Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RT News:
[emoji779]️EU Adds Russia To Tax Haven Blacklist — AFP

The bloc said in a statement that Russia's 2022 tax legislation had failed to allay concerns over its allegedly opaque treatment of the tax affairs of international holding companies.

"In addition, dialogue with Russia on matters related to taxation came to a standstill following the Russian aggression against Ukraine," the European Council said.

Subscribe to RT

No Long-Range Missiles, US Tells Kiev —Because We Need Them

The Biden administration has reportedly told Ukraine it won’t send the long-range missiles demanded by President Zelensky as Washington is concerned it won’t leave enough for itself.

The stockpile excuse comes on top of concerns from the White House that Kiev would use them to launch strikes deep into Russian territory, which the US considers a red line over fears it would escalate the conflict further.

One source close to the Ukrainian leadership told Politico that the government doesn’t expect any new weapons in the latest weapons package US Defense Secretary Lloyd Austin is due to announce this week.

Subscribe to RT
 
Kwenye hii vita kuna mambo siyasikii kabisa moja ni upelekwaji wa merceries nchini ukrain,umoja wa mataifa kumfungulia Putin mashitaka ya uhalifu wa kivita,ukrain kushambulia ndani ya Urusi pamoja na kuiwekea vikwazo urusi
George Bush, Tonny Blair, Obama, lini walifunguliwa mashtaka?

Iraq, Libya lini walishambulia US na UK?
 
Raisi Putin alisema kwamba Russia bado haijaanza vita rasmi na ndo maana Wagner Group na wapiganaji wa Chechen watumika hadi sasa.

Pia Russia bado hajaanza kutumia silaha nzito hivyo huagiza silaha ambazo amewafundisha Iran na Korea Kaskazini kutengeneza.

Hivyo huagiza mizigo ili nae ajaribu ufanisi wake.

Kuna mahali humu nimesema kwamba Ukraine ni uwanja (theatre) ya majaribio ya silaha za aina zote na hata NATO/ USA wakisema watapeleka silaha Ukraine ni kwamba order zapelekwa viwandani na kisha kuletwa Ukraine kwa majaribio na matumizi.

Hili ni moja ya maeneo ambayo yana upigaji mkubwa sana (lucrative) na kuna watu wanatajirika kila kukicha kwa maana order zatumwa kwa kila aina ya kifaa cha kutumika Ukraine.

Ndo maana huwa nasisitiza kuangalia mgogoro huu kwa picha kubwa inohusu kila aina ya topic.

Lakini licha ya hivyo bado Russia aonekana apigana na mataifa 54 ambayo mengi hutengeneza silaha na vifaa kama mizinga kwa vibali.

Hiyo mizinga ya Leopard 2 baadhi ya nchi nyingi za Ulaya na NATO zatengeneza kwa kibali kutoka Ujerumani.

Ndege za kivita nyingi zatengenezwa Ufaransa na nchi zingine kwa order maalum. Ndo maana UK wamesema wao wana ujuzi wa kufundisha namna ya kuzitumia lakini wao wenyewe hawana ndege za F-16.

Uingereza wana ndege za aina ya Typhoon ambazo zitakuwa chakula kwa Russia kwani hizo huruka chinichini na si juu sana.

Hata hivyo hakuna ndege zinazopelekwa Ukraine kwani hiyo itakuwa ni "escalation".
Kapoteza magenerali 20 na mobilization ya vijana laki 3 unasema hajaanza vita fisi wewe
 
Nini kinaendeleq nyuma ya pazia?
Siku za nyuma west hasa US na UK walikuwa na assets mbalimbali zilizokuwa zinafanya surveillance, intelligence na recconaissance na kuwapa hizi taarifa jeshi la Ukraine ambapo kupitia hizi taarifa Ukraine alikuwa anajua mwenendo wa majeshi ya Russia hivyo kumpiga counter za hatari na kipindi flani Russia wakaoneķana kuachia baadhi ya maeneo.
Nakumbuka ndege na drones kama RC-135 Joint Rivet, Northrop Grumman RQ-48 Global Hawk na E-8 ambazo zilikuwa zinakaa anga la baadhi ya nchi za Nato na kukusanya taarifa zote muhimu kuhusu formation za warusi then wanampa hizi taarifa Ukraine. Jee hizi assets zimeondolewa maeneo husika na hazifanyi tena kazi ya kumsaidia Ukraine au nini kimetokea maana kipigo Ukraine anachopewa siku za karibuni ni kama mtu unayepigana ukiwa umefungwa ndani ya gunia huzioni ngumi za adui zinatokea upande gani ujikinge au urudishe mapigo.
Bila hata siraha kali sana kama hayo mavifaru anayoahidiwa kupewa, uwepo wa hizi ndege ulimsaidia pakubwa sana maana battlefield aliielewa na kumfanya kufanya mashambulizi yaliyoleta hasara sana kwa warusi.
Je hiki kinachoendelea tuamini Russia wamepata mwarobaini wa hizi ndege kama ilivokuwa kwa drone za mturuki, himmars na machuma mengine yaliyotumwa kumsaidia Ukraine. Kama ni hivo hizi ndege amedeal nazo vp?

