Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Norway (EU) yalalamika kuwa Urusi imeanza kupeleka melivita na nyambizi zilizobeba mabomu ya nyuklia kwenye Baltic Sea kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 30.

Asante Putin, kazi sasa imeanzaaaa....

SmartSelect_20230214-190022_Chrome.jpg

Screenshot_20230214-190055_Chrome.jpg
 
NATO muda huu wako Brussles wanaendelea na kikao Cha dharura kujadili namna ya kupeleka ammunition huko Ukraine ambayo imeishiwa...Nchi za NATO nazo zimepungukiwa na ammunition...Sasa hapo ngoma nzito Sana...dubu yeye anaendelea na kazi ...
HERUFU KUBWA

HAWA MBWAAA WANABISHA KILA SIKU KUW RUSSIA ANAPGAN VTA NA UKRAIN WAKO WAPI WASOME HII HABARI

RUSSIA ANAPGANA NA NATO FULL STOP
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255] inaonekana kipigo alichotembezewa urusi huko vuhledar si Cha Karne hii [emoji16][emoji28][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] maxar has published satellite images of the vicinity of vuhledar and pavlovka in the Donetsk region
The photos show the destruction of Russian equipment and aftermath of heavy artillery shelling [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom