda.
Russia, Marekani, na NATO wako makini kuhusu Jambo Hili kuliko neno lenyewe umakini linavyomaanisha.
Kuna simu maalum hupigiana kuepusha wao kubutuana.
Hivi Kuna nchi ambayo iko tayari majiji Kama Moscow, New York, Kazan , Berlin na hata Washington na Parisi yawe vifusi vyeusi?
Nb.
Dunia nzima Hakuna aliye tayari kujaribu kumpiga Russia kinyuklia. Bahati nzuri NATO wanajua. Marekani wanajua.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nakusahihisha kwa heshima kubwa,umekosea sana,Tena sana.

Putin hatahutubia taifa,Bali atahutubia Dunia,ulimwengu.
NATO ndo wataskiliza kwa umakini mkubwa zaidi. Putin hatabiriki. Hawamwamini hawajui atasema Nini na kitaleta athari gani.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
NATO hawawezi kufanya False flag attack.
Kwa sababu Kuna nchi nyingi za NATO hazitakubali kuingia vitani na Urusi kwa sababu za ujinga wa USA na Zelensky TU.
Naweza kukutajia nchi chache zitakazogomea .

Uturuki,
Italy,
France,
Hungary,
Na ujerumani.
Na vijinchi vingine.

Vihelehele
Watakao karibu kuingia ni
UK,
Poland na USA mwenyewe.
Baba andika hivi Hakuna atakaejaribu.
Tension ya Leo Hapo Ukraine haifiki hata Robo ya kilichokuwepo wakati wa coldwar.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Nyatoooo
1676374999814.png
 
Back
Top Bottom