Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nakumbuka Putin akiwa kwenye kongamano la Valdai aliwahi kuongelea hili swala na ikaonekana kabisa alimshauri jambo Yanukovich ila Yanukovich aidha akapiga mahesabu vibaya au kuna hali aliichukulia poa na kuhisi isingeweza kupelekea hali mbaya.

Nakumbuka mmaandamano yakiwa yamepamba moto kuna watu kama 70 walikufa ikabidi EU na kina Nuland wapropose makubaliano ya kurestore order na maja ya walichokubaliana ni Yanukovich kuondoa polisi mtaani.

Putin kwa kujua mambo ambavo yangegeuka kuwa akamshauri kwa simu kwamba asitoe askari mtaani. Polisi na watuliza ghasia wanapokomaa mtaani watu wanakawaida ya kuandamana baadae morali inazidi kupungua ni kama kilichotokea kwa Assad, Venezuela na juzi Belarus.

Yanukovich akawaamini west na usuruhishi wao akatoa polisi mtaani kilichofuatia ni jamaa kupinduliwa na ikabidi Putin atume chopa kwenda kumtoa mule akaja kuonekana Rostov On Don nchini Urusi. So Victor Yanukovich aliondolewa madarakani kwa kuwa hakusikiliza ushauri wa kaka yake.
Oooh hapa nimekuelewa sana shukran sana MKUU shukran sana...=!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jambo moja naomba niulize kidogo nipate mwanga

Maana nimekua nikijiuliza muda ila acha leo kidogo nilitoe walau munipe mawili matatu

Je RUSSIA hakujua kuhusiana na Euro maidan iliopelekea sirikali ya rais alokua pro kremlin anaenda kuondoka madarakani kwa mikono ya western na US ama

Je RUSSIA kwenye yale mapinduzi alizidiwa kete namashirika ya nje kama CIA na wenzake ambao walifanikiwa kueka vibaraka wao hatimae wakeka Elensky ambae leo tumeona kasababisha SMO

Ama Je RUSSIA alijua kwamba kutatokea Euro maidan ambayo ingemuondoa rais alokua na mrengo wa KREMLIN ila akaacha litokee ili baadae aje afanye hii SMO maana sababu kubwa ya hii SMO wote tunajua ililetwa na mapinduzi yaliofanyika mwaka 2014

RUSSIA alitenzwa nguvu na mashirika ya UJASUSI ya MAGHARIBI ama alikua kaliacha litokee hili ili aje afanye anacho kifanya leo hapo UKRAINE

Anaejua ama anaehisi kitu ntaowatag na ntao wasahau msaada tafadhali

Hammaz
Jesus Mlokozi
Qibsyl
Venus Star
MR MAJANGA
MOTOCHINI
T14 Armata
Bukyanagandi
lee van cliff
Yericko Nyerere

Na wengine woooote ambao sijawatag

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakujua au alichelewa kuchukua hatua.

Hii colour revolution haikuanzia Ukraine.

Ilipangwa na Western agency's in amodern way kiasi kwamba mashirika mengine ya kijasusi yalichukua muda kugundua.

Ilitokea Libya kimasikhara masikhara hivi wakiingia kwa disguise ya kulinda raia na baadae kuufuta utawala wa bwana GHADAFI.

Ikafika Tunisia ikaenda nadhani kila mtu alikumbuka mwanzo wa yule kijana aliyejilipua.

Ndio wazee wakaplan target yao hasa Russia spheres of influence wakitaraji kuishika kuanzia Ukraine, Belarus na Kazakhstan kama walivyofanya kwa Balkan state na Slavic nation kama Croatia, Poland na nyinginezo.

Ukraine wakaja na Maidan revolution huku USA agents kama Victoria Nulland akionyesha waziwazi kuunga mkono ant Russian mob walioteka serikari.

Wakati huo huo kule Belarus, Western agency ikaanza kumtumia SViatlana Tsikhanouskaya ambaye anaongoza upinzani kuleta Chaos ndani ya aBelarus hivyo Russia kuintervene.

Mambo hayajatulia hata kidogo kikawaka kule Kazakhstan na ikabidi Urusi ideploy Umoja wake wa kujihami kuweza kuondoa bughudha ila huku waandamanaji wakiwa wamejipanga kweli kweli mpaka siraha.
Ndio ikaja amri ya kupiga live fire bila huruma, Western Europe wakilalamika haki za binadamu.

Ila colour revolution kule bara Arabu iliitwa Arab springs na ikasababisha Muslim brotherhood kuingia madarakani kwa sanduku la kura, ila Cha ajabu Coup d'tat ikatokea na jenerali kibaraka wa Marekani kuingia madarakani.
Ulishaona western world kupinga hili jambo? Kwamba mchakato halali wa kidemokrasia umevurigwa Misri?

Sasa Warusi wakagundua hizi njama kupitia GRU, FSB na taasisi nyinginezo za kiintelejensia hivyo kuanza kuharibu mpango kwa kuanzia hapo Ukraine[emoji38][emoji38][emoji38]

Msisahau yaliyotokea Venezuela mpaka kumtambua kiongozi wa upinzani ndiye Raisi bila Urusi kuingilia mnadhani ingekuwaje?

Huu mchezo wanacheza kwa manufaa yao na wako vizuri kwa kutumia propaganda media zao kama Aljazeera, BBC,CNN na nyinginezo.

Sasa Putin mwenyewe ni expert kwenye kucounter western influence toka akiwa KGB na Sasa ndio wameamka
 
Wataondoka mwezi march, unakumbuka ile habari ya kuanguka kwa mji wa soledar, iliwachukua wiki mbili ukraine kutangaza kuanguka kwa huo mji licha ya kwamba russia, wagner na hata wamagharibi walitangaza kuanguka mji huo mapema.

Lengo isionekane remote control ya ukraine ipo USA au ishu ya morali

huo ndio mtazamo wangu.

Hata ishu ya mariopol ilichukua muda kwa ukraine kutangaza kuanguka kwake
Na huu ndio ukweli wenyewe
 
Kuna jambo moja naomba niulize kidogo nipate mwanga

Maana nimekua nikijiuliza muda ila acha leo kidogo nilitoe walau munipe mawili matatu

Je RUSSIA hakujua kuhusiana na Euro maidan iliopelekea sirikali ya rais alokua pro kremlin anaenda kuondoka madarakani kwa mikono ya western na US ama

Je RUSSIA kwenye yale mapinduzi alizidiwa kete namashirika ya nje kama CIA na wenzake ambao walifanikiwa kueka vibaraka wao hatimae wakeka Elensky ambae leo tumeona kasababisha SMO

Ama Je RUSSIA alijua kwamba kutatokea Euro maidan ambayo ingemuondoa rais alokua na mrengo wa KREMLIN ila akaacha litokee ili baadae aje afanye hii SMO maana sababu kubwa ya hii SMO wote tunajua ililetwa na mapinduzi yaliofanyika mwaka 2014

RUSSIA alitenzwa nguvu na mashirika ya UJASUSI ya MAGHARIBI ama alikua kaliacha litokee hili ili aje afanye anacho kifanya leo hapo UKRAINE

Anaejua ama anaehisi kitu ntaowatag na ntao wasahau msaada tafadhali

Hammaz
Jesus Mlokozi
Qibsyl
Venus Star
MR MAJANGA
MOTOCHINI
T14 Armata
Bukyanagandi
lee van cliff
Yericko Nyerere

Na wengine woooote ambao sijawatag

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujamtag kp kipanya44
Au umehisi Ni shabiki maandazi[emoji4]
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]in zapozhia based group of volunteers, purchased a EUR 55000 worth reconnaissance aircraft for Ukrainian troops defending the region from Russia's invasion [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji122][emoji91][emoji28]tutawakaanga kwa mafta Yao[emoji116][emoji116]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] USA plan to supply Ukraine with smuggled Iranian weapons withdrawn from Yemen militants, the wall street journal reported [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Ukrainian special service obtain intelligence from people from entourage of Russian dictator Vladimir Putin , Ukrainian defense ministry spokesman andrii chernyak said in an interview with Greek media autlet lefimerida[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hao warusi wanaodai kusonga mbele wanasonga mbele kuelekea wapi [emoji848]

Mbona ni miezi 8 Sasa wanapigana hapohapo bakhumut [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Duh....kauli nyingine bwana...mtu ameingia keenye eneo au makazi yako...amevunja geti na kuteka baadhi ya majengo na hata sebuleni kwako na vyumba vya watoto..unajizatiti kwenye master bedroom na vyumba vya kulala wageni...mnapambana muda mrefu...halafu baadaye unaanza kutamba kwamba huyu mvamizi mbona hajasonga mbele
 
Super pawer anazidi kubanwa mbavu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the tenth package of sanctions against Russia includes [emoji387] 11 billions worth of the trade restrictions Ursula von de layern said.
The European commission propose to ban the supply of electronics to Russia necessary for production of drones and helicopter [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Duh....kauli nyingine bwana...mtu ameingia keenye eneo au makazi yako...amevunja geti na kuteka baadhi ya majengo na hata sebuleni kwako na vyumba vya watoto..unajizatiti kwenye master bedroom na vyumba vya kulala wageni...mnapambana muda mrefu...halafu baadaye unaanza kutamba kwamba huyu mvamizi mbona hajasonga mbele
Lengo lilikuwa ni kuiteka Kiev ndani ya saa 72 tu.., anachofanya urusi Kwa Sasa ni kuendelea kupigana kiume Ili kuficha aibu ya kipigo anachopokea, [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Residents of the American city of Odessa (Texas) collect signatures and ask the governor to rename their city because they do not want to live in the “Russian city”.

Well, at the moment Ukrainian Odessa is under Kiev control. Do those residents know something more?[emoji16]

Ignorance or prediction? So you can't say right away


[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukraine Army to BURN Houses; Create "Smoke Screen" as they Retreat​

15 FEBRUARY 2023 :
Ukraine Army to BURN Houses; Create Smoke Screen as they Retreat

The Ukrainian Army is posting notices like the one shown above, on houses in Bakhmut saying "On February 16, this house will be burned to create a smoke screen against the Russian Army."
Ukraine is LOSING the war so badly, and so fast, it has to set fire to people's houses to create a smoke screen under which their troops can flee!

cc:Kipanyaet.al.
 
Back
Top Bottom