Kuna jambo moja naomba niulize kidogo nipate mwanga
Maana nimekua nikijiuliza muda ila acha leo kidogo nilitoe walau munipe mawili matatu
Je RUSSIA hakujua kuhusiana na Euro maidan iliopelekea sirikali ya rais alokua pro kremlin anaenda kuondoka madarakani kwa mikono ya western na US ama
Je RUSSIA kwenye yale mapinduzi alizidiwa kete namashirika ya nje kama CIA na wenzake ambao walifanikiwa kueka vibaraka wao hatimae wakeka Elensky ambae leo tumeona kasababisha SMO
Ama Je RUSSIA alijua kwamba kutatokea Euro maidan ambayo ingemuondoa rais alokua na mrengo wa KREMLIN ila akaacha litokee ili baadae aje afanye hii SMO maana sababu kubwa ya hii SMO wote tunajua ililetwa na mapinduzi yaliofanyika mwaka 2014
RUSSIA alitenzwa nguvu na mashirika ya UJASUSI ya MAGHARIBI ama alikua kaliacha litokee hili ili aje afanye anacho kifanya leo hapo UKRAINE
Anaejua ama anaehisi kitu ntaowatag na ntao wasahau msaada tafadhali
Hammaz
Jesus Mlokozi
Qibsyl
Venus Star
MR MAJANGA
MOTOCHINI
T14 Armata
Bukyanagandi
lee van cliff
Yericko Nyerere
Na wengine woooote ambao sijawatag
Sent using
Jamii Forums mobile app