Natamani kumtag yule jamaa yetu aliokua anasema kwamba Airforce ya RUSSIA kwamba siilolote kwenye hii SMO
Usisahau kuwakumbusha kwamba RUSSIA anafanya tu SMO hayupo kwa total WAR
Austin anakiri kwamba AIR FORCE ya RUSSIA nikikwazo ila bwana yule alikua anatuaminisha kua sii lolote sii chochote
Ndugu yangu nakushauri tu ukapitie upya makabrasha yako ulokua unayapitia kuhusiana na RUSSIA
RUSSIA anatumia vifaa vya micro wave cjui washing mashine
RUSSIA anapigwa cjui na drones za tb zimefanya nn sijuu
RUSSIA haipo kwenye nchi zinazotengeneza drone ijitathmini
Nnacho kikumbuka kikubwa kutoka kwa bwana yule aloisifia kwa RUSSIA ninamna walivyoweza kukabiliana na vikwazo
Hapa hatutaki asifiwe mtu ila tunataka apewe sifa zake na haki yake kama anastahili
RUSSIA wewe ponda ponda tu mpaka waishe hao MAGAIDI WA KINAZI
Sent using
Jamii Forums mobile app