NB; Mzee wa chip za kwenye dry cleaners kuwekwa kwenye vifaa vya kijeshi sihitaji jibu lako maana utaniingiza chaka
Tatizo kipigo mnakihadisia kwenye articles hakunanushahidi wa video au picha za matukio lakini Ukraine anavyotoa kichapo ushahidi upo video na picha za marehemu
 
Tatizo kipigo mnakihadisia kwenye articles hakunanushahidi wa video au picha za matukio lakini Ukraine anavyotoa kichapo ushahidi upo video na picha za marehemu
Hizo video games zimekosa wateja siku hizi ndio maana hata speed ya kuzileta imepungua kama sio kuisha kabisa!
Russia yeye anatandika halafu sensa utajifanyia mwenyewe!Ulisema umepoteza askari 20000 ni juu Yako!
Lakini siku Moja mtazitaja tu figure halisi!Kama yule mama wa EU alivyomuumbua Zele Kwa kutaja idadi halisi!
Nasikia Sasa 230,000+ Ukrainians soldiers wamekufa or missing!
 
Kuna jambo moja naomba niulize kidogo nipate mwanga

Maana nimekua nikijiuliza muda ila acha leo kidogo nilitoe walau munipe mawili matatu

Je RUSSIA hakujua kuhusiana na Euro maidan iliopelekea sirikali ya rais alokua pro kremlin anaenda kuondoka madarakani kwa mikono ya western na US ama

Je RUSSIA kwenye yale mapinduzi alizidiwa kete namashirika ya nje kama CIA na wenzake ambao walifanikiwa kueka vibaraka wao hatimae wakeka Elensky ambae leo tumeona kasababisha SMO

Ama Je RUSSIA alijua kwamba kutatokea Euro maidan ambayo ingemuondoa rais alokua na mrengo wa KREMLIN ila akaacha litokee ili baadae aje afanye hii SMO maana sababu kubwa ya hii SMO wote tunajua ililetwa na mapinduzi yaliofanyika mwaka 2014

RUSSIA alitenzwa nguvu na mashirika ya UJASUSI ya MAGHARIBI ama alikua kaliacha litokee hili ili aje afanye anacho kifanya leo hapo UKRAINE

Anaejua ama anaehisi kitu ntaowatag na ntao wasahau msaada tafadhali

Hammaz
Jesus Mlokozi
Qibsyl
Venus Star
MR MAJANGA
MOTOCHINI
T14 Armata
Bukyanagandi
lee van cliff
Yericko Nyerere

Na wengine woooote ambao sijawatag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warusi wa buza msikilzeni yevgeny prigozhin kuhusu bakhumut [emoji23][emoji28]
Jamaa kakiri Hali ni mbaya

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] yevgeny prigozhin the head the clemlin -controlled Wagner group ,whose mercenaries along with the Russian regular army, have been attempting to capture bakhumut, says the battle for the city is far from over .
"Bakhumut will not be taken tomorrow because there's heavy resistance and grinding"he said on February 14, referring to the battle for the city as a " meat grinder" [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizo video games zimekosa wateja siku hizi ndio maana hata speed ya kuzileta imepungua kama sio kuisha kabisa!
Russia yeye anatandika halafu sensa utajifanyia mwenyewe!Ulisema umepoteza askari 20000 ni juu Yako!
Lakini siku Moja mtazitaja tu figure halisi!Kama yule mama wa EU alivyomuumbua Zele Kwa kutaja idadi halisi!
Nasikia Sasa 230,000+ Ukrainians soldiers wamekufa or missing!
Utaishia kusema video games wakati juzi Aljazeera walifanya mahojiano na drone operators wa control room ya Ukraine
 
Hizo video games zimekosa wateja siku hizi ndio maana hata speed ya kuzileta imepungua kama sio kuisha kabisa!
Russia yeye anatandika halafu sensa utajifanyia mwenyewe!Ulisema umepoteza askari 20000 ni juu Yako!
Lakini siku Moja mtazitaja tu figure halisi!Kama yule mama wa EU alivyomuumbua Zele Kwa kutaja idadi halisi!
Nasikia Sasa 230,000+ Ukrainians soldiers wamekufa or missing!
Endelea kupiga kelele video games hao ni aljazeera wakiwahoji wali wanao operate drone na kuwawapa maelezekezo wanajeshi wa mizinga wapi pa kupiga ndio hizi telnolojia mrusi hana
IMG-20230215-WA0011.jpg
 
Endelea kupiga kelele video games hao ni aljazeera wakiwahoji wali wanao operate drone na kuwawapa maelezekezo wanajeshi wa mizinga wapi pa kupiga ndio hizi telnolojia mrusi hanaView attachment 2518152
Sasa mbona BBC anasema Russia is winning wakati hana teknolojia😃😃😃😃😃?
Kuwa na drones operators ni jambo Moja,kuleta video games ni jambo lingine!
 
Sasa mbona BBC anasema Russia is winning wakati hana teknolojia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]?
Kuwa na drones operators ni jambo Moja,kuleta video games ni jambo lingine!
Russia is winning huku askari wake wakiendelea kupukuchuliwa kila iitwapo Leo.., kama ushindi ndio huu namuomba mungu amjaalie urusi aendelee tu kushinda tu[emoji28]
1676452410596.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